×

Vivo Wazindua Rasmi Simu Mpya Vivo 23 5G

  HATIMAYE Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vivo Smartphones ya Tanzania, imefanikiwa  kuzindua rasmi simu mpya aina ya V23...

READ MORE

Kisinda Akubali Kurudi Yanga

MZEE wa spidi 120, Tuisila Kisinda ambaye kwa sasa yupo ndani ya RS Berkane amesema kuwa anaweza kuja kucheza Tanzania...

READ MORE

Redcross Mkoa wa Kilimanjaro Wamwagiwa Sifa kwa huduma Zao Kili Marathon 2022

    JANA Jumapili ilikuwa ni siku ya kipekee Moshi mkoani Kilimanjaro kutokana na tamasha kubwa la mbio za Kilimanjaro...

READ MORE

Ukraine: Tumeua wanajeshi 5,300 wa Urusi

Wizara ya ulinzi ya Kyiv inadai kuwa takribani wanajeshi 5,300 wa Urusi wameuawa katika siku nne za kwanza za mapigano...

READ MORE

Google Yazuia Matangazo Vyombo vya Habari Urusi

Google haitaruhusu tena vyombo vya habari vya serikali ya Urusi kuonyesha matangazo, kufuatia uamuzi kama huo uliofanywa Jumamosi na kampuni...

READ MORE

Ramli Chonganishi Zinavyomaliza Raia

JESHI la Polisi mkoani Morogoro inawashikilia watu wanane kwa tuhuma za mauaji na kujihusisha kupiga ramli chonganishi ambazo kwa kiwango...

READ MORE

Wimbo wa Taifa Urusi hautapigwa

Shirikisho la Soka Duniani ( FIFA ) jana lilijibu shinikizo la kimataifa linaloongezeka kuhusiana na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine...

READ MORE

Muna: Waislam Mtanipokea?

Muna Love; ni mwigizaji wa Bongo Movies japo kwa muda mrefu hajaonekana lokesheni ambaye hivi karibuni alizua kizaazaa baada ya...

READ MORE

Wema Amrudia Mungu

  STAA mwenye nyota zake Bongo, Wema Sepetu amesema baada ya mapito ya muda mrefu amebadili mfumo wake wa maisha...

READ MORE

Mzee Dalali Awataka Yanga SC Nusu Fainali ASFC

MWENYEKITI wa Baraza la Wazee la Simba, Hassan Dalali amefunguka kuwa anatamani kikosi chao kikutane na Yanga kwenye mchezo wa...

READ MORE

Mambo Ni Moto! VIVO Wazindua Simu Mpya Aina ya V23 5G, ni Nzuri Balaa- VIDEO

Kampuni ya simu ya VIVO, leo 28 Februari  2022, wamezindua simu mpya aina ya V23 5G. 

READ MORE

Amir Khan Apewa Wiki Tatu

  OFISA Mtendaji Mkuu wa taasisi ya ngumi ya Boxxer, Ben Shalom, amesema Muingereza Amir Khan ana wiki tatu tu...

READ MORE

Wafanyakazi wa Absa Bank Wanogesha Kilimanjaro Marathon

    BENKI ya Absa imeahidi kuendelea kutoa mchango wake kwa mashindano ya mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon kupitia...

READ MORE

Watanzania Waonesha Jeuri Tigo Kili 2022 Half Marathon Kwa Kuwabwaga Wakenya

    WAKATI Mbio Maarufu za Kimataifa za Kilimanjaro zikiadhimisha Miaka 20 tangu kuasisiwa kwake, Watanzania wameonesha jeuri ya hali...

READ MORE

Kiiza Akubali Muziki Wa Mayele- Video

BAADA YA  90 za mtanange wa ligi kuu bara mzunguko wa pili kati ya, Yanga dhidi ya  Kagera Sugar, kumalizika ...

READ MORE

Kajala: Upweke wa Paula unanitesa

KAJALA Masanja au Frida Kajala; ni mwanamama wa Bongo Movies ambaye anasema kuwa, hakuna kitu kinachomtesa kama upweke wa kummisi...

READ MORE

Mdee, Wenzake Kung’oka Bungeni, Dk. Slaa Ajadili Kesi..Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Sugu: Sina Waganga Kwangu Mungu Ndiye Muumba

  MIAKA kadhaa iliyopita, ilikuwa kama msiba pale ziliposikika tetesi za aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mijini, Joseph Mbilinyi almaarufu Sugu...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Geita Gold Mining, Work Management Planner

ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in...

READ MORE

Bolt na Mpango wa Kuwawezesha Madereva Kiuchumi

AMRI ni  dereva wa Bolt nchini Tanzania ambaye kwa miaka miwili sasa, amekuwa akitumia gesi  iliyochakatwa kwa mfumo asilia ‘Compressed...

READ MORE