×

Mo Dewji Aagiza Simba Kushusha Viingilio vs Asec Mimosas

Mwekezaji kunako Klabu ya Simba Mohammed Dewji “Mo Dewji” ameiagiza Klabu ya Simba kushusha Viingilio kutoka Elfu 5000 mpaka Shilingi...

READ MORE

Facebook, Insgram Kuondolewa Ulaya

IKIWA ni siku chache baada ya kutangazwa kushuka kwa mapatao yake, wiki hii kuna mvutano mkubwa unaendelea kati ya kampuni...

READ MORE

Black Rhino: Prof Jay Anaendelea Vizuri Muhimbili

KUFUATIA rapa maarufu na nguli wa Bongo ambaye pia aliwahi kuwa mbunge wa Mikumi Kupitia Chadema, Joseph Haule ‘Profesa Jay’...

READ MORE

Rais Samia Aondoka Kuelekea Nchini Ufaransa Leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Februari 9, 2022 ameondoka kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye...

READ MORE

Unaambiwa Kutangaza Kwenye Page ya Ronaldo ni Tsh Bil 4 Post Moja

Mitandao mbalimbali Uingereza kama Daily Mail na flipboard imeripoti kuwa kwa sasa Mchezaji wa Manchester United Cristiano Ronaldo analipwa Euro...

READ MORE

Mambo Magumu, H Baba Am-Unfollow Harmonize, Am-Follow Diamond

MIDOMO wazi! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia nguli wa muziki wa Bongo Fleva, H. Baba ambaye wengi wanamuona kwenye nafasi...

READ MORE

Simba Kuwakosa Watano Mechi ya ASEC

Kocha wa Kikosi cha Simba, Pablo Franco Martín amesema kuwa Katika mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF)...

READ MORE

Mo Dewji: Kuwekeza Simba kwa Sasa ni Hasara

MWEKEZAJI katika Klabu ya Simba, Mohammed Dewji amesema kilicho mpeleka kambini leo ni mapenzi yake kwa Simba na amekutana na...

READ MORE

Ditopile: Rais Samia Anazidi Kuwafunga Midomo Waliombeza

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile amesema Rais Samia ndani ya muda mfupi madarakani anazidi kuwaumbua...

READ MORE

Mtoto Ryan Aliyeanguka Kisimani Azikwa

NCHI Morocco imemfanyia mazishi ya Kitaifa mtoto wa kiume, Rayan Oram mwenye umri wa miaka mitano aliyefariki baada ya kunasa...

READ MORE

Uchunguzi Wabaini Waziri Mkuu Alihusika Mauaji ya Rais

Wachunguzi wa mauaji ya Rais wa Haiti Jovenel Moise wamesema aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo ambaye kwa sasa ndiye...

READ MORE

Yanga Yaitengea Mtibwa Siku 15

KIKOSI cha Yanga, kimeitengea Mtibwa Sugar siku 15 za kuhakikisha zinaibuka na ushindi katikamchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa...

READ MORE

Nelly Aomba Radhi kwa Kuvujisha Video Chafu

MSANII nguli wa muziki kutoka nchini Marekani, Cornell Iral Hynes Jr maarufu kama ‘Nelly’, amejitokeza kuomba radhi kufuatia kitendo cha...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Uwekaji Jiwe La Msingi Wa Barabara Dodoma (Picha+Video)

  Rais Samia Suluhu Hassan leo Februari 09, 2022 anashiriki Sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Ujenzi wa Barabara...

READ MORE

Rais Samia Afunguka Anavyoisikia Sauti ya Magufuli

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya mzunguko...

READ MORE

Vodacom na African Child Projects Wazindua Mradi wa Kuunganisha Shule Kidijitali

    TAASISI isiyo ya kiserikali ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na taasisi ya African Child Projects (ACP) wamezindua...

READ MORE

Rais Samia Amuapisha Angeline Mabula Kuwa Waziri wa Ardhi Ikulu Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemuapisha, Angeline Mabula kuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo...

READ MORE

Wazee Wa Yanga Wanazungumza Na Waandishi Wa Habari – Video

 Wazee wa Timu ya Yanga SC wanazungumza na waandishi wa habari, Jijini Dar es saalam, Leo Februari 09, 2022....

READ MORE

Mwanaume Aliyevunjika Uti wa Mgongo Aanza Kutembea

MWANAMUME aliyepooza baada ya kukatika uti wa mgongo ameweza kutembea tena, kutokana na kipandikizi kilichotengenezwa na timu ya watafiti wa...

READ MORE

Uwoya Aishi Kama Wema Wa Miaka 10 Nyuma

IRENE Uwoya ni mwigizaji wa Bongo Movies na mjasiriamali; mama wa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 33, lakini bado...

READ MORE