×

Auawa kwa Tuhuma za Kutengeneza Radi

MWANANCHI mmoja mkazi wa Halmshauri ya Nsimbo mkoa wa Katavi, Baraka Kabisu, ameuawa na wananchi wenye hasira kali wakimtuhumu kuwa...

READ MORE

Uwoya Ateketeza Milioni 20 na Wanaume “Wanawake Wanatamani Ufe”

UNAAMBIWA Irene Uwoya ametumia zaidi ya milioni 20 kula bata na marafiki zake wanne wa kiume huko Moshi mkoani Kilimanjaro...

READ MORE

Mchungaji Mbaroni kwa Kulala na Mke wa Mtu na Mabinti Zake Wawili

MCHUNGAJI Mmkuu wa Kanisa la Olomore Abeokuta, Mchungaji Timothy Oluwatimilehin, amekamatwa na maafisa wa Polisi wa Ogun nchini Nigeria kwa...

READ MORE

Wabunge wa CCM Wampitisha Dkt. Tulia Uspika

KAMATi ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kikao chao (Caucus) wamempitusha Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson...

READ MORE

Kisa Kumchamba Wema Kupanda Uber, Aristote Yamkuta Mazito

MAMBO yametaradadi….. Hivyo ndiyo unavyoweza kusema baada ya mdau wa masuala ya sanaa, Aristote kumwangukia malkia wa Bongo Foeva, Wema...

READ MORE

Chameleon: Nikifa Nizikwe na Jeneza la Vioo

MSANII mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda, Joseph Mayanjais maarufu kama Jose Chameleon ameushangaza umma baada ya kutaka siku akifariki...

READ MORE

Mbeya City Yaichimba Mkwara Yanga

KOCHA Mkuu wa  Mbeya City, Mathias Lule, ameitahadharisha Yanga, kuwa isitarajie kupata mteremko katika mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania...

READ MORE

Harmonize humuambii kitu kwa Kiba

MSANII mwingine mkubwa nchini Tanzania, Rajab Abdul almaarufu Harmonize amethibitisha kwamba humuambii kitu kwa msanii mwenzake, Ali Saleh Kiba au...

READ MORE

Anga Lachafuka Makombora ya Korea Kaskazini

VYOMBO vya Habari vya serikali nchini Korea Kaskazini vimetoa picha zinazosema kuwa zilichukuliwa kutokana na majaribio ya kombora lake kubwa...

READ MORE

Unaambiwa Nabi Hawazi Kingine Zaidi ya Ubingwa FA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema ushindi wa bao 1-0 walioupata dhidi ya Mbao FC kwenye Uwanja wa CCM...

READ MORE

Waliohusika na Mauaji Tanga Kusakwa

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa wa Tanga Adam Malima, amesema atahakikisha kila aliyeshiriki kwenye mauaji wa...

READ MORE

Watu 13 Wauawa Kwenye Daladala Baada ya Kukanyaga Bomu

TAKRIBANI watu 13 wamefariki dunia kufuatia mlipuko uliotokea leo, Januari 31, 2022 asubuhi katika eneo la Mandera, Kaskazini mwa Kenya,...

READ MORE

Polisi Yafafanua Kifo cha Afande Aliyejinyonga Mahabusu

Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji zinazoendelea kuhusu tukio la kujinyonga hadi kufa kwa mkaguzi msaidizi wa...

READ MORE

Miss Marekani Afariki Dunia kwa Kujirusha Ghorofani

Cheslie Kryst (30) aliyekuwa mlimbwende wa Marekani mwaka 2019 amefariki dunia. Kwa mujibu wa Polisi, Cheslie alijirusha ghorofani jana Jumapili,...

READ MORE

CCM Kubariki Dkt. Tulia Amrithi Job Ndugai

KAMATI ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo inakutana jijini Dodoma kuridhia, Dk Tulia Ackson agombee uspika wa Bunge...

READ MORE

Siku 10 za Maumivu, Ratiba Nzima ya Mgao wa Umeme Hii Hapa

WAKATI ratiba ya mgao wa umeme katika baadhi ya maeneo nchini wa siku kumi ikiwa haijatoka, wananchi, wakiwamo wafanyabiashara wadogo...

READ MORE

Kijana Akataa Milioni 11 za Bilionea Namba 1 Duniani

KIJANA mwenye umri wa miaka 19 aitwae Jack Sweeney amekataa ofa ya dola za Kimarekani 5000 ( sawa na Tsh....

READ MORE

Familia Yataka Muuaji wa Mtoto Wao Aachiwe

FAMILIA ya marehemu Ally Khalifa Bakari, mtoto mwenye umri wa miaka (9) aliyefariki kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali...

READ MORE

Shuhudia Kitu cha Kutisha Chaonekana Anga za Mbali

WANASAYANSI wa Australia wanasema wameona chombo kisichojulikana kinachozunguka eneo la anga za mbali ambacho ni tofauti na vitu vingine katika...

READ MORE

Basi la Kidia One Lapata Ajali

TAARIFA zilizotufikia hivi punde ni kwamba, watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya busi la Kidia One linalofanya safari kati ya Arusha-Dar...

READ MORE