×

Wema: Hebu Mniache

SUPASTAA wa Bongo Movies, Wema Sepetu wengi wanamfahamu kama mpenzi wa zamani wa Diamond Platnumz. Baadhi ya wafuasi mitandaoni wamekuwa...

READ MORE

Sabaya Awakana Mashahidi wa Jamhuri

MSHITAKIWA Lengai ole Sabaya anyekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi amepanda kizimbani kutoa utetezi dhidi ya tuhuma hizo ambapo amewakana...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumatano, Januari 19, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 19, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Zari Akana Madai ya Diamond Kununua Vitu vya Ndani Sauzi

MWANASOSHOLAITI na mfanyabiashara mashuhuri kutoka Uganda Zari Hassan na ambaye anaishi Afrika Kusini amechapisha video inayoonyesha akishiriki mazungumzo na mtoto wake...

READ MORE

Fahyma: Rayvvany I Miss You

FAHYMA ni mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, ni modo, fashenista, mjasiriamali, balozi wa brandi mbalimbali, sosholaiti, mwigizaji, dansa, video-vixen, mtangazaji...

READ MORE

Amuuwa Mkewe Mjamzito Kisha Kumchoma Moto

MWANAMKE mmoja mkazi wa kijiji cha Ilanga kata ya Mlale wilayani Ileje mkoani Songwe, Subira Kibona(16) amefariki dunia baada ya...

READ MORE

Meseji za Mbowe Akisaka Makomando wa JWTZ Zasomwa Mahakamani

JUMBE fupi za maneno (meseji), zinazodaiwa kuwa za Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na baadhi ya washtakiwa wenzake, katika kesi...

READ MORE

Mambo Magumu, Rose Muhando Aomba Kuolewa na Mume Mzungu

Msanii wa Injili na Hit Maker wa ‘Utamu wa Yesu’ Rose Muhando anasema anaomba apate mume mzungu mwenye pesa. Rose...

READ MORE

Kijana Ajinyonga Kwenye Goli Akiwa na Nguo ya Ndani za Kike

Tyson Kilasi (32) mkazi wa Kijiji cha Mawindi halmashauri ya wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, amekutwa amefariki kwa kujinyonga kwenye...

READ MORE

Rooney Atajwa Kuinoa Everton

MKONGWE wa Manchester United, Wayne Rooney anatajwa kuwa huenda akarithi mikoba ya Rafael Benitezndani ya Goodison Park. Everton siku ya...

READ MORE

Ajifungua Mtoto Akiwa Na Umri Wa Miaka 11

  Pichani Victoria Ajey mwenye miaka 11 amejifungua mtoto wa kiume baada ya kubakwa na mume wa shangazi yake, mwanaume...

READ MORE

Mobetto Amkana Rick Ross

MWANAMITINDO na msanii maarufu Bongo, Hamisa Mobetto amekana madai kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na Rapa wa Marekani Rick Ross....

READ MORE

Rais Samia Aweka Historia Maji kufika Kisiwa cha Jibondo – Mafia

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amezindua Mradi wa Maji wa Kisiwa Kidogo Cha Jibondo Wilayani Mafia Mkoa wa...

READ MORE

Dodoma: Mabasi ya Abiria Kusindikizwa na Polisi

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma amesema kuanzia kesho mabasi ya abiria kutoka mkoani humo kwenda mikoa mingine yatakuwa yanasindikizwa...

READ MORE

Ruvu Shooting Inautaka Ubingwa Ligi Kuu

UONGOZI wa Ruvu Shooting, umebainisha kuwa lengo lao kuu ni kufanikisha timu yao inatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu...

READ MORE

Coastal Union Wakosa Mil 50 Kisa Yanga

WACHEZAJI wa Coastal Union, waliahidiwa kuondoka na kiasi cha shilingi milioni 50 kama wangeendeleza ubabekwenye uwanja wa Mkwakwani kwa kuifunga...

READ MORE

Mlinzi Mbaroni kwa Kumpiga Risasi Bodaboda

Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia mlinzi wa kampuni ya ulinzi ya Panolama Bw. Elizeus Gabriel kwa tuhuma za kumuua...

READ MORE

 Mshindi BSS ni wa mchongo?

MSHIRIKI kutoka Dar, Brayson Yohana ameibuka Mshindi wa Shindano la 12 la kusaka vipaji (Bongo Star Search – BSS) msimu...

READ MORE

Matetemeko Mawili Yaua Watu 20 Afghanistan

MAOFISA Usalama nchini Afghanistan wamesema watu zaidi ya 20 wamefariki kufikia sasa baada ya matetemeko ya ardhi ya mfululizo kukumba...

READ MORE