×

Yasome Hapa Magazeti ya Leo, Alhamisi Januari 20, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 20, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Kibaha Chalinze Jiandaeni

Serikali kupitia Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) inatarajia kuanza kufanya kazi ya usanifu wa ujenzi wa Barabara ya njia nne...

READ MORE

Sabaya Adai Gari Lake Mahakamani

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameiomba Mahakama imrudishie mapema gari yake alilonunua kwa fedha zake halali...

READ MORE

Sabaya Aangua Kilio Kortini

MSHTAKIWA namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na Machozi mahakamani hapo wakati...

READ MORE

Kaligraph Kurejea Shule

Rapa nyota wa mziki wa kufokafoka, Khaligraph Jones amefichua mipango ya kurejea darasani kuendela na masomo yake baada ya kumaliza...

READ MORE

Mjamzito Auawa Kisa Kukataa Kwenda kwa Mganga

Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mkazi wa Kata ya Mlale wilayani Ileje, Shukrani Kamwela mwenye umri wa miaka 16...

READ MORE

Yanga Yajipigia Mbuni FC, Mukoko Atubia Mabao 2

UWANJA wa Sheikh Amri Abeid dakika 90 zimekamilika kwenye mchezo wa kirafiki kati ya Yanga na Mbuni ambapo ni Yanga...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe...

READ MORE

Simba Kituo Kinachofuata Manungu

BAADA ya kurejea Dar wakitoka Mbeya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara kituo chao kinachofuata ni Manungu. Chini ya Kocha...

READ MORE

Yanga Kutesti Mitambo Leo

VINARA wa Ligi Kuu Bara Yanga leo watakuwa na kazi ya kutesti mitambo kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni...

READ MORE

Waliomuua Balozi wa Italia Nchini DRC Wakamatwa

Jeshi la Polisi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika Jimbo la Kivu Kaskazini, limefanikiwa kuwakamata baadhi ya watuhumiwa...

READ MORE

Wasiojulikana Watokomea na Mwili wa Marehemu

Tukio lisilo la kawaida limetokea katika Kitongoji cha Kipondoda, Wilaya ya Manyoni mkoani Singida baada ya kaburi la mtoto Christina...

READ MORE

Nafasi ya Kazi BRELA, System Administrator

POST ICT OFFICER II (SYSTEM ADMINISTRATOR) – 1 POST POST CATEGORY(S) IT AND TELECOMS EMPLOYER Business Registrations and Licensing Agency...

READ MORE

Simba Waambukizwa Corona

KATIKA hali isiyo ya kawaida, Simba na Puma katika mbuga ya wanyamapori nchini Afrika Kusini imeelezwa kuwa huenda wameambukizwa virusi...

READ MORE

Yanga Kutesti Mitambo Dhidi ya Mbuni FC Leo

VINARA wa Ligi Kuu Bara Yanga leo watakuwa na kazi ya kutesti mitambo kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni...

READ MORE

Lwanga Yuko Fiti, Kurejea Soon

Baada ya mwishoni mwa mwaka jana taarifa kusambaa kuwa Klabu ya Simba ina mpango wa kuvunja Mkataba wake na Kiungo...

READ MORE

Mbeya City: Tulijiandaa Kucheza Pungufu

BAADA ya kufanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba kwenye mchezo uliopigwa juzi Jumatatu katikaDimba la Sokoine, Mbeya,...

READ MORE

Mbrazili wa Yanga Ataja Usajili wa Mshery

KOCHA mpya wa makipa wa Yanga, Mbrazili, Milton Nienov amefunguka kuwa usajili wa kipa, AboutwalibMshery ni usajili bora kufanywa na...

READ MORE

Sabaya Awakana Wenzake Mahakamani

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kuwa hawafahamu baadhi ya watuumiwa...

READ MORE