×

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Kauli Aliyoambiwa Lulu Diva na Mama Yake Mzazi

Lulu Diva anasema mama yake alikuwa anampa sapoti kubwa kwenye mambo anayoyafanya pia alikuwa anatamani kufanya vitu vingi lakini hali...

READ MORE

Ndugai: Hakuna sababu za kubishana na mamlaka”

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amesema hakuna sababu za kubishana na mamlaka juu ya...

READ MORE

Mke Akatwa Mikono Kwa Shoka Na Mumewe, Serikali Yapigwa Faini

Matukio ya ukatili wa jinsia na unyanyasaji, si kwa Waafrika pekee bali ni janga la dunia nzima ambapo mwanamke mmoja...

READ MORE

Minziro aanza kuvimba Geita Gold FC

BAADA ya kupata ushindi wa kwanza kwenye ligi kuu kocha wa Geita Gold FC Fred Felix Minziro amefunguka kuwa kwa...

READ MORE

Mayele aionya Simba

MSHAMBULIAJI kinara wa mabao ndani ya klabu ya Yanga mpaka sasa, Fiston Mayele amewaonya wapinzani wao kwenye mbio za ubingwa...

READ MORE

Majambazi Watano Wauawa Kigoma

WATU watano wanaosadikiwa  kuwa ni majambazi wameuwawa na Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma katika Ziwa Tanganyika baada ya kutekeleza uporaji wa...

READ MORE

Sure Boy Agomea Mazoezi Azam

BAADA ya Kocha Mkuu anayeishikilia Azam kwa muda, Mmarekani Abdihamid Moallin kuomba kwa wakongwe Aggrey Morris, Salum Aboubakar Sure Boy...

READ MORE

Askofu Gwajima ‘Roho ya Paka,’ Aijibu Mapigo CCM

UNAWEZA kusema Mbunge wa Kawe (CCM), Askofu Josephat Gwajima, ana roho ngumu au ya paka, kwani licha ya chama chake,...

READ MORE

Kimbunga Chaua Watu 375 Ufilipino

IDADI ya watu waliokufa kutokana na kimbunga kikali kilichoipiga Ufilipino imeongezeka na kufikia watu 375 huku wengine 56 bado hawajulikani...

READ MORE

Walichanjwa Watakiwa Kuchanja Tena

Kampuni inayotengeneza chanjo za Moderna imesema Watu waliomaliza chanjo zote zinazotakiwa wanapaswa kupata chanjo ya ziada (Booster) kwakuwa imeonesha kusaidia...

READ MORE

Amshambulia Mkewe Kisa Kutaka Kuachwa, Wananchi Wajibu Mapigo

JESHI la Polisi katika eneo la Kisii nchini Kenya wanamshikilia Daniel Asiago kwa kumshambulia na kumjeruhi kwa kumkatakata Mke wake...

READ MORE

 Mabishano Kuhusu Sare za JWTZ Kesi ya Mbowe

MABISHANO ya kisheria yameendelea leo Jumatatu Desemba 20, 2021 katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na...

READ MORE

Chongolo Awapongeza Umoja Wa Wanawake Tanzania (Uwt)

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewapogeza Jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) kwa kazi...

READ MORE

Mastaa Afrika Mashariki watesa Kampeni ya Mali Safi Apple Music

MASTAA wa muziki katika Afrika Mashariki wamezindua kampeni inayokwenda kwa jina la Mali Safi inayoendeshwa na Kampuni ya Apple Music....

READ MORE

Kifo cha Mama Yake, Lulu Diva Awaliza Mastaa – Video

  MUIGIZAJI na Mwanamuziki Lulu Diva, amejikuta akishindwa kujizuia na kumwaga machozi kwa uchungu kufuatia kifo cha mama yake mzazi...

READ MORE

Mauaji ya kikatili yaliyotikisa jamii 2021

Wakati tukielekea kufunga mwaka 2021, tunakumbuka matukio ya mauaji yaliyotokana na sababu mbalimbali. Matukio hayo yalisababisha hofu miongoni mwa wanajamii...

READ MORE

Elsy Wameyo Adondosha ‘Nilotic’ – Video

MWANAMUZIKI maarufu nchini Kenya, ambaye kwa sasa anafanya shughuli zake za muziki nchini Australia, Elsy Wameyo ameachia kibao kipya ‘Nilotic’...

READ MORE

Majembe mapya Yanga kuanzia Mapinduzi Cup

RASMI uongozi wa Yanga umefunguka kuwa kuna uwezekano mkubwa wa wachezaji wapya watakaosajiliwa na timu hiyo katika dirisha hili dogo...

READ MORE