×

Fancy Fingers wa Sauti Sol Atoka Kivyake

MEMBA wa Kundi la Sauti Sol la nchini Kenya, Fancy Fingers ambaye ni mtayarishaji wa muziki, ameachia singo yake inayokwenda...

READ MORE

Emmanuel Jal Aachia Video “Hey Mama”

KUTOKA nchini Sudani Kusini, mkali wa muziki Emmanuel Jal ameachia video ya kibao chake, ‘Hey Mama’ wenye maudhui ya kuelimisha...

READ MORE

Watu 15 Mbaroni kwa Kuuza Jezi Feki

JESHI la Polisi mkoani Dodoma linawashikilia watuhumiwa 15 kwa tuhuma za kuuza jezi feki kutoka katika mikoa ya Dodoma, Dar...

READ MORE

Mayele, Kibwana Majeruhi Yanga

BEKI kisiki wa Wananchi, Kibwana Shomari na straika namba moja wa timu hiyo, Fiston Mayele ni miongoni mwa nyota wanne...

READ MORE

Nafasi za Kazi Air Tanzania Company Limited, Cargo Sales Officer

Cargo Sales Officer (2 Posts) Air Tanzania Company Limited (ATCL) is making reforms in its structure, internal operations and staffing...

READ MORE

Mume Amuua Mke na Watoto Wanne Kikatili

Mwanaume mmoja, Paul Murage mkazi wa Gichugu, Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya, anashikiliwa na jeshi la polisi nchini humo akituhumiwa...

READ MORE

Mchungaji Aliyebaka Binti wa Miaka 16 Ajitetea

KASISI wa Kanisa moja huko Abeokuta katika Jimbo la Ogun nchini Nigeria, Peter Taiwo amejitetea kuwa hakumbaka mwanakwaya mwenye umri...

READ MORE

Klopp: Pengo la Salah, Mane Halizibiki

MENEJA wa Liverpool Jurgen Klopp hana mpango wa kutafuta suluhu za dirisha la uhamisho la wachezaji Mohamed Salah, Sadio Mane...

READ MORE

Balozi Mulamula Awasili Uturuki Kumwakilisha Rais Samia

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula leo Desemba 16, 2021 amewasili nchini Uturuki...

READ MORE

Ajali ya Ndege Yaua 9 Santo Domingo

WATU tisa wamefariki papohapo akiwemo mtayarishaji wa Muziki kutoka Puerto Rico, Jose Angel Hernandez ama Flow La Movie baada ya...

READ MORE

Guardiola Amfananisha Aguero na Messi, Maradona

Meneja wa Manchester City Pep Guardiola amemlinganisha Sergio Aguero na wababe wa Argentina Diego Maradona na Lionel Messi baada ya...

READ MORE

Xavi Amtaka Pogba Barcelona

KOCHA wa Barcelona Xavi amefunga mlango wa kutaka kumnunua nyota wa Manchester United Paul Pogba kwa sababu Mfaransa huyo hafanani...

READ MORE

Magari Yagongana Uso kwa Uso, Watu 2 Wafariki Dunia

WATU wawili wamefariki Dunia katika ajali iliyohusisha Malori mawili iliyotokea eneo la Mkambarani barabara ya Morogoro – Dar es alam...

READ MORE

Kizimbani kwa Tuhuma za Kusafirisha Madawa

KESI inayowakabili vijana wawili wakazi wa Jijini Dar es Salaam, Said Shewali na Salum Athumani ya kusafirisha dawa za kulevya...

READ MORE

Mastaa Simba Wawekewa 70Mil Kombe la FA

UONGOZI wa Simba SC, umewatengeawachezaji wa timu hiyo bonasi ya Sh 70Mil kwa kila ushindi kwenyemichuano ya Kombe la Shirikisho...

READ MORE

‘Mfalme wa Shetani’ Mwenye Wake 57 Azikwa Ndani ya Gari

MWANAUME mmoja nchini Nigeria Simon Odo (74) maarufu kama ‘Mfalme wa Shetani’ amezikwa ndani ya gari katika Kijiji chake kusini...

READ MORE

Dirisha Dogo la Usajili Limefunguliwa Leo

Dirisha dogo la usajili kwa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara, Championship, Ligi daraja la kwanza na Ligi Kuu ya...

READ MORE

Rais Samia Kufanya Maamuzi Magufmu Wizara ya Afya – Video

KATIKA kuboresha huduma ya afya nchini, Serikali imenuia kuitenga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kutoka...

READ MORE

Chama Atajwa Tena Yanga

MWENYEKITI wa Kamati ya Mashindano na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Young Africans, Rodgers Gumbo amesema klabu hiyo ina...

READ MORE

Aweso ‘Atumbua Jipu’ Katavu

Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Mpanda...

READ MORE