×

🔴#LIVE: Mashine Mbili Za Saini Simba, Chama Akiwepo, Nabi Aanza Kupewa Vitisho | Krosi Dongo

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Madalali Sasa Kusajiliwa na Kulipa Ada, Lazima Awe na NIDA, TIN

SERIKALI imetoa muongozo wa kusimamia shughuli za udalali nchini kwa lengo la kuwawezesha madalali kufanya kazi zitakazoleta tija kwa serikali...

READ MORE

Video: Sakata La Mbowe Latua Kwa Samia, Zitto, Lissu Wafunguka Mazito- Front Page

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Nafasi za Kazi 4 ICoT, Mechanical Engineering

POST VOCATIONAL TRAINING TEACHER(MECHANICAL ENGINEERING) – 4 POST POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER The Institute of Construction Technology(ICoT) APPLICATION...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Desemba 16, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 16, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Polisi Waua Majambazi Wawili kwa Risasi

Jeshi la Polisi nchini Kenya, limewaua kwa kuwapiga risasi watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, katika majibizano ya risasi yaliyotokea...

READ MORE

RC Makalla Akerwa Kusuasua kwa Ujenzi wa Barabara Makongo Juu

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Amos Makalla amekagua maendeleo ya Ujenzi wa Barabara ya Ardhi, Makongo Juu...

READ MORE

Aguero Atangaza Kustaafu Soka, Amwaga Machozi -Video

 MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Sergio Aguero mwenye miaka 33 ametangaza kustaafu soka kwa wakati huu kutokana na tatizo la moyo na...

READ MORE

Idd Nado Nje Miezi Sita

Daktari wa klabu ya Azam, Mwanandi Mwankemwa, amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Idd Seleman ‘Nado’, atakuwa nje ya...

READ MORE

Diamond, Zuchu, Marioo, Darasa Watesa Chati za Apple Music

  IKIWA tupo mwishoni mwa mwaka 2021, Kampuni ya muziki ya Apple imetoa chati ya nyimbo 100 bora zaidi kwa...

READ MORE

Mahakama Yapokea Gari Alilouziwa Sabaya kwa Tsh Mil 60

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha inayosikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Lengai Ole Sabaya na...

READ MORE

Rais Samia Atuma Salam za Pole Kifo cha Mch. Malasusa

Rais Samia Suluhu Hassan, ametua salamu za rambirambi kwa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya...

READ MORE

Kajala Simu Moja Kwa Harmonize Mzungu Anasepa, Povu Wimbo Mpya Wa Mond-Video

Karibu kutazama kipindi namba moja cha Udaku HOTPOT kinachokuletea habari mbalimbali za mastaa ndani na nje ya Tanzania 

READ MORE

Rhumba Yapewa Hadhi Urithi Wa Dunia

Muziki wa Rhumba wenye asili yake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Kongo Brazzaville, umepewa hadhi ya kuwa...

READ MORE

Mtanzania Ateuliwa UN Kuwa Katibu Mkuu Msadizi

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres leo Desemaba 15, 2021 amteua Bi.Joyce Msuya wa Tanzania kuwa Katibu Mkuu...

READ MORE

TGNP Yatoa Mafunzo ya Bajeti ya Mrengo wa Kijinsia Manispaa ya Kinondoni

      MTANDAO wa Kijinsia nchini (TGNP) umetoa mafunzo ya bajeti yenye mrengo wa kijinsia kwa wakuu wa idara...

READ MORE

Nafasi za Kazi 2 ICoT, Personal Secretary

POST PERSONAL SECRETARY II – 2 POST POST CATEGORY(S) HR & ADMINISTRATION EMPLOYER The Institute of Construction Technology(ICoT) APPLICATION TIMELINE:...

READ MORE

G- Nako Aachia Mini-tape Mpya ya ‘Kitimoto’

Msanii wa kizazi kipya, G-Nako ‘Warawara’ kutoka Kundi la Weusi lenye maskani yake jijini Arusha, ameachia Mini-Tape yake aliyoipa jina...

READ MORE

Rais Samia: Niko Tayari Kukosolewa

Rais Samia Suluhu Hassan amesema yupo tayari kukosolewa na kupokea maoni kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa pamoja na...

READ MORE