×

Rais Samia Akerwa na Kauli ya Waziri Wake Kuhusu Sukari

RAIS Samia Suluhu Hassan ameeleza kukerwa na kauli ya waziri wake aliyoitoa kuhusu uingizaji wa sukari nchini kutoka Uganda.  ...

READ MORE

🔴#LIVE: Morisson Afanya Mambo Ya Kutisha, Mastaa Yanga Wawekwa Kitimoto | KROSI DONGO

Karibu katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Rwanda Kusitisha Safari Za Ndege Kwa Baadhi Ya Nchi Za Afrika

Rwanda imetangaza kusitisha safari zake za ndege kwenda Johannesburg na Cape Town South Africa, Lusaka Zambia na Harare Zimbabwe na...

READ MORE

🔴#LIVE: Askari Wageuza Simu Za Wizi Mradi Binafsi, Maumivu Bei Ya Gesi Kupanda | FRONT PAGE

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Virgil Abloh Afariki Dunia

Mbunifu mahiri na maarufu wa mavazi kutoka nchini Marekani, Virgil Abloh (41) amefariki Dunia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...

READ MORE

Huawei Yatoa Vifaa Vya Maabara Ya TEHAMA UDOM

  Kampuni ya Huawei Technologies Tanzania imetoa msaada wa maabara ya TEHAMA kwa Chuo Kikuu cha Dodoma ikiwa na nia...

READ MORE

Watu Sita Wafariki kwa Kula Samaki Aina ya Kasa

JUMLA ya watu sita wamepoteza maisha na wengine 12 wakiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya wilaya ya Micheweni baada ya...

READ MORE

Man United Yaibana Chelsea

Vinara kunako Ligi ya EPL, Chelsea wamepunguzwa kasi baada ya sare ya 1-1 na Manchester United katika mchezo wa Ligi...

READ MORE

Maria Aweka Rekodi ya Kuvaa Gauni Refu Zaidi la Harusi

Maria Paraskeva, mwanamke kutoka nchini Cyprus, ndiye mwanamke aliyeweka rekodi ya kuvaa vazi la harusi refu zaidi Duniani. Maria aliolewa...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo, Jumatatu, Novemba 29, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 27, 26021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

NBC Yatoa Saruji Mifuko 920, Madawati100 Kuboresha Elimu Mara, Mtwara

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa msaada wa mifuko ya saruji 920 (sawa na tani 46) yenye thamani ya...

READ MORE

Rais Museveni Afanya Ziara Bandari ya Dar

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Museveni amefanya ziara katika Bandari ya Dar Es Salaam na Ujenzi wa Reli ya...

READ MORE

Senene Kuongezwa Kwenye Orodha ya Huduma ya Vyakula Kwenye Ndege

Baada ya kusambaa kwa video inayomuonesha mchuuzi wa Senene aliyekuwa akiuza bidhaa zake ndani ya Ndege ya Shirika la Ndege...

READ MORE

Dkt.Abbasi Awataka Wasanii Kuipa Heshima Tasnia

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, amewataka wasanii nchini kushiriki kuiendesha tasnia kwa weledi,...

READ MORE

Jukwaa La Taifa La Wanawake Wanaoishi Na Virusi Vya UKIMWI Lazinduliwa

Baraza la Watu wanaoishi na Virusi vya UKIMWI Tanzania ( NACOPHA) leo limezindua Jukwaa la Taifa la Wanawake wanaoishi na...

READ MORE

Simba Yaipiga 3-0 Red Arrows Uwanja Wa Mkapa Dar – (PICHA +Video)

KIKOSI cha Simba kimeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Red Arrows kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho uliochezwa...

READ MORE

Mfumuko wa Bei… Wananchi Wapaza Sauti Mbele Ya Mbunge Shigongo-Video

Kufuatia kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali hapa nchini wananchi wa kata ya Bukokwa, Nyehunge na Nyanzenda wa jimbo la...

READ MORE

Rais Mwinyi Atoa Pole Kwa Waliofariki Kwa Kula Samaki Kasa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo Novemba 28, 2021 ametoa salamu za...

READ MORE

Video: Rais Museveni Atembelea Kituo cha Reli ya SGR DAR

RAIS YOWERI MUSEVENI ATEMBELEA KITUO CHA RELI YA SGR DAR ES SALAAM…

READ MORE