×

Aliyetumikia Kifungo Miaka 42 Gerezani Kimakosa Aachiwa

MMAREKANI mwenye asili ya Afrika, Kevin Strickland mwenye umri wa miaka 62 ameachiliwa huru mara baada ya kutumikia kifungo cha...

READ MORE

Wema Awatolea Uvivu Wanaomsema Kuishi Mbagala

  MALKIA wa filamu za Bongo, Wema Sepetu amewatolea uvivu watu ambao wanamsema anaishi mbagala na kwenda mbali zaidi na...

READ MORE

Zari Sikurithi Chochote Kwa Marehemu Mume Wangu

Mwanamama Zarina Hassan maarufu kama Zari the bosslady amefunguka kuwa hakuwahi kurithi chochote kutoka kwa marehemu mumewe Ivan Ssemwanga aliyefariki...

READ MORE

Mahakama Yaonyeshwa Video za Sabaya Alivyopewa Mil 90 Benki

SHAHIDI wa upande wa Jamuhuri wa kesi inayomkabili aliyekua Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita,...

READ MORE

Kili Marathon Yawataka Washiriki wa Kaskazini Kujisajili Mapema

Maandalizi ya mbio maarufu za Kilimanjaro Premium Lager Marathon ambazo zinatimiza miaka 20 tangu kanzishwa kwake, yamefikia hatua nzuri huku...

READ MORE

Vigogo TAKUKURU, UVCCM Watajwa Kesi ya Sabaya

SHAHIDI wa 10 katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, Francis Mrosso...

READ MORE

Kisa Aucho Yanga Yawaita Simba Mezani, Wakala Ampeleka Chama Yanga-Video

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

RC Makalla: Hali ya Maji Tumuachie Mungu

Mkuu wa mkoa Dar es Salaam , Amos Makalla amekiri kwamba hali bado si shwari na kilichopo ni kuomba kudra...

READ MORE

Mashabiki Al Ahly Wahoji Kiwango cha Miquissone, Pitso Awaka

Kocha wa Al Ahly 🇪🇬 Pitso Mosimane amkingia kifua nyota huyo aliyeng’ara Tanzania 🇹🇿 kwa kiwango bora. Kwenye mkutano na...

READ MORE

Yanga: Mbeya Kwanza Mtatusamehe, Ushindi Kwanza

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa baada ya kutoa sare katika mchezo uliopita dhidi ya Namungo hawatahitaji matokeo kama hayo katika...

READ MORE

UBA Group Visits Tanzania, Meets President Samia Suluhu at State House

  THE UBA group Chairman Dr. Tony. O. Elumelu visited Tanzania last week were he was received by the UBA...

READ MORE

Mwili wa Baba Yake Bashe Wawasili na Kuzikwa Usiku Nzega

MWILI wa Marehemu Sheikh Mohamed Bashe umepumzishwa usiku wa kuamkia leo katika Makuburi ya Waislamu Kitongo Mjini Nzega Mkoani Tabora....

READ MORE

Kidunda: Uchawi Hauna Msaada Ulingoni

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini kutokana Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ‘JWTZ’, Sajenti Seleman Kidunda amefichua kuwa...

READ MORE

Kocha Simba Akubali Chama Atue Simba

VIDEO tatu ambazo amepewa Kocha Mkuu wa mpya wa Simba Mhispania, Franco Pablo zimetosha kumshawishi kumrejesha kiungo mshambuliaji fundi Mzambia...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mkutano wa 20 Wa Taasisi ya Fedha Nchini-Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma...

READ MORE

Wanafunzi Waliopata Mimba Kulejea Shule, |Matatani Kujenga Kaburi Njiani-Video

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Yara, UX Researcher

  We at Yara are part of a global network, collaborating to profitably and responsibly solve some of the world’s...

READ MORE

Rc Makala Akutana Na Waliobomolewa Nyumba Zao Dar-Video

MKUU wa mkoa wa Dar, Amos Makala, leo Novemba 24, amewatembelea na kuzungumza na wahanga wa zoezi la bomoa bomoa...

READ MORE

Mama Azaa Watoto 3 Wote Walemavu Wa Akili, Yeye Akatwa Mguu-Video

Familia ya Bi Asha Hamis Juma na mumewe Ally Mohamed Ally, wakazi wa Konde, Micheweni kisiwani Pemba, wanaishi katika dhiki...

READ MORE

Mazungumzo ya Aina Yake Kati ya Mkurugenzi Mkuu Anayeingia na Anayetoka

MAZUNGUMZO ya aina yake kati ya Mkurugenzi Mkuu anayeingia na anayetoka, Hisham Hendi (kulia), ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom...

READ MORE