×

Jela Mitano kwa Kusambaza Virusi vya Corona

Mwanaume mmoja huko Vietnamese amehukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani kwa kosa la kukiuka masharti dhidi ya kujikinga na Covid-19...

READ MORE

Taliban Watangaza Serikali ya Mpito Afghanistan

KUNDI la Taliban wametangaza serikali mpya ya mpito nchini Afghanistan, itakayoongozwa na mmoja wa waanzilishi wa kundi hilo, mwanamgambo aliyekuwa...

READ MORE

Ndemla Umelikung’uta Vumbi la Mabenchi

HATIMAYE yale niliyoyapigia kelele kwa muda mwingi sana nimeyaona yakitimia na sasa unaweza ukawa ni wakati wa utekelezaji na mafunzo...

READ MORE

Wasichana Wavuliwa Nguo kisha Kutembezwa Uchi

WASICHANA wapatao sita wadogo katika eneo la kati mwa India wamevuliwa nguo na kutembezwa katika maandamano wakiwa uchi kama sehemu...

READ MORE

Taifa Stars Yaitungua Madagascar 3-2

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imefanikiwa kuondoka na pointi tatu mbele ya Timu ya Taifa ya Madagascar katika...

READ MORE

Nafasi ya Kazi TaSUBa, Music and Sound Production

POST ASSISTANT INSTRUCTOR II (MUSIC AND SOUND PRODUCTION) – 1 POST POST CATEGORY(S) CREATIVE AND DESIGN EMPLOYER Taasisi ya Sanaa...

READ MORE

Diamond Ali-miss Penza la Wema, Aanika Mazito

STAA wa Bongofleva kutoka WCB Wasafi, Diamond Platnumz amesema akitazama video ya wimbo wake mpya ‘Naanzaje’ analikumbuka penzi lake na...

READ MORE

Yanga Yafungukia Pengo la Litombo na Aucho

MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela, ameweka wazi kuwa kukosekana kwa baadhi ya nyota wa kikosi hicho ambao wapo kwenye...

READ MORE

Nabi Aanzisha Vita ya Makambo, Mayele Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi ni kama amechochea vita ya namba kwa washambuliaji wake Wakongomani, Fiston Mayele na...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Wito kwa Wizara Ya Mifugo Na Uvuvi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifungo na ametumia fursa hiyo kutoa wito kwa Wizara...

READ MORE

Simba SC Yawaficha Mastaa Wawili Wapya

  IMEFICHUKA! Kuwa uongozi wa Simba umewaficha mastaa wawili wazawa waliowasajili ambao ni, Kibu Denis na Jeremiah Kisubi ambapo tayari...

READ MORE

Manara Awaomba Radhi Yanga ‘Niliteleza’ – Video

MSEMAJI wa Yanga, Haji Manara leo Jumanne, tarehe 7 Septemba 2021 amewaomba radhi wanachama na mashabiki wa timu hiyo kwani...

READ MORE

Wananchi Washangilia Jeshi Kumpindua Rais Conde

Mamia ya raia wa Guinea wamejitokeza barabarani kuunga mkono kikosi cha makomandoo kilichomteka na kumuweka kizuizini Rais wa nchi hiyo...

READ MORE

Daktari Ajiondoa Kizazi “Sitaki Kuzaa Wala Kuitwa Mama”

KATIKA hali ya kushangaza, wakati watu wanahangaika kutafuta kizazi, kusaka watoto, mwanadada aliyefahamika kwa jina la Priyanka Ramgoolam (25) ambaye...

READ MORE

Nafasi Za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema , Afisa Biashara

POST AFISA BIASHARA DARAJA II – 1 POST POST CATEGORY(S) BANKING, ECONOMICS AND FINANCIAL SERVICES HR & ADMINISTRATION MARKETING,MEDIA AND...

READ MORE

Video: Said Aliyetobolewa Macho na Scorpion Afunguka Mazito

  SAID aliyetobolewa macho na scorpion aeleza namna anavyoendelea , Jambo hili lilitokea mnamo 2016 mwezi wa tisa tar 6...

READ MORE

Kim Ashutumiwa Kuipigia Promo Sarafu ya Matapeli

SUPASTAA nchini Marekani, Kim Kardashian amekosolewa kwa kutangaza fedha ya kidigitali ambayo haijahalalishwa kwenye mtandao wake wa Instagram, na kiongozi...

READ MORE

Michael Williams Akutwa Amefariki Dunia

MUIGIZAJI maarufu wa filamu kutoka nchini Marekani Michael Williams amefariki dunia. Nyota huyo amekutwa amefariki nyumbani kwake usiku wa Septemba...

READ MORE