×

Manyara: Aua Mtoto wa Kaka na Kupika Maini Yake

Jeshi la Polisi linamshikilia Harold Hando, kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa Kaka yake, Emmanuela Hando (13) kisha kumtoa viungo...

READ MORE

Aliyekuwa Mmiliki wa Mabasi ya Mtei Afariki Dunia

MFANYABIASHARA maarufu mkoani Manyara, James Mtei ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya Jambo Express, ambaye pia awali alikuwa mmoja kati...

READ MORE

Raila Odinga Azitembelea Familia za Magufuli na Mkapa

ALIYEKUWA Waziri Mkuu nchini Kenya Raila Odinga hii leo amezitembelea familia za marais wa zamani nchini Tanzania Hayati John Pombe...

READ MORE

Rais Samia Awalilia Askari Waliouawa Kwenye Shambulio Dar

RAIS Samia Suluhu Hassan, ametoa pole kwa familia za askari watatu na askari mmoja wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA...

READ MORE

Banda Amtaja Morrison Kuzungumza Kiswahili 

WINGA mpya wa Simba, Peter Banda amesema  kuwa ameanza kuyazoea  mazingira mapya ya klabu hiyo kupitia kwa Bernard Morrison ambaye...

READ MORE

Polisi Yasema Waliouawa Wafikia Wanne – Video

WATU wanne wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika tukio la kurushiana risasi baada ya mtu mmoja ambaye hajafahamika kuwavamia...

READ MORE

Kauli ya Sirro Kuhusu Aliyeua Askari Naye Kuuawa Dar – Video

MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania, (IGP) Simon Sirro amethibitisha kuuawa kwa askari wawili wa Jeshi la Polisi wakati wa...

READ MORE

Gwajima Aomba Kuhojiwa Akiwa Amesisima, Agomea Kiti -Video

Askofu Josephat Gwajima ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kawe baada ya kuingia kwenye kamati ya Haki Maadili Na Madaraka...

READ MORE

Simanzi Nzito Mazishi ya Meya Shinyanga

Mwili wa Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Nkulila (57) aliyefariki dunia Agosti 23,2021 umewasili katika Kanisa Katoliki la...

READ MORE

Aliyejihami kwa Bunduki Aua Askari Wawili Dar – Video

MTU mmoja aliyejihami kwa bunduki ameuawa baada ya kuwaua askari wawili katika majibizano ya risasi mkoani Dar es salaam. Kwa...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi ICAP, Human Resource Officer

  ICAP at Columbia University, a global health leader situated within the Columbia University Mailman School of Public Health in...

READ MORE

Breaking: Jambazi Aua Askari Wawili Dar, Naye Auawa

HALI ya taharuki imezuka katika eneo la Barabara ya Ali Hassan Mwinyi (karibu na Ofisi za Ubalozi wa Ufaransa), zilizopo Kinondoni...

READ MORE

Jengo la Ghorofa 70 Litakalojengwa Zenji

JENGO la ghorofa 70, urefu wa mita 385 litakalojengwa Zanzibar katika kisiwa cha Chapwani Unguja litakuwa na huduma mbalimbali ikiwemo...

READ MORE

Hizi Hapa Jezi Mpya za Yanga Msimu wa 2021/22

KLABU ya Yanga leo Agosti 25, 2021 wamefanya uzinduzi wa jezi mpya za msimu wa 2021/22 kwenye ukumbi wa Mlimani...

READ MORE

Tume ya Tehama Nchini yazindua tuzo

TUME ya Tehama Tanzania, imezindua tuzo za Tehama nchini, ambapo washiriki wanapendekezwa na Wananchi wanaotumia Teknolojia zinazoendeshwa na wahusika ambao...

READ MORE

Kinachoendelea Afya ya Chameleone

Kwa mara ya kwanza baada ya kulazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi msanii Jose Chameleon amemshukuru mama yake kwa kumpambania...

READ MORE

Yanga Wanatambulisha Jezi Mpya Za Msimu Ujao – Video

 KLABU ya Yanga leo Agosti 25, 2021 wanafanya uzinduzi wa jezi mpya za msimu wa 2021/22 kwenye ukumbi wa...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Ubongo Kids, Distribution Intern (Multiple) Bagamoyo

Ubongo is a non-profit social enterprise that creates and distributes fun, localized educational content that helps kids learn, and leverage...

READ MORE

Rais Samia: Unaweza Kukuta Gaidi Umepanga Naye Nyumba Moja – Video

Rais Samia Suluhu Hassan leo Agosti 25, 2021 anafungua kikao kazi cha siku tatu cha Maofisa Wakuu wa Makao Makuu,...

READ MORE

Mtangazaji Aachwa Baada ya Kulipa Mahari

MTANGAZAJI wa chombo cha habari cha Citizen cha Kenya Trevor Ombija ameeleza masikitiko yake baada ya kuachwa na mpenzi wake...

READ MORE