×

Crown ya Kiduku, Dullah Mbabe Hadharani

RASMI Kampuni ya Jan International kupitia Mkurugenzi wake, Jan Mohamed Kishki leo Agosti 6, 2021 imeandikishana saini na Azam Tv...

READ MORE

Rais Zuma Alazwa Hospitali

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amelazwa katika hospitali nje ya gereza kwa ajili ya kufanyiwa uangalizi wa...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Aga Khan Foundation, Programme Director – Madrasa Zanzibar

The position The Programme Director provides technical and strategic leadership of MECP in Zanzibar and is responsible for upholding MECP’s...

READ MORE

Umeisikia Hii ya Pampu za Maji na Motor? Bofya Hapa Ushangae!

KWA MARA NYINGINE tena tunakusogezea vitu vikali vya bei chee, tunafahamu kuwa kuna watu wengi bado wanahangaika na shida ya...

READ MORE

Roma: Nikki Mbishi Chuki Zinakumaliza

Rapa Roma Mkatoliki amemwambia ukweli Nikki Mbishi kwamba apunguze chuki na makasiriko kwa wasanii wenzake kwani inamaliza kipaji chake kwenye...

READ MORE

Samaki Mwenye Meno ya Binadamu Azua Taharuki

Samaki asiye kuwa wa kawaida mwenye meno ya binadamu amekamatwa nchini Marekani. Picha ya samaki huyo ilisambazwa katika mtandao wa...

READ MORE

Chama: Usajili Yanga Unashtua

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mzambia, Clatous Chama, amekiri kuwa usajili unaofanywa na wapinzani wao Yanga kwa ajili ya msimu ujao...

READ MORE

CNN Yawafuta Kazi Wafanyakazi Wake Ambao Hawajachanjwa

Shirika la habari nchini Marekani CNN limewafuta kazi wafanyikazi wake watatu kwa kwenda ofisini bila kupewa chanjo dhidi ya Covid,...

READ MORE

CDF Mabeyo: Nadra Kuwapata Binadamu Kama Kwandikwa

MKUU wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (CDF), Jenerali Venance Mabeyo, amemuelezea aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga...

READ MORE

Rais Samia: Kwandikwa Ameaacha Pengo – Video

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kifo cha aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa kimeacha pengo...

READ MORE

Prodyuza Mmarekani Kumchezesha Filamu na Ally Kiba

Prudyuza maarufu kutoka nchini Marekani,Tameko Tarnez ambaye amewahi kufanya kazi na marehemu, Michael Jackson, Bob Marley na wasanii mbalimbali,amekuja nchini...

READ MORE

Mtibwa Sugar Watua Kwa Waziri Junior

KATIKA kuzidi kujiweka sawa na kujitengenezea nafasi nzuri Ligi Kuu Bara, uongozi wa Mtibwa Sugar umemshukia mshambuliaji wa Yanga, Wazir...

READ MORE

Majirani Wasimulia Wema wa Mrehemu Kwandikwa

BAADHI ya majirani wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa wameeleza namna walivyoguswa na kifo...

READ MORE

Udahili Waanza Shule Mbili Zilizojengwa na GGML

JUMLA ya wanafunzi 249 wamedahiliwa kuanza masomo ya kidato cha tano kwa mwaka wa masomo  2021/2022 katika shule za Bugando...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi TotalEnergies, Fuel Card Manager

  Job Description HSEQ: Respect of the Golden rules and all the HSE rules and standards of TOTAL by all...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Kuaga Mwili wa Waziri Kwandikwa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ajumuika na waombolezaji wengine kushiriki ibada ya kuaga...

READ MORE

Chama Abariki Luis Kujiunga na Al Ahly

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama, amefunguka kuwa atamsapoti mchezaji mwenzake na rafiki yake mkubwa, Luis Miquissone ikiwa nyota huyo...

READ MORE

Taratibu za Kufungua Kesi ya Mbowe Zimekosewa, Kesi Yaahirishwa

KESI ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es...

READ MORE

Mbowe Afikishwa Mahakamani Kisutu – Video

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kukiwa na ulinzi mkali leo...

READ MORE

Mashabiki Simba Watoa Neno Kuhusu Dewji, Manara

  UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa unaunga mkono jitihada zote za uwekezaji zinazofanywa na mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi...

READ MORE