×

Maskini Mama Wa Lulu Diva

Jina la Lulu Abbas Silangwa au Lulu Diva linapotajwa, wengi watamtambua, hasa vijana wanaohusudu muziki wa Bongo Fleva na sinema...

READ MORE

Nchi ya Tanzania na Rwanda Kuendelea Kujengeana Uwezo Kiteknolojia ya Mawasiliano

  WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile amesema nchi za Tanzania na Rwanda zitaendelea kushirikiana na...

READ MORE

Varane Aanza Kutafuta Nyumba Manchester

BEKI wa Real Madrid ambaye anawindwa na Manchester United, Raphael Varane, ametajwa kuwa anatafuta nyumba ya kuishi kwenye Jiji la...

READ MORE

Diamond Platnumz Ft Focalistic , Mapara A Jazz & Ntosh Gazi – IYO

 MSANII wa Bongo Fleva anayeipeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa, Nassib Abdul ‘Diamond’  Julai 15, 2021 ametoa wimbo mpya...

READ MORE

NBC Yakabidhi Vifaa Vyamichezo kwa Jeshi la Wananchi

Dodoma: Julai 16, 2021: Wakati mashindano ya michezo mbalimbali ya majeshi yanatarajiwa kuanzaAgosti 4 mwaka huu jijini Dodoma, benki ya...

READ MORE

Mrembo Amchoma Moto Mpenzi Wake Mpaka Kufa – Video

MWANAUME aliyefahamika kwa jina moja la Khamisi maarufu (Zungu), amefariki dunia baada ya mpenzi wake Neema Mushi waliokuwa wanaishi naye...

READ MORE

Hali ya Watanzania Afrika Kusini

Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Meja Jenerali (Mst) Gaudence Milanzi, amesema kuwa hadi sasa bado hajapokea taarifa rasmi...

READ MORE

Jafo Asitisha Shughuli Za Uchenjuaji Mtambo wa Double F

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo amesitisha shughuli za uchenjuaji wa dhahabu...

READ MORE

Mafuriko Yaua Watu 120 Ujerumani

ZAIDI ya watu 120 wamekufa kufuatia mafuriko makubwa katika maeneo ya magharibi mwa Ujerumani na Ubelgiji, operesheni zinaendelea za kuwatafuta...

READ MORE

Kodi Miamala ya Simu Ilianza Hivi – Video

HIVI ndivyo kodi mpya kwenye simu za mkononi ilivyoanza, Msikilize Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu amenukuliwa mara mbili akiwa...

READ MORE

Messi Akubali Kubaki Barcelona

MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Lionel Messi, amekubali kubaki Barcelona huku akikubali pia kupunguza mshahara. Messi sasa anajiandaa kusaini mkataba wa miaka...

READ MORE

Askari Polisi Auawa

ASKARI Polisi wa Kenya Caroline Kagongo ambaye amekuwa akisakwa kwa wiki mbili kwa tuhuma za kuua watu wawili wanaodaiwa kuwa...

READ MORE

Kajala Achukua Uamuzi Mgumu Kwa Paula

KUFUATIA maneno mengi juu ya mwanawe, Paula Paul au Paula Kajala kutokwenda shule kwa maana ya kidato cha tano na...

READ MORE

Zuchu Afunguka Kumroga Darleen

KWA mara ya kwanza, msanii mpya kunako Bongo Fleva, Zuhura Othaman au Zuchu amefunguka juu ya stori za mitandaoni kwamba,...

READ MORE

Gomes Awapa Kazi Maalum Miquissone, Clatous Chama

WAKATIwakisubiriwa kukabidhiwa kombe lao la ubingwa, Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa haifikiri kabisa mechi yake ya mwisho...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

jipatie nakala ya Gazeti la Championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx Android 👉 http://bit.ly/38Lluc8...

READ MORE

Habari Zilizoandikwa Katika Magazeti ya Leo Julai 17, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 17, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Injinia Hersi afungukia fainali dhidi ya Simba

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi matarajio yao ya ushindi katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports...

READ MORE

Maumivu Kodi Mpya Miamala ya Simu, Vilio Kila Kona

NI maumivu, ndivyo unavyoweza kueleza kilio kilichojitokeza kwa baadhi ya watumiaji wa simu za mkononi nchini baada ‘kodi ya uzalendo’...

READ MORE