×

Kesi Zuio la Uchaguzi TFF Yatupiliwa Mbali

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, jana Ijumaa ilitupilia mbali maombi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) yaliyowasilishwa...

READ MORE

Al Ahly, Kaizer ni Vita ya Wasauzi

Leo ndiyo leo kwani lazima mbabe ajulikane kati ya miamba ya soka Afrika, Kaizer Chiefs dhidi ya Al Ahly ambapo...

READ MORE

Shigongo Amuomba Rais Samia Amuondoe Mkurugenzi – Video

MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan amuondolee Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buchosa, Crispin Luanda kwani ameshindwa...

READ MORE

Makalla Kuwakabidhi Kombe Simba Uwanja wa Mkapa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa Simba dhidi ya Namungo...

READ MORE

Rais Mwinyi Afanya Uteuzi Mpya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi amemteua Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Mbarouk...

READ MORE

Kigogo Jeshi la Polisi Auawa

WATU wasiojulikana nchini Nigeria wamempiga risasi na kumuua mmoja wa vigogo wa jeshi la nchi hiyo, Meja Jenerali Hassan Ahmed....

READ MORE

Tanzania Kuanza na Chanjo Nne za Corona

WAKATI shehena ya chanjo za aina nne ikiwa njiani, Serikali imebainisha makundi yatakayoanza kukingwa maambukizi ya virusi vya corona.  ...

READ MORE

Ben Pol – Warira (Official Lyric Video Visualizer)

 MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva, Benham Paul ‘Ben Pol’ ameachia video yake ya Warira.

READ MORE

Maskini Mama Wa Lulu Diva

Jina la Lulu Abbas Silangwa au Lulu Diva linapotajwa, wengi watamtambua, hasa vijana wanaohusudu muziki wa Bongo Fleva na sinema...

READ MORE

Nchi ya Tanzania na Rwanda Kuendelea Kujengeana Uwezo Kiteknolojia ya Mawasiliano

  WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile amesema nchi za Tanzania na Rwanda zitaendelea kushirikiana na...

READ MORE

Varane Aanza Kutafuta Nyumba Manchester

BEKI wa Real Madrid ambaye anawindwa na Manchester United, Raphael Varane, ametajwa kuwa anatafuta nyumba ya kuishi kwenye Jiji la...

READ MORE

Diamond Platnumz Ft Focalistic , Mapara A Jazz & Ntosh Gazi – IYO

 MSANII wa Bongo Fleva anayeipeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa, Nassib Abdul ‘Diamond’  Julai 15, 2021 ametoa wimbo mpya...

READ MORE

NBC Yakabidhi Vifaa Vyamichezo kwa Jeshi la Wananchi

Dodoma: Julai 16, 2021: Wakati mashindano ya michezo mbalimbali ya majeshi yanatarajiwa kuanzaAgosti 4 mwaka huu jijini Dodoma, benki ya...

READ MORE

Mrembo Amchoma Moto Mpenzi Wake Mpaka Kufa – Video

MWANAUME aliyefahamika kwa jina moja la Khamisi maarufu (Zungu), amefariki dunia baada ya mpenzi wake Neema Mushi waliokuwa wanaishi naye...

READ MORE

Hali ya Watanzania Afrika Kusini

Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Meja Jenerali (Mst) Gaudence Milanzi, amesema kuwa hadi sasa bado hajapokea taarifa rasmi...

READ MORE

Jafo Asitisha Shughuli Za Uchenjuaji Mtambo wa Double F

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo amesitisha shughuli za uchenjuaji wa dhahabu...

READ MORE

Mafuriko Yaua Watu 120 Ujerumani

ZAIDI ya watu 120 wamekufa kufuatia mafuriko makubwa katika maeneo ya magharibi mwa Ujerumani na Ubelgiji, operesheni zinaendelea za kuwatafuta...

READ MORE

Kodi Miamala ya Simu Ilianza Hivi – Video

HIVI ndivyo kodi mpya kwenye simu za mkononi ilivyoanza, Msikilize Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu amenukuliwa mara mbili akiwa...

READ MORE

Messi Akubali Kubaki Barcelona

MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Lionel Messi, amekubali kubaki Barcelona huku akikubali pia kupunguza mshahara. Messi sasa anajiandaa kusaini mkataba wa miaka...

READ MORE

Askari Polisi Auawa

ASKARI Polisi wa Kenya Caroline Kagongo ambaye amekuwa akisakwa kwa wiki mbili kwa tuhuma za kuua watu wawili wanaodaiwa kuwa...

READ MORE