×

Rais Samia Amwaga Mil. 500

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameidhinisha kuingizwa kwa shilingi milioni 500 katika kila Jimbo ili...

READ MORE

Chemical: Stereo Hapana, Naogopa Mume wa Mtu – Video

RAPA Chemical, amepiga stori kwenye kipindi cha BONGO 255 na kueleza ukubwa na namna tuzo ya mwanafunzi bora ilivyo na...

READ MORE

Rais Samia Aagana na Aliyekuwa Balozi wa China Nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 4, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi...

READ MORE

Breaking: Sabaya Ashtakiwa kwa Ujambazi – Video

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ambaye alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, amesomewa...

READ MORE

Video: Uncle Shamte Avujisha Siri Za Mama Dangote | Hotpot

 KATIKA kipindi cha ‘HOTPOT’ leo Juni 04, wadakuzi wa mambo wamezungumzia ishu ya Diamond kudaiwa kununua gari ya ndoto...

READ MORE

Gari ya Diamond cha Mtoto

TANGU headlines za Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kukunua ndinga mpya aina ya Escalade kumekuwa na kelele nyingi mitandaoni....

READ MORE

Ajibu Awavuruga Yanga

MAPEMA tu kabla hata dirisha la usajili halijafunguliwa, tayari Kamati ya Usajili ya Yanga, inayoongozwa na kaimu wake, Eng. Hersi...

READ MORE

Zari Atua Bungeni Dodoma – Video

Mama Watoto wa Mwimbaji Diamond Platnumz , zarithebosslady ni miongoni mwa Wageni waliokaribishwa Bungeni Dodoma leo kushuhudia shughuli mbalimbali za...

READ MORE

Breaking: Ole Sabaya Afikishwa Mahakamani – Video

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa na...

READ MORE

Mabosi Azam Wamgeukia Sure Boy

BAADA ya Jumanne wiki hii kumsainisha mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wao, Prince Dube, uongozi wa Azam sasa upo kwenye...

READ MORE

Watoto 136 Watekwa Shuleni

MAOFISA wa Serikali katika Jimbo la Kaskakazini mwa Nigeria, wamethibisha kutekwa nyara kwa watoto 136 na kwamba wameanzisha mawasiliano na...

READ MORE

Harmonize Afunguka Nyimbo Zinazopigwa Nigeria -Video

 MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Harmonize, ameendelea kusisitiza kwa wasanii wa Bongo Fleva kutumia lugha ya Kingereza kwenye nyimbo zao...

READ MORE

Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2021 Hawa Hapa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Ummy Mwalimu leo Jumanne Juni Mosi,...

READ MORE

Jamaa Aliyewahi Kumshtaki Mungu Mahakamani, Yupo Hai

Seneta Ernie Chambers wa jimbo la Nebraska, Marekani mwaka 2008 alimshitaki Mungu akiiomba Mahakama itoe zuio la kudumu dhidi ya...

READ MORE

Kahata Aibukia Azam FC

NASEMEKANA kuwa jina la kiungo mchezeshaji wa Simba, raia wa Kenya, Francis Kahata, limeingia kwenye rada za Azam FC katika...

READ MORE

Gari Jipya la Diamond Lazua Balaa!

KUPITIA ukurasa wa Instagram wa mtoto wa kiume wa Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz na Zarithebosslady, Prince nillan imechapishwa...

READ MORE

Gumzo Laibuka Nigeria Kutaka Kubadili Jina

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wa Nigeria kwa wiki mbili, wamekuwa wakikusanya mapendekezo ya kubadili Katiba ambapo mmoja wa raia...

READ MORE

Lori Nusura Liue Watu Ubungo – Video

LORI la mizigo aina ya Scania lenye namba za usajili T 106 DKD nusura liue watu baada ya kutokea ajali...

READ MORE

Sababu za Manji Kushikiliwa na Takukuru – Video

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imethibitisha kuwa inamshikilia mfanyabiashara Yusuph Manji kwa mahojiano.   Manji, ambaye aliondoka...

READ MORE

Mechi za Kimataifa za Kirafiki Kupigika Wikiendi Hii

Ukweli ni kwamba kujipima nguvu kabla ya mechi kubwa ni muhimu! Wikiendi hii inaweza kukupa ushindi mkubwa sana endapo ukifuata...

READ MORE