×

Magazeti ya Tanzania Leo Mei 26, 2021- Video

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 26, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Wafanyakazi Wakata Keki Maadhimisho Siku ya UBA Afrika 2021

Mwenyekiti UBA Group na Mwanzilishi wa Taasisi ya Tony Elumelu Foundation, Tony Elumelu aliwaongoza viongozi wengine wa kimataifa wa Afrika...

READ MORE

Mtandao Wa Elimu Tanzania Kuadhimisha Juma La Elimu Wilayani Rorya

  MTANDAO wa Elimu Tanzania (TEN/MET) umetangaza kufanya maadhimisho ya Juma la Elimu (Global Action Week for Education-GAWE) kwa mwaka 2021...

READ MORE

Mikopo ya NMB Masta Boda Yatua Rasmi Kanda ya Kaskazini

  Kutokana na changamoto ya madereva boda boda na pikipiki aina ya miguu mitatu kutomiliki vyombo vyao vya kazi, Benki...

READ MORE

Majambazi Wanaswa Dar, Kamanda Wambura Atoa Kauli – Video

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Camilius Wambura, amesema jeshi hilo limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa kadhaa wa matukio...

READ MORE

Kaseke Aibeba Yanga, Yatinga Nusu Fainali ASFC

TIMU ya Yanga imefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la shirikisho (ASFC) baada ya leo kuilaza...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Mwana wa Kifalme Ikulu Dar

Rais Samia Suluhu Hassan leo Mei 25, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia...

READ MORE

Mhudumu wa Mochwari: Watu Wanataka Maji ya Maiti – Video

MHUDUMU wa chumba cha kuhifadhia maiti ‘Mochwari’ Francis Mtebezi Kutoka Hosptali ya Rufaa ya Mount Meru Mkoani Arusha amezungumza na...

READ MORE

Wakulima 4, Mfanyabiashara Wadakwa na Meno ya Tembo

Mfanyabiashara Caft Kileo na Wakulima Wanne, Godfrey Samuel, Richard Andrea, Moses Paul na Benjamin Richard wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Video: Mfanyakazi Wa Mochwari Afunguka – “Watu Wanataka Maji Ya Maiti”

MFANYAKAZI wa nyumba ya Kuhifadhia Marehemu Katika Hosptali Ya Mount Meru iliyopo Mkoani Arusha ameleza changamoto aliyoipitia wakati wa wimbi...

READ MORE

Mwili wa Mugabe Kufukuliwa

Kiongozi wa kitamaduni nchini Zimbabwe ameaamuru kwamba mabaki ya rais wa zamani wa nchi hiyo Robert Mugabe yafukuliwe na kuzikwa...

READ MORE

TFF Yaingia Makubaliano Na Azam Tv Miaka 10 -Video

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi na Azam TV Limited kwa pamoja leo Mei 25, 2021 wameingia makubaliano...

READ MORE

Bunge la Uganda Lapata Spika Mpya

JACOB Oulanyah, Mbunge wa Kaunti ya Omoro Kaskazini mwa Uganda, ameteuliwa kuwa Spika wa Bunge la 11. Alishinda uchaguzi kwa...

READ MORE

Bodi ya Mikopo Kufuta Tozo kwa Wanufaika

SERIKALI imesema kuwa kuanzia Julai mosi mwaka huu Bodi ya Mikopo (HESLB), itafuta tozo ya asilimia 6 ya kulinda thamani...

READ MORE

RC Makalla Awaonya Majambazi Dar, Wawili Wapigwa Risasi – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewataka majambazi na wahalifu kujisalimisha polisi na kukabidhi silaha zao huku...

READ MORE

Mali: Rais, Waziri Mkuu Washikiliwa na Jeshi

Maafisa wa kijeshi wa Mali waliokasirishwa na mabadiliko ya baraza la mawaziri wanamshikilia Rais na Waziri Mkuu katika kambi ya...

READ MORE

Waziri Ummy: Walimu Wanaojitolea Kuna Barua Feki

Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema yapo malalamiko kuwa baadhi ya Walimu wanaojitolea wanawasilisha barua feki zinazosema wanafanya hivyo wakati...

READ MORE

Wafukua Kaburi na Kuondoka na Viungo vya Marehemu

Watu wasiojulikana wamefukua mwili wa marehemu aliyefahamika kwa jina la Rehema Michel aliyefariki kwa ajali ya gari, tarehe 23/05/2021, na...

READ MORE

Nafasi za Masomo Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam – Duce (2021/2022)

Mkuu wa Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) anatangaza nafasi za masomo ya umahiri na stashahada ya uzamili...

READ MORE