×

Yacouba Apewa Sifa Kibao Yanga

BENCHI la Ufundi la Yanga linaloongozwa na Kocha Mkuu Mtunisia, Nasreddine Nabi, limefichua kwamba lilikoshwa na aina ya wachezaji wao...

READ MORE

Chris Brown Achunguzwa na Polisi

MKALI wa muziki wa RnB Chris Brown ameripotiwa kuchunguzwa baada ya mwanamke mmoja kudai kumshambuliwa nyumbani kwake  huko Los Angeles mwishoni...

READ MORE

DPP Awafutia Mashtaka Waliodaiwa Kuwatumikisha Walemavu Kuwa Ombaomba

Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) amewafutia mashtaka na kuwaachia huru washtakiwa 14 waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka 41 yakiwemo ya...

READ MORE

Breaking: Bunge Lapitisha Bajeti ya Serikali Kwa Kishindo -Video

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Juni 22, 2021 limeikubali na kuipitisha bajeti ya mapato na matumizi ya...

READ MORE

Nandy -Yote sawa (Official Audio)

Msanii wa muziki Bongo, Nandy ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Yote sawa. isikilize hapa kwa...

READ MORE

Mwigulu: Kodi Ya Majengo Kwa Kutumia Luku Sio Ya Mpangaji Ni Ya Mmiliki

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 22, 2021 amesema mfumo wa ulipaji Kodi ya Majengo kwa...

READ MORE

Mechi Za Eur0 2020 Kuendelea Wiki Hii

Hatua ya Makundi ya michuano ya EURO 2020 kutamatika wiki hii. Timu kadhaa zimeshafuzu 16 bora, huku nyingine zikiendelea kujitafuta....

READ MORE

Mahakama Yatengua Uamuzi wa Fatma Karume Kufutiwa Uwakili

MAHAKAMA kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam imetengua uamuzi wa kamati ya maadili ya mawakili wa kumfutia moja...

READ MORE

Video: Waziri Mwigulu Anajibu Hoja Za Wabunge Kuhusu Bajeti

 Spika Job Ndugai amesema, mjadala wa Bajeti ya Serikali ya 2021/22 ya Sh.36.3 trilioni unahitimishwa leo Jumanne kwa wabunge...

READ MORE

Kiba Ndombolo Umewasha, Sasa!

MFALME Ali Saleh Kiba ‘AliKiba’ Juni 10 ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la Ndombolo. Mpaka sasa imefanya vizuri, ina...

READ MORE

Maajabu: Gari Latumbukia Kwenye Nyumba Ya Mtu -Video

 KATIKA hali ya kushangaza, Gari moja la kusambaza mafuta limepata ajali na kutumbukia kwenye nyumba ya mama mmoja huko...

READ MORE

Bocco Azuia Usajili wa Beki Mpya Simba

UNAAMBIWA nahodha wa Simba, John Bocco, amepambana kadiri ya uwezo wake kuhakikisha anambakiza kikosini hapo beki wa kushoto wa timu...

READ MORE

Video: Chama Arejea Simba, Wazee Wa Yanga Waunga Mkono Mabadiliko

 Kiungo wa klabu ya Simba, Clatous Chama amerejea baada ya kukaa nje ya Uwanja kwa wiki tatu, kufuatia kufiwa...

READ MORE

Metacha Anawadai Yanga, Meneja Afunguka

HIVI sasa kipa wa Yanga, Metacha Metacha hayupo kwenye hicho baada ya kusimamishwa kutokana na kuonyesha ishara isiyofaa kwa mashabiki...

READ MORE

Video: Lijuakali, Nasari Wazua Mapya, Fatma Karume Aibuka

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Serikali Yakusanya TZS Trilioni 5.9 Kupitia Mifumo ya Kidijitali ya NMB

Ubora wa Benki ya NMB kiutendaji miaka ya hivikaribuni na mafanikio yake makubwa kifedha mwakajana ni miongoni mwa matokea ya...

READ MORE

Saba Wafariki Kwa Ajali Morogoro (Picha +Video)

WATU saba wamefariki katika ajali iliyohusisha magari matatu iliyotokea eneo na Nanenane mkoani Morogoro usiku wa kuamkia leo Jumanne Juni...

READ MORE

Nafasi za kazi 22 TEMESA, Mitambo – Automobile

POST FUNDI SANIFU DARAJA LA II (MITAMBO – AUTOMOBILE) – 22 POST POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER Tanzania Electrical,Mechanical...

READ MORE

Mil 273 Zashusha Kiungo wa Mabao Simba

SIMBA sasa ina uhakika wa kumpata kiungo mshambuliaji wa Zanaco, Mzambia, Moses Phiri baada ya meneja mkuu wa timu hiyo,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx Android 👉 http://bit.ly/38Lluc8...

READ MORE