×

Live: Vilio Vyatawala, Mwili Wa Magufuli Ukiagwa Chato, Waziri Mkuu Anaongoza

 MWILI wa Hayati Magufuli, umewasili wilayani Chato, mkoani Geita, ambapo leo Machi 25, utaagwa na wananchi wa mkoa huo....

READ MORE

Aussems Yamfika Makubwa Kenya

FIFA imeifungia madirisha mawili klabu ya soka ya AFC Leopards ya Kenya kusajili wachezaji wa kimataifa, baada kushindwa kumlipa mchezaji...

READ MORE

Kauli ya Kocha wa Stars Kuelekea Game ya Equatorial Guinea – Video

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kucheza mchezo dhidi ya Equatorial Guinea, Machi 25, 2021, ambao...

READ MORE

Samatta Amchambua Kocha Mpya Stars – Video

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kucheza mchezo dhidi ya Equatorial Guinea, Machi 25, 2021 ambao...

READ MORE

Waziri Mkuu kuongoza Wakazi wa Chato Kuaga Mwili wa JPM – Video

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo Alhamisi, Machi 25, 2021, ataongoza wakazi wa Chato na...

READ MORE

Samatta: Tupo Tayari kwa Ajili ya Mchezo wa Equatorial Guinea

MBWANA Samatta, nahodha wa kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya...

READ MORE

Mfahamu Anna Mwakasege, Rubani Aliyesafirisha Mwili wa JPM Dodoma

Baada ya kukamilika kwa shughuli za kumuaga Hayati Dk. John Pombe Magufuli jijini Dar es Salaam, mwili wake ulisafirishwa kwa...

READ MORE

Maelfu Wajitokeza Kuaga Mwili wa Magufuli Chato – Video

MWILI wa Hayati Magufuli, tayari umewasili salama nyumbani kwake Chato mkoani Geita, ambapo leo Machi 25, wakazi wa mkoa huo...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Machi 25, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 25, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Mama Azimia Mwili wa Magufuli Ukiingia Chato – Video

MWILI wa Hayati Magufuli, umewasili nyumbani kwake wilayani Chato mkoani Geita, ambapo unatarajiwa kuagwa na maelfu ya wananchi wa wilaya...

READ MORE

Mo Salah Awasili Kenya Kukipiga na Harambee Stars

KIKOSI cha Misri wakiwa na staa wao Mo Salah wamewasili jijini Nairobi Jumanne kwa ajili ya mchezo kati ya Mafarao...

READ MORE

Hatimaye Mwili wa Hayati Magufuli Wawasili Kwao Chato – Video

HATIMAYE mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli umewasili nyumbani kwake Chato...

READ MORE

Kifo cha Magufuli na Zawadi Aliyowaachia Watanzania

  IJUMAA Machi 26, 2021 wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania watampumzisha aliyekuwa rais wa nchi hiyo Dkt John...

READ MORE

Yanga Yatoa Jipya Kuhusu Metacha

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mashabiki wasiwe na mashaka kuhusu hatma ya kipa wao namba moja Metacha Mnata kwa kuwa...

READ MORE

Bilionea Gertler, Swahiba wa Kabila Aliyewekewa Vikwazo na Marekani

Utawala wa Biden hivi karibuni umemuwekea tena vikwazo mfanyabiashara wa Israeli Dan Gertler juu ya madai ya ufisadi mkubwa kwenye...

READ MORE

Slaa: Kipaumbele cha JPM Kilikuwa Kuwainua Watanzania

BALOZI wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbroad Slaa leo Machi 24, amesema kipaumbele cha Hayati Rais John Magufuli kilikuwa kuwainua...

READ MORE

Harmonize, Kajala Wamuaga JPM Kirumba

MSANII wa Bongo Fleva na C.E.O wa lebo ya Konde Gang Rajabu Abdul Kahali, maarufu Harmonize akiwa na mpenzi wake...

READ MORE

Mwanza Yazizima Kuagwa Mwili wa Hayati Magufuli – Video

WAKAZI wa Jiji la Mwanza na mikoa jirani,wamejitokeza kuuaga mwili wa Hayati Magufuli katika uwanja wa CCM Kirumba na katika...

READ MORE

Wastara Asimulia Magufuli Alivyomuokoa

MSANII wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, amesimulia jinsi aliyekuwa Rais wa Jahmuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dk John...

READ MORE