×

Biden Aidhinisha Mashambulizi Dhidi ya Wanamgambo Syria

JESHI  la Marekani limetekeleza shambulio la angani lililolenga wanamgambo wanaoungwa mkono na Iran nchini Syria, Pentagon imesema.   Shambulio hilo...

READ MORE

Tanzia: Arthur Shoo wa KKKT Afariki Dunia

  Katibu mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yenye makao yake makuu mjini...

READ MORE

Abiria Kenya Airways Ruhusa Kulipia Viti vya Ziada Kujikinga na Corona

ABIRIA wa ndege za shirika la Kenya Airways (KQ) sasa wanaweza kununua kiti cha ziada cha pembeni wakati wanasafiri iwapo...

READ MORE

Live: Rais Magufuli Anazindua Majengo Ya Chuo Cha Polisi Kurasini

 RAIS Dkt John Magufuli, leo Februari 26, amezindua majengo ya chuo cha Polisi kilichopo Kurasini jijini Dar.   ⚫️...

READ MORE

Live: Magufuli Akiweka Jiwe la Msingi Kiwanda cha Polisi

Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa kiwanda cha ushonaji wa sare za jeshi la polisi, Dar, kinachogharimu...

READ MORE

Gigy Money Amtetea Rayavnny – “Paula Kataka Mwenyewe” -Video

 MSANII wa muziki Bongo Fleva, Gift Stanford maarufu ‘Gigy Money’ usiku wa kuamkia leo akifanya mahojiano na wanahabari amezungumzia...

READ MORE

Wow! Harmonize Amnunulia Kajala Gari Jipya – Video

PENZI la Msanii Harmonize na Kajala limeendelea kuonekana kushamiri ambapo jana Februari 25, Harmonize ameonesha upendo wa nguvu kwa kumnunulia...

READ MORE

#Live: Maamuzi Ya JPM Kuisuka Dar, Wadau Wafunguka | Front Page

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Hasira za Carlinhos Zamvuruga Kaze Yanga

UPO uwezekano mkubwa wa Kocha Mkuu wa Yanga Mrundi Cedric Kaze kukifumua kikosi chake cha kwanza na kumuingiza kiungo mshambuliaji...

READ MORE

Mwanamke Mwenye Matatizo ya Akili Aambukizwa Ukimwi- Video

Fatuma Athumani (60) ni mama ambaye alibahatika kupata watoto Tisa, lakini watoto wawili kati yayo walifariki dunia huku mmoja akifariki...

READ MORE

Mbunge Nyongo Apata Ajali, Akiwa Njiani Kwenda Kwenye Mazishi -Video

Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo Februari 25, 2021 alipata ajali maeneo ya Mkalama mkoani Singida akiwa njiani kuelekea Meatu...

READ MORE

Namungo Yalamba Milioni 635, Yatinga Makundi

LICHAya kwamba wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Namungo FC, jana Alhamisi walipoteza mechi yao ya marudiano dhidi...

READ MORE

Papii Kocha Afunguka Kurudi Kivingine Kwenye Muziki

PAPII Kocha ni mtoto wa nguli wa muziki wa Dansi nchini; Nguza Viking au Babu Seya na amerejea mtaani na...

READ MORE

Amber Lulu Amejibu “Mtoto Hana Baba, Majani Simjui” – Video

  STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Amber Lulu amegoma kumuweka wazi baba wa mtoto wake ajaye huku akisisitiza kuwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

ipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Februari 26, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 26, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Watanzania Wanavyovuna Mamilioni ya Bikosports

KWA wanaofahamu umuhimu wa michezo ya kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali duniani, ukiwamo huu wa Bikosports, huwezi kuwaeleza lolote linalo...

READ MORE

Mbunge Nyongo Apata Ajali – Video

Mbunge wa Maswa Mashariki Stanslaus Nyongo amepata ajali Maeneo ya mkalama Mkoani Singida akiwa njiani kuelekea Meatu kwenye Mazishi ya...

READ MORE

Safari ya Mwisho ya Prof. Ndulu

Ndugu, jamaa na marafiki, wakiaga mwili wa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu (71), katika...

READ MORE

Wizara Yahimiza Watanzania Kufanya Utalii wa Ndani

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja, amewataka wananchi kuweka utaratibu wa kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini na...

READ MORE