×

Simba SC Kufanya Uchaguzi wa Mwenyekiti

KLABU ya soka ya Simba leo Februari 06, wameitisha mkutano na wanahabari kuzungumzia mchakato wa uchaguzi wa kujaza nafasi ya...

READ MORE

Chikwende: Azam Wasubiri Moto Wangu

BAADA ya kuonyesha kiwango bora akicheza mechi yake ya kwanza kwenye Ligi Kuu Bara, kiungo mshambuliaji wa Simba, Perfect Chikwende...

READ MORE

Libya Yaunda Serikali ya Mpito

WAJUMBE wa pande hasimu kisiasa nchini Libya jana Februari 5, 2021, wamefanikiwa kumchagua waziri mkuu na wajumbe watatu wa baraza...

READ MORE

Simanzi: Mwili wa RAS Kwitega Waagwa Arusha – Video

MWILI wa aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa (RAS) wa Arusha, marehemu Richard Kwitega, umeagwa jana Feb 5, 2021, katika viwanja...

READ MORE

Himid Mao Atua Entag El Harby

KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao ‘Ninja’ amekamilisha dili la kujiunga na Entag El Harby FC inayoshiriki Ligi Kuu...

READ MORE

Harmonize Akiri Kajala ni Mpenzi Wake!

WENYE mapenzi yao wanasema umri ni namba tu kwani si kigezo kikubwa cha kuzingatia linapokuja suala la mapenzi ya dhati...

READ MORE

Bosi TFF Azibana Simba,Yanga

MJUMBE wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) anayewakilisha Mkoa wa Dar es Salaam, Lameck Nyambaya...

READ MORE

Max Rioba Awaomba Radhi Wanawake Wanaomtukana – Video

  KUMEKUWA na maoni mengi kuhusu mtazamo wa Max Rioba baada ya video yake kusambaa mitandaoni akisema wanawake wanatakiwa wajitume...

READ MORE

Azam FC Kutumia Mbinu za Mazembe Kuiua Simba SC

UWEZO ulioonyeshwa na kikosi cha Azam FC kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya TP Mazembe, umelifanya benchi la...

READ MORE

Darassa – Waiter (Official Music Video)

 Mkali wa Hip Hop Bongo, Shariff Thabeet ’Darassa’, Februari 5, 2021 ameachia video ya wimbo wake mpya wa Waiter....

READ MORE

Shigongo: Tufanye Maamuzi Kutekeleza Ndoto za Rais – Video

MBUNGE wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, amewasihi wabunge wote kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, ...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Februari 6, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 6, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Swali la Kwanza la Shigongo Bungeni – Video

MBUNGE wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, leo Februari 5, 2021, ameuliza swali kwa mara ya kwanza bungeni jijini Dodoma kwa...

READ MORE

Wastara: Wanatumia Ulemavu Wangu Kuniumiza Kimapenzi

WASTARA Juma Kilowoko ni mmoja wa mastaa wa fi lamu hapa nchini waliopitia changamoto nyingi katika maisha yake tangu utotoni...

READ MORE

Tuzo za MTV Zaahirishwa

  Tuzo za MTV za muziki wa Afrika ‘MTV Africa Music Awards (MAMAs)’, ambazo zilikuwa zimepangwa kufanyika mjini Kampala mwezi...

READ MORE

Breaking: Joyce Kiria Akamatwa na Polisi

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na jeshi la Polisi wanamshikilia mwanaharakati Joyce Kiria kwa kosa la kuendesha mtandao...

READ MORE

Simba Kutangaza Utalii wa Tanzania Kimataifa

KLABU ya Simba leo Februari 5, 2021,  imeingia makubaliano na Wizara ya Maliasili na Utalii ya kutumia neno VISIT TANZANIA ...

READ MORE