×

Gari la Mabomu Karibu na Bunge Lakamatwa

POLISI jijini Washington DC, Marekani, wamekamata gari lililokuwa na mabomu na bunduki, likiwa limeegeshwa karibu na Bunge siku ya Jumatano...

READ MORE

Wananchi Wagoma Kufungiwa Mita za Maji

  BAADHI ya wananchi wa Kata ya Kalela wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, wametishia kutotumia maji yanayotolewa na mradi wa...

READ MORE

Breaking: Kocha wa Simba Asaini FAR Rabat ya Morocco

Aliyekuwa Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck atambulishwa rasmi FAR Rabat ya Morocco siku mbili baada ya kuacha kazi kwenye nafasi...

READ MORE

5 Wajeruhiwa Basi ‘Simba Mtoto’ Likipata Ajali Chamwino- Video

WATU watano wamejeruhiwa wakati basi la abiria kampuni ya Simba Mtoto linalofanya safari zake kati ya Dodoma na Tanga kupata...

READ MORE

VIDEO: NAIBU WAZIRI KATAMBI AZUNGUMZA

 NAIBU waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, sera, Bunge, Kazi, Ajira na walemavu, Patrobas Katambi, leo Januari 09,...

READ MORE

Klopp Awataka Mastaa Wake Wapambane..

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp, amewataka wachezaji wake wapambane dhidi ya dunia huku akisisitiza kwamba timu yake kuwa chini ya...

READ MORE

RC Morogoro Aamuru Kuswekwa Ndani Wenyeviti 21

MKUU wa mkoa wa Morogoro, Loata Ole Sanare ameagiza kukamatwa na kuwekwa ndani wenyeviti wa vitongoji 21 wa halimashauri ya...

READ MORE

Wabunge Walalamikia Kondom Feki

WABUNGE nchini Zambia wamelalamikia kondom na glovu zisizo na viwango zinazosambazwa na Kampuni ya Honey Bee, ikidaiwa zinaweza kuvuja zikijazwa...

READ MORE

Sarpong Anaondoka Yanga

UPO uwezekano mkubwa wa mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga Mghana Michael Sarpong kuondoka kati ya mwanzoni au mwisho mwa msimu...

READ MORE

Cardi B Amuwashia Moto Bosi WWE

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Mieleka ya WWE, Vince Macmahon, amejikuta akiwashiwa moto mtandaoni na rapa Cardi B, akidai kutumika...

READ MORE

Simbachawene Ampa Sirro Siku 7 Kushughulikia Bajeti ya Mbwa – Video

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amempa siku saba Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, (IGP)...

READ MORE

Dr. Dre Kulipa Bilioni 4 Za Matumizi Kwa Mkewe

GODFATHER wa Muziki wa Rap nchini Marekani ambaye ni mtayarishaji nguli wa muziki, Dr Dre amekubali kumlipa aliyekuwa mkewe Nicole...

READ MORE

Mnangagwa: Marekani Haina Haki ya Kuadhibu Nchi Nyingine

BAADA ya wafuasi wa Rais Trump kuvamia Bunge la Marekani, Rais wa #Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, amesema taifa hilo halina haki...

READ MORE

TRA Yafafanua Ongezeko Ushuru wa Magari

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa ufafanuzi taarifa juu ya kupanda kwa gharama za kodi za magari yaliyotumika yanayoingia nchini....

READ MORE

Iraq Yatoa Hati Kumkamata Trump

JAJI  katika Mahakama ya uchunguzi ya Baghdad ametoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Marekani anayemaliza muda wake, Donald Trump,...

READ MORE

Man United Yasajili Mashine Mpya

WINGA mpya wa Manchester United, Amad Diallo, amewatumia ujumbe wa hisia kali mashabiki wa timu yake ya zamani, Atalanta, kufuatia...

READ MORE

Silinde Amvua Madaraka Mwalimu Mkuu Ikhanoda – Video

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Tawala wa Mikoa na  Serikali za Mitaa (Tamisemi), David Silinde, amemvua madaraka Mwalimu Mkuu wa...

READ MORE

Yanga Yatangulia Nusu Fainali Mapinduzi

YANGA imetinga nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Namungo FC bao 1-0, mchezo uliochezwa jana Januari 8,...

READ MORE

Harmonize azidi kujiweka kwa kajala!

  KITENDO cha mkali wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au Harmo kuendelea kumpostiposti muigizaji Kajala Masanja kimeonesha jinsi gani...

READ MORE