×

Ubia Serikali na Sekta Binafsi Nguzo Kuu ya Dira 2025

Wadau wa maendeleo, wasomi na wataalamu kutoka sekta binafsi na uma wamesema Tanzania imepiga hatua kupitia Dira 2025 licha ya...

READ MORE

Mwanariadha wa Kenya Akamatwa Ukraine, Adai Kudanganywa na Jeshi la Urusi

Familia na marafiki wa mwanariadha wa Kenya, Evans Kibet, wamesema wameshtushwa na taarifa kwamba mtoto wao amekamatwa nchini Ukraine akiwa...

READ MORE

Mawakili wa Serikali Watakiwa Kuzingatia Sheria za Hifadhi ya Jamii

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari afungua mafunzo ya hifadhi ya jamii kwa Mawakili wa Serikali. Mwanasheria Mkuu wa Serikali,...

READ MORE

Miili ya Masista waliofariki ajali ya gari yawasili Dar – Video

Miili ya Masista wa Kanisa Katoliki waliopoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea wilayani Misungwi, mkoani Mwanza, imewasili jijini Dar...

READ MORE

Mke wa Rais wa Ufaransa Azua Gumzo Kisa Jinsia

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, pamoja na mkewe, Brigitte Macron, wanapanga kuwasilisha ushahidi wa picha na kisayansi mahakamani Marekani ili...

READ MORE

Kesi ya Kabila Yakabiliwa na Mashtaka Makali ya Mauaji, Ubakaji na Usaliti

Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo – Mahakama Kuu ya Kikosi cha Jeshi imeweka Ijumaa kama siku ya kutoa uamuzi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 19, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Nilishindwa Mitihani Mara Nne, Lakini Hatua Niliyopiga Ilinifanya Nifaulu Kwa Alama Za Juu

Jiji lote la wanafunzi wa chuo kikuu lilijua jina langu kwa sababu ya kushindwa mitihani. Nilikuwa maarufu kwa sababu zisizo...

READ MORE

THBUB  Yatoa Mafunzo Kwa Jeshi La Polisi Kuhusu  Haki Za Binadamu 

Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na utawala bora (THBUB), Bw. Patience Ntwina amesema kuwa uchaguzi ni mchakato...

READ MORE

Rais Chekera wa Malawi Anaelekea Kushindwa Uchaguzi Mkuu

Uchaguzi mkuu wa Malawi unaoendelea umeingia katika hatua ya kusisimua baada ya matokeo ya awali kuonyesha kwamba Rais Lazarus Chakwera,...

READ MORE

Ziara ya Rais Trump Uingereza Yagubikwa na Vita ya Ukraine

Rais wa Marekani, Donald Trump, ameanza ziara yake rasmi nchini Uingereza, ziara inayotajwa kuwa na umuhimu wa kisiasa na kidiplomasia...

READ MORE

Dkt. Samia Amnadi Dkt. Mwinyi Katika Kampeni za CCM, Makunduchi

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, Septemba 17,...

READ MORE

José Mourinho Arudi Benfica kwa Kishindo

Klabu ya Benfica imechukua uamuzi mzito baada ya kupoteza mchezo wao wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya...

READ MORE

Jiko Linalotumia Mfumo wa Nishati Safi Lazinduliwa ya Sekondari Yusuf Makamba

Dar es Salaam, 19 Septemba 2025: Kampuni ya Oryx Gas Tanzania kwa kushirikiana na Tanzania Communities Rise Foundation(TCRF) wamezindua jiko...

READ MORE

Dkt. Samia: Uchaguzi si Vita, Ni Tendo la Demokrasia Tukapige kura, Turudi Nyumbani – Video

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan,...

READ MORE

Kesi ya Uhaini Dhidi ya Tundu Lissu Kuendelea Leo Mahakama Kuu, Dar

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea leo, Alhamisi Septemba 18,...

READ MORE

Mahakama Kuu Afrika Kusini Yatupilia Mbali Rufaa ya Familia ya Edgar Lungu

Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini ilitupilia mbali rufaa siku ya Jumanne iliyowasilishwa na familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar...

READ MORE

Usiku wa Champions League: Odds Zimeshiba Meridianbet!

Usiku wa Ligi ya Mabingwa Ulaya unaendelea kwa mechi kali kabisa za kukupatia maokoto mengi. Nafasi ya wewe kuondoka na...

READ MORE

Kikosi cha Simba Chatua Botswana kwa Mtanange wa CAFCL

Kikosi cha Mnyama wa Afrika Mashariki, Simba SC, kimewasili nchini Botswana kwaajili ya mchezo wa hatua ya awali ya Ligi...

READ MORE

Waandamanaji Wapinga Ziara ya Rais Donald Trump Nchini Uingereza

Maelfu ya raia wa Uingereza wamejitokeza mitaani jijini London na miji mingine kupinga ziara ya Rais wa Marekani, Donald Trump,...

READ MORE