×

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Desemba 12, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 12, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Amshtaki Mpenzi Wake kwa Kumpotezea Muda Miaka 8

Mwanamke mmoja nchini Zambia amemshtaki mpenzi wake kwa kumpotezea muda na kushindwa kumuoa baada ya kuchumbiana kwa miaka nane.  ...

READ MORE

VOA: DUNIANI LEO – DESEMBA 11, 2020 -VIDEO

 Karibu utazame Dakika 30 za TAARIFA YA HABARI ya Duniani Leo kutoka SAUTI YA AMERIKA (VOA) zilizosheheni habari mbalimbali...

READ MORE

Naibu Waziri Kuanza na WhatsApp, Instagram

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Andrea Kundo amesema Wizara yake itaacha kukumbatia teknolojia za nje na badala...

READ MORE

Kisa Simba, Kocha FC Platinum Ameapa Kuitoa Simba

KOCHA wa FC Platinum ya Zimbabwe, Norman Mapeza amefunguka anatambua ugumu katika mchezo wao wa Hatua ya Kwanza wa Ligi...

READ MORE

Mtibwa Yaichapa Bao Moja KMC

KIKOSI cha Mtibwa Sugar leo Desemba 11 kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC kwenye mchezo wa Ligi...

READ MORE

Shigongo Afanya Jambo Zito Daraja Lililoshindikana Buchosa – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Eric Shigongo James, mapema leo Ijumaa Desemba...

READ MORE

Aliyenyongwa na Trump, Kim Kardashian Ateseka!

KIM KARDASHIAN amempoteza mtu aliyekuwa miongoni mwa  aliokuwa akiwatetea kwenye kesi zao mahakamani. Brandon Bernard amenyongwa hadi kufa Jana mjini...

READ MORE

Trump Rais wa Kwanza Karne Hii Kunyonga Marekani

  HUKUMU ya kifo ya mfungwa Brandon Bernard imetekelezwa katika jimbo la Indiana baada ya ombi la dakika za mwisho...

READ MORE

Maua Awafokea Zuchu, Nandy

Mrembo anayekiwasha kwenye tasnia ya Bongo Fleva, Maua Sama anadaiwa ‘kuwafokea’ kiaina warembo wenzake kwenye fani hiyo, Zuhura Othman ‘Zuchu’...

READ MORE

Ndugai Atoa Tamko Wabunge Ambao Hawajaapa

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, amemWapisha Prof. Shukrani Manya kuwa mbunge rasmi huku akitoa...

READ MORE

Mabao ya Chama Yana Siri Nzito Simba

KIUNGO mshambuliaji fundi wa Simba Mzambia, Clatous Chama ametaja siri ya mabao yake mawili ya ushindi aliyoyafunga nyota huyo walipocheza...

READ MORE

Babu Tale Afungukia Tuhuma za Kumtoa Kafara Mkewe

MENEJA wa mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Hamisi Taletale ‘Babu Tale’ amejitokeza na kulisafisha jina lake baada ya...

READ MORE

Msukuma Aibua Mapya “Watumishi Wanachezea Mafuta na Magari” – Video

Mbunge wa jimbo la Geita, Joseph Kasheku ‘Msukuma’, amesema watumishi wa halmashauri mpya ya Nzela hawataki kuhamia kwenye halmashauri hiyo,...

READ MORE

Magufuli: Mishahara Madini Ipunguzwe – Video

RAIS  John Magufuli, leo Desemba 12, amemwapisha, Profesa Shukrani Manya, kuwa Naibu waziri wa madini. Naibu waziri wa madini huyo,...

READ MORE

Kaze Noma! Apitisha Panga Kali Yanga

KUMEKUCHA! Ndivyo utakavyoweza kusema hivi sasa ni baada ya baadhi ya wachezaji wa Yanga kuanza kuwaaga wenzao wanaotarajiwa kuachwa na...

READ MORE

Babu Tale: Hatujazuia Clouds Kupiga Nyimbo za WCB, Kuna Utoto

MBUNGE wa jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale ambaye pia ni meneja wa Msanii Diamond Platnumz afunguka juu ya...

READ MORE

Tanzia: Mwigizaji Tommy Lister Afariki Dunia

Mwigizaji Tommy Lister maarufu ‘Tiny’ amefariki dunia, imeripotiwa kwamba alikutwa akiwa na hali mbaya kwenye apartment aliyokua anaishi na kuwaishwa...

READ MORE

Mti wa Ajabu kwa ‘Babu Tale’, Unakusanya Kijiji Kizima – Video

MATULI ni kijiji kilichopo Ngerengere mkoani Morogoro, Jimbo la Morogoro Kusini-Mashariki chini ya Mbunge wake, Hamis Taletale (Babu Tale).  ...

READ MORE

Baba: Simba Wamemponza Shiza Kichuya

BAADA ya kuelezwa kuwa kiungo mshambuliaji Mtanzania Shiza Kichuya amefungiwa kutocheza soka kwa muda wa miezi sita na Shirikisho la...

READ MORE