×

Kufuzu Fainali Kombe la Dunia 2022, Messi Kibaruani Leo

Mataifa ya Amerika yanaendelea na harakati za kuisaka tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia 2022. Michezo ya Kufuzu CONMEBOL inaendelea...

READ MORE

Senzo: Hata Mfanye Nini, Yanga Hatutoki Njiani!

MSHAURI wa masuala ya mabadiliko wa Yanga, Senzo Mazingisa, ameweka bayana kuwa licha ya yote ambayo yamemkuta ya kuhojiwa polisi,...

READ MORE

Msuva Ataja Silaha Zitakazombeba Wydad

NYOTA mpya wa Klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco, Mtanzania Simon Msuva, amefunguka kwamba kucheza ligi ya nchi hiyo kwa...

READ MORE

Mapya: Chanjo ya Moderna Inazuia Covid-19 kwa 95%

CHANJO mpya inayozuia ugonjwa wa Covid-19 ina karibu 95% ya ufanisi , data kutoka Kampuni ya Marekani Moderna inaonesha, Matokeo...

READ MORE

Mfahamu Zaidi Nabii Bushiri, Bilionea Mwenye Kesi Nzito

NABII na mchungaji maarufu wa Kikristo, raia wa Malawi al maarufu Pastor Shepherd Bushiri, anakabiliwa na mashitaka 419 ikiwa ni...

READ MORE

Kocha Simba Atimuliwa Sauz

  PATRICK Aussems, kocha wa zamani wa Simba maarufu kama Uchebe, ameripotiwa kufutwa kazi na timu yake mpya ya Black...

READ MORE

‘Pacha wa Alikiba’ Aibua Mapya

KUNA ule msemo kwamba ‘duniani ni wawili wawili’ ukiwa ina maana kwamba mtu mmoja anaweza akawa na vinasaba vya kufanana...

READ MORE

Nafasi za Kazi 21 TANROADS, Uhandisi na Ujenzi

  POST ENGINEER II – 21 POST POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER Tanzania National Roads Agency (TANROADS) APPLICATION TIMELINE:...

READ MORE

Tshala Muana Mbaroni Akidaiwa ‘Kumnanga’ Rais

SHIRIKA la kutetea haki za binadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (ACAJ), linataka maofisa wa usalama nchini humo kumwachilia...

READ MORE

Mugalu Mtambo Wa Mabao, Unaoitisha Plateau United

“MECHI ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) tuliyocheza na Yanga Julai 12, mwaka huu tulitakiwa kupata ushindi mnono...

READ MORE

Kichanga Chaokotwa Mto Msimbazi

WATEMBEA kwa miguu mchana jana Jumatatu, Novemba 16, 2020, wakipita kando na mto Msimbazi jijini Dar es Salaam walikumbwa na...

READ MORE

Stars Ikifanya Haya, Tunisia Hawachomoki kwa Mkapa

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeendelea na maandalizi ya kujiwinda na mchezo wa marudiano dhidi ya Tunisia unaotarajiwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Novemba 17, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 17, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Mo Atenga Mamilioni ya Ubingwa CAF

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, amesema kuwa ameandaa bajeti kubwa ya fedha itakayowawezesha kufi ka...

READ MORE

Njia Waliyopita Tanzania U17 Hadi Kutwaa Ubingwa Cosafa

WIKIENDI iliyopita ilikuwa ni ya kitaifa zaidi kwenye anga la kimichezo, baada ya nyimbo za taifa kupigwa mara tatu katika...

READ MORE

Fuvu la Binadamu la Miaka Milioni 2 Lafukuliwa

Watafiti kutoka Australia wamesema wamegundua fuvu la binadamu lenye miaka milioni mbili nchini Afrika Kusini ambalo litatoa ufahamu zaidi kuhusu...

READ MORE

Spoti Xtra Kuingia Mtaani kwa Kishindo Kesho

KAMPUNI ya Global Publishers inayojihusisha na uchapaji wa magazeti ya michezo ya Championi na Spoti Xtra, kwa kutambua kiu ya...

READ MORE

Zari Ampiga Chini King Bae Wake wa Sauz

MREMBO na mwanamama Zari the Boss Lady amethibitisha kuachana na mwanaume wake aliyemtambulisha mtandaoni kama ‘King Bae’ ambaye alifikia hadi...

READ MORE