×

Mama Huyu Alikuwa Mzima, Ona Sasa Hana Mguu – Video

Kabla hujafa hujaumbika ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mateso makali anayopitia Amina baada ya kukatwa mguu wake mmoja kisa kansa....

READ MORE

Nafasi za Kazi SHUWASA, Mechanical technician

POST MECHANICAL TECHNICIAN (MECHATRONICS) II – 1 POST POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER Shinyanga Urban Water Supply and Sewerage...

READ MORE

Magufuli Amtumia Ujumbe Biden

RAIS John Magufuli amempongeza Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden, na makamu wake Kamala Harris kwa kushinda katika uchaguzi mkuu...

READ MORE

Tanzia: MC Zipompapompa Afariki Dunia, Ndugu Aanika Mazito – Video

MUIGIZAJI maarufu wa Bongo Movies, MC Zipompapompa amefariki dunia jana Jumanne, Novemba 10, 2020 nyumbani kwake baada ya kuugua kwa...

READ MORE

Watakaopandisha Bei ya Saruji Kunyang’anywa Leseni

SERIKALI imesema itawachukulia hatua kali za kisheria, ikiwemo kuwanyang’anya leseni wale wote watakaobainika kuuza saruji kwa bei ya juu. Kauli...

READ MORE

Mashabiki 30,000 Waruhusiwa Kuiona Stars na Tunisia

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF),limeruhusu watazamaji kwenye mchezo wa kufuzu AFCON kati ya Tanzania na Tunisia utakaochezwa Novemba...

READ MORE

🔴#LIVE: Shigongo Aapishwa Kuwa Mbunge wa Buchosa, Bungeni Dodoma

Leo Jumatano, Novemba 11, Eric James Shigongo ameapa kuwa Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Bungeni jijini Dodoma. Zoezi la kuwapisha...

READ MORE

Tanasha Amfuata Zari Nyumbani kwa Mondi

KAMA noma na iwe noma! Ndivyo unavyoweza kuzungumza kufuatia taarifa mpya kutoka Kenya kudai kuwa, mwanadada Tanasha Donna Oketch naye...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Novemba 11, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 11, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Harmo, Sarah Waagana Rasmi

NI rasmi sasa kwamba, zile tetesi kuwa ndoa ya staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ na mkewe Sarah Michelotti...

READ MORE

Lissu Aondoka nchini, Atoa Kauli Hii – Video

ALIYEKUWA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameondoka nchini...

READ MORE

Katibu Mkuu CCM Kiteto Apata Ajali Mbaya – Video

Katibu wa CCM Wilayani Kiteto mkoani Manyara, Daniel Mhina, amenusurika kifo wakati akiendesha gari kutoka kiteteto kuelekea Dodoma. Mkuu wa...

READ MORE

Wabunge Waendelea Kuapishwa na Spika Ndugai Dodoma – Video

BUNGE la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililoanza rasmi leo Jumanne, Novemba 10, 2020, linaendelea jioni hii ambapo...

READ MORE

Mwl. Kashasha: Chama ataisaidia Yanga – Video

MTANGAZAJI na mchambuzi maarufu wa masuala ya michezo nchini, Alex Kashasha ‘Mwalimu Kashasha’, amekiri kuwa kama Yanga itafanikiwa kumsajili kiungo...

READ MORE

Majaliwa Ala Kiapo Ubunge Ruangwa

WAZIRI Mkuu Mstaafu, na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa, akiapa kuwa mbunge wa Ruangwa, Bungeni jijini Dodoma Novemba...

READ MORE