×

Aida Khenan Amtaka Mbowe Kubadili Msimamo

Mbunge Mteule wa Nkasi kwa tiketi ya CHADEMA Aida Khenan amewaomba viongozi wake waangalie upya msimamo wa kutotambua ushindi wa...

READ MORE

Fahamu Hatua kwa Hatua Jinsi Rais wa Marekani Anavyopatikana

KUELEKEA uchaguzi wa kwanza wa urais Marekani, uliofanyika Desemba 1788 hadi Januari 1789, mtindo wa kumchagua na kupata rais, ulisababisha...

READ MORE

Super Sunday: Manchester City Kuwakaribisha Liverpool EPL

Ni wikiendi ya aina yake kwenye EPL wiki hii. Mzunguko wa 8 utawakutanisha miamba ya soka la Uingereza katika mchezo...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Wateja Zaidi ya 1,000 Wajishindia Kampeni ya Jipe Tano ya Benki ya CRDB

Benki ya CRDB Novemba 5 mwaka huu imetangaza washindi zaidi ya 1,000 ambao wamejishindia fedha kupitia kampeni yake ya ‘Jipe...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Novemba 7, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 7, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Watoto wa Trump Waitupia Lawama Republican

WATOTO wawili wa kiume wa Rais wa Marekani Donald Trump wamekishutumu chama cha Republican kwa kutokuwa bega kwa bega na...

READ MORE

Adam Adam Tishio Jipya Ligi Kuu

MSHAMBULIAJI wa timu ya JKT Tanzania, Adam Adam, amewafunika mastraika wazawa na wageni baada ya kufunga mabao sita kwenye Ligi...

READ MORE

Trump Alia Kuibiwa Kura

LEO ni siku ya nne tangu kuanza kwa zoezi la kuhesabu kura nchini Marekani baada ya zoezi la kupiga kura...

READ MORE

Amber Lulu Awapa za Chembe Wanaume Hawa

MTOTO mzuri kunako Bongo Fleva, Lulu Eugen ‘Amber Lulu’ amewapa za chembe baadhi ya wanaume wanaopendwa kulelewa almaarufu wanaume-marioo.  ...

READ MORE

Shehe Mkuu Dar amvaa Ben Pol

SHEHE Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salim amemvaa na kumuonya staa wa Bongo Fleva, Benard Paul...

READ MORE

Ndugai Apendekezwa Spika wa Bunge,Tulia Naibu

  Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya  Chama cha Mapinduzi  CCM ambayo iliketi jana Dodoma  imempongeza Rais John Magufuli kwa...

READ MORE

Walimu Wawili Wapandishwa Kizimbani Kwa Tuhuma za Mauaji ya Mwanafunzi

Walimu wawili wa  Shule ya Awali na Msingi ya Holly Cross Nursery iliyopo Temeke jijijini Dar es Salaam wamefikishwa katika...

READ MORE

Jamaa Wamdai Bosi Wao Milioni 350, Wamwangukia JPM

JAMAA zaidi ya 20 ambao ni wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi ya Elerai Construction Company LTD ya jijini Arusha, inayomilikiwa...

READ MORE

Chama, Kagere Kuikosa Yanga, Bocco Atoa Kauli Ngumu – Video

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vanderbroek na Nahodha wake, John Bocco, wamezungumza na wanahabari leo Novemba 06, kuelekea mchezo wao...

READ MORE

JPM Aongoza Kikao Halmashauri Kuu CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi  CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu...

READ MORE

Mama Amwaga Machozi Akisimulia Ulemavu wa Mwanaye – Video

Mtoto Ally mwenye umri wa miaka 10 ametelekezwa na baba yake mzazi baada ya kuzaliwa na ulemavu wa viungo huku...

READ MORE

Wanaodaiwa Kuchoma Mabweni ya Shule Kilimanjaro Wanaswa – Video

Ofisi ya Taifa ya Mashtaka imewafikisha mahakamani washtakiwa watatu wanaohusishwa na matukio ya kuchoma moto bweni la Shule ya Sekondari...

READ MORE

Sure Boy Anyakua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Azam FC Oktoba

KIUNGO mshambuliaji wa Klabu ya Azam FC, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, amefanikiwa kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Azam FC...

READ MORE

Haya Ndo Mataifa Ambayo Hula Nyama ya Mbwa na Paka

Taiwan imepiga marufuku uuzaji na ulaji wa paka na mbwa kufuatia visa kadhaa vya ukatili dhidi ya wanyama na kuzua...

READ MORE