×

Hong Kong Yazindua Laini ya Simu Kuripoti Uhalifu

Polisi Hong Kong imeanzisha namba ya simu ya mawasiliano ya moja kwa moja itakayowawezesha raia kuripoti matukio yoyote yanayotishia usalama...

READ MORE

Kauli ya Solksjaer Kuhusu Hatma Yake Man U

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solksjaer, amesema makosa yaliyofanywa na mabeki wake yaliyosababisha wafungwe bao 2-1 na Instanbul Basaksehir...

READ MORE

Huyu Nd’o Muuaji Aliyeua Wauaji Zaidi ya 70

IMEKUWA kwamba chaguo (choices) tunayochagua ndiyo yanatueleza tulivyo. Kuna msemo kwenye biolojia unaosema: ” Every major decision made human brain...

READ MORE

Kombinesheni 5 Hatari Yanga SC

YANGA kuelekea Dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba itakayochezwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, tayari ina kombinesheni tano...

READ MORE

Waangalizi wa Kimataifa: Madai ya Trump Hayana Msingi

MKUU wa ujumbe wa waangalizi wa kimataifa kwenye uchaguzi wa Marekani amesema jana kwamba madai ya Rais Donald Trump hayana...

READ MORE

Kenyatta: Tumechagua Maambukuzi ya Corona Kuongezeka Kenya

KATIKA hotuba yake kwa Taifa la Kenya, Rais Uhuru Kenyatta amekubali kuwa mikutano ya kisiasa iliyoshamiri katika mwezi uliopita ilichangia...

READ MORE

Zari Arudisha Majeshi kwa Diamond, Mapokezi Yatikisa Dar

  MZAZI mweza wa msanii Nasib Abdul  ‘Diamond Platunumz’   ambaye ni raia wa Uganda, Zari Hassan, maarufu  ‘Zari the Boss...

READ MORE

Mbelgiji Simba Awachambua Mastaa Wake

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, amewachambua washambuliaji wake wote, huku akidai kuwa bado hana chaguo la kwanza na...

READ MORE

Kaze Atoa DK 20 za Kuiua Simba Jumamosi

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, amewaambia vijana wake kuwa, katika mchezo wa keshokutwa Jumamosi dhidi ya Simba, anataka...

READ MORE

Kolabo Ya Billnass, Nandy Tishio Afrika Mashariki

  ZIKIWA ni wiki kadhaa zimepita tangu Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, William Lyimo ‘Billnass’ na mchumba wake Faustina...

READ MORE

Mugalu Arejesha Matumaini Simba SC

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mkongomani, Chris Mugalu, amerejesha matumaini kwenye kikosi cha timu hiyo katika kuelekea Dabi ya Kariakoo dhidi ya...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

JPM Ateua Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali....

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Novemba 6, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 6, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Zitto Kabwe, Freeman Mbowe Waripoti Polisi

Mwenyekiti Chadema Freeman Mbowe na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe pamoja na wajumbe watatu wa kamati kuu wameripoti kituo...

READ MORE

Marais wa Afrika Wampongeza JPM Kwa Ushindi wa Kishindo

Marais waliyohudhuria sherehe za kuapishwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli wampongeza kwa ushindi wa kishindo...

READ MORE

JPM: Uchaguzi Umekwisha, Tuchape Kazi

Dkt. John Pombe Magufuli amekuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuapishwa katika jiji la Dodoma mbele...

READ MORE

Shilole: Ndoa Siyo Jela, Ukishindwa Sepa

MIEZI mich-ache baada ya kupitia mgogoro na mumewe Ashraf Uchebe, Mwanamuziki na mjasiriamali Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amefunguka kuwa ndoa siyo...

READ MORE

Man U Kumfukuza Ole, Pochettino Atajwa

KIBARUA  cha Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, huenda kikaota nyasi kutokana na mfululizo wa matokeo yasioridhisha.  Hatua hiyO...

READ MORE

Museveni Asema Hajui Mwelekeo wa Wapinzani Tz – Video

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema si rahisi kwa mgombea urais kuibuka na ushindi katika nchi za Bara la Afrika...

READ MORE