×

Uganda Yapiga Marufuku Kundi la Uangalizi wa Uchaguzi

MAMLAKA nchini Uganda imepiga marufuku miungano ya zaidi mashirika 60 iliyobuniwa kuchunguza uchaguzi mkuu wa mwaka 2021 kwa misingi kwamba...

READ MORE

Fainali Ligi ya Mabingwa Yapigwa Kalenda

SHIRIKISHO  la Soka Barani Afrika (CAF) limelazimika kuahirisha fainali ya Ligi ya Mabingwa iliyokuwa ichezwe Novemba 6, 2020, kutokana na...

READ MORE

24 Wafariki kwa Tetemeko Uturuki

WATU 24 wamefariki kwa tetemeko la ardhi lililotokea jana  huku wengine takriban 804 wakijeruhiwa.   Rais Recep Tayyip Erdogan amesema...

READ MORE

Waangalizi Wasema Uchaguzi TZ Umefuata Utaratibu

 RAIS wa zamani wa Burundi, Silvestre Ntibantunganya,  ambaye ndiye mwenyekiti wa ujumbe wa waangalizi kutoka Afrika Mashariki (AC), amesema...

READ MORE

Kimbunga Molave Chaua Watu 31

KIMBUNGA kiitwacho Molave kimeua watu 18 na wengine 48 kutofahamika waliko hadi sasa nchini Vietnam ambapo mchakato wa uokoaji unaendelea...

READ MORE

Watanzania Milioni 14.8 Hawajapiga Kura Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo ya urais yaliyotangazwa usiku Ijumaa Oktoba 30, 2020 na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yanaonyesha kuwa Watanzania milioni...

READ MORE

NMB Yatoa Vifaa vya Afya Iringa, Kagera

Katika kuadhimisha mwezi wa huduma kwa wateja, Benki ya NMB kupitia Mameneja wake wa huduma kwa wateja wa Kanda ya...

READ MORE

Christian Bella Kufanya Balaa Tamasha la Full Moon Party, Leo

Mkali wa muziki wa dansi nchini, Christian Bella na Bendi yake ya Malaika leo anatarajiwa kuzindua tamasha la Full Moon...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Oktoba 31, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 31, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Kweli Duniani Wawili Wawili!

  Ni jambo la kawaida kuambiwa umefanana na mtu fulani, kwa sababu duniani wawili wawili kuna ambao hukutana na mikasa...

READ MORE

Twaha Kiduku Ambomoa Mthailand kwa TKO, Amtaka Mwakinyo – Video

Bondia Mtanzania, Twaha Kiduku amemtwanga bondia Sorimongkhon kutoka Thailand kwa TKO raundi ya saba.            

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Uchebe Asimulia Alivyodharauliwa Kisa Kazi Yake!

MAMBO vipi mpenzi msomaji wa safu yako pendwa ya My Style? Kama ilivyo kawaida huwa tunakutana hapa na kupiga stori...

READ MORE

Breaking: Magufuli Ashinda Urais, Kura Mil. 12.5 – Video

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Dkt. John Pombe Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa kiti...

READ MORE

Rapaz Matajiri Zaidi Duniani

KWA hapa Bongo, inaaminika mastaa wa wanaoimba, ndio matajiri zaidi kuliko wale wa kufokafoka (Hip Hop). Tofauti na mtazamo huo...

READ MORE

Mimba ya Aunt Hatarini!

KITENDO cha staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel kunaswa ‘club’ ya starehe ya usiku akigida pombe za hatari ilihali...

READ MORE

Wanawake Wadai Kubakwa na Askari Bila Kinga

HAKIYANANI; dunia ina vioja vingi! Baadhi ya wanawake jijini Dar es Salaam wameibua madai mazito kwamba wanabakwa usiku wa manane...

READ MORE

Tetemeko Lenye Kubwa Laipiga Uturuki

Tetemeko la Ardhi lililotokea mchana wa Ijumaa ya tarehe 30 Octoba 2020 katika ukanda wa Bahari ya Aegean limeharibu miundombinu...

READ MORE

‘Wanaopanga Kuandamana, Dar Sio Shamba la Bibi’

KAMANDA wa Polisi Kanda Maaalum ya dar es salaam, Lazaro Mambosasa, amewaonya wanasiasa walioshindwa chaguzi kwenye mikoa mingine na sasa...

READ MORE

Mwana FA Ashinda Ubunge Muheza

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Muheza, amemtangaza Mwana Fa wa CCM kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya ubunge wa Jimbo...

READ MORE