×

Dudu Baya Hajulikani Alipo Siku 60 Sasa!

Msanii mtata wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini almaarufu kama Dudu Baya (46), mkazi wa wilaya ya Kinondoni jijini Dar, ametoweka...

READ MORE

Wanasayansi Watahadharisha Mlipuko wa Volkano DR Congo

WANASAYANSI wametahadharisha kuhusu hatari ya Mlima Nyiragongo uliopo Goma, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo kulipuka.   Mlima huo ulilipuka...

READ MORE

Mobetto: Diamond Alitaka Tupime DNA kwa Mtoto ‘Majibu Haya Hapa’

MSANII wa muziki na Uigizaji hamisa mobetto amethibitisha tetesi za mzazi mwenza wake Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto kuchukua vipimo vya...

READ MORE

Raja Casablanca Yamtaka Prince Dube

MTANDAO maarufu wa Soccer24 umeripoti kwamba, vigogo wa Morocco, Raja Casablanca wameweka ofa ya dola za Kimarekani milioni moja (US...

READ MORE

NEC Yakabidhi Nakala Ya Daftari La Wapiga Kura Kwa Vyama Vya Siasa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo Oktoba 15, 2020 imekabidhi vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi mkuu nakala tepe ya daftari...

READ MORE

Mtuhumiwa Uvamizi Studio za S2Kizzy Akamatwa – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam wanamshikilia Mtu mmoja kati ya 17 waliovamia Studio ya @s2kizzy kwa kujifanya Polisi jamii...

READ MORE

Dkt. Abbas Atembelea Studio za S2Kizzy Zilizovamiwa – Video

  Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas mchana wa...

READ MORE

Kaze Atua na Kiungo Mpya Yanga

BAADA ya kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji raia wa Burundi, Saidi Ntibazonkiza, kocha mkuu mpya wa Yanga, Cedric Kaze anayetarajia...

READ MORE

Ndege za Kivita Zagongana, Tisa Wafariki!

AJALI ya ndege mbili za kijeshi aina ya helkopta za Afghanistan zimesababisha wanajeshi kujeruhiwa huko kusini mwa jimbo la Helmand...

READ MORE

Tambwe Awaonya Simba

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe ameibuka na kusema kuwa kitendo cha uongozi wa Yanga kumsajili mshambuliaji, Saidi...

READ MORE

Breaking: Mvua Kubwa Yaua Watu 12 Dar – Video

MKUU  wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakary Kunenge, amesema kuwa mvua kubwa zilizonyesha juzi Jumanne, Oktoba 13, 2020 jijini...

READ MORE

Producer S2Kizzy Avamiwa Studio, Apigwa

MTAYARISHAJI  wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini Tanzania, Producer S2Kizzy, ameeleza kuwa amevamiwa studioni kwake ya ‘Pluto World’ iliyopo...

READ MORE

Hatimaye Mashabiki Uingereza Kurejea Uwanjani

HUENDA mashabiki wa soka nchini Uingereza wanaweza kurejea tena viwanjani hivi karibuni, baada ya ombi la mashabiki kupata saini nyingi...

READ MORE

Benki ya Akiba Ilivyoshiriki Tamasha La Wamama Wajasiriamali wa Goba

Benki ya Akiba Commercial jana ilishiriki kwenye tamasha la Wamama Wajasiriamali waishio Goba Jijini Dar. Katika tamasha hilo lililofanyika ukumbi...

READ MORE

Sven Ataja Sababu za Kakolanya Kukaa Benchi

KIWA Simba ipo nafasi ya pili baada ya kucheza mechi tano na kujikusanyia pointi 13 ndani ya Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Post Malone Aibuka na Tuzo 9 za Billboard

TUZO  za Billboard mwaka 2020 zimemalizika usiku wa kuamkia leo,  ambapo Post Malone ameibuka kinara kwa kuondoka na tuzo tisa...

READ MORE

Baba Asimulia Familia Yake Ilivyoteketea kwa Moto – Video

FAMILIA  ya watu watano iliyokuwa ikiishi maeneo ya Pugu Stesheni jijini Dar es Salaam, imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia...

READ MORE

B. Wine: Polisi Wameiba Nyaraka Uteuzi Wangu Urais

MWANASIASA na mwanamuziki wa Uganda, Robert Kyagulanyi, al maarufu Bobi Wine, ameliambia shirikala utangazajila  BBC kuwa nyaraka zinazohitajika kwa ajili...

READ MORE

TANAPA Kununua Helikopta Dhidi ya Majanga ya Moto

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla, ameagiza Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), kujipanga upya kwa kuwa na...

READ MORE

Kaze Aahidi Makubwa Yanga

AKITARAJIWA kutua leo Alhamisi saa 4 usiku, kocha mkuu mpya wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, amewatumia ujumbe mkubwa mashabiki wa...

READ MORE