×

Baba Aliyefiwa Familia ya Watu Watano – Video

BABA mzazi aliyejitambulisha kwa jina la Edward Jeremiah Katemi, amejikuta katika wakati mgumu, baada ya familia yake ya watu watano,...

READ MORE

Vikwazo Vya Silaha Iran Vyafikia Tamati

VIKWAZO  vya Umoja wa Mataifa (UN) vilivyopiga marufuku kuiuzia au kununua silaha kutoka Iran vimefikia tamati jana jumapili kama ilivyoafikiwa...

READ MORE

JPM Atua Bagamoyo, Asema Watakaoshindwa Wameshajijua – Video

MGOMBEA urais Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli  amezungumza na Wananchi...

READ MORE

Wolper: Acha Nionekane Chizi!

MALKIA wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe, amesema kuwa, yupo tayari aonekane chizi, kwani amedata kinoma kwenye penzi la Rich...

READ MORE

Mbaroni kwa Tuhuma za Kuua Akijaribu Kutoa Mimba

JESHI la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Frodius Protace ‘Gafseki’ (24) mkazi wa Kijiji cha Rushe wilayani Karagwe kwa tuhuma za...

READ MORE

John Makini Atoboa Siri ya Kuwa Bachela !

MUZIKI wa Bongo Fleva uliasisiwa na wakongwe mbalimbali kwa kuutangaza na kuujenga. Miongoni mwa wakongwe ambao wamejua kulijenga gemu la...

READ MORE

Infinix Waja na Ofa Kabambee, Ukinunua Simu 2 Unapewa King’amuzi buree!

Uzinduzi wa jishindie king’amuzi na INFINIX HOT LIVE PROMOTION umezinduliwa kwa kishindo huku wateja wakijipatia simu mpya ya INFINIX HOT...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa-wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la IjumaaWikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Dozi ya Kaze Yanga Usipime!

KAZI ya kuusaka ubingwa imeanza Yanga, hii ni baada ya kocha mpya wa kikosi hicho, Cedric Kaze kuanza kazi rasmi...

READ MORE

Chama Aanza Kuiota Michuano ya CAF

KIUNGO wa Simba, Clatous Chama ana matumaini makubwa ya timu yao kufanya vizuri kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.Michuano...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Oktoba 19, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 19, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Rais Magufuli Amjulia Hali Mama Anna Mkapa Jijini Dar Leo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe, Mama Janeth Magufuli leo Jumapili Oktoba...

READ MORE

Katwila Abwaga Manyanga Mtibwa Sugar

  IMEELEZWA kuwa, Zuber Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amebwaga manyanga kutokana na timu hiyo kuwa na matokeo ya...

READ MORE

Kagere Azua Hofu Simba, Kuwakosa Yanga

HII inaweza kuwa habari mbaya sana kwa Simba baada ya straika wao Mnyarwanda, Meddie Kagere kuwa hatarini kuikosa mechi ya...

READ MORE

SGA Yatoa Vifaa Vya Michezo Shuleni

KAMPUNI ya ulinzi ya SGA imetoa vifaa vya michezo katika shule za msingi hapa nchini, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho  ya...

READ MORE

RC Kunenge Afanya Ziara ya Kushtukiza Usiku Atoa Maagizo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amefanya ziara ya kustukiza Usiku wa manane kwenye miradi mitatu...

READ MORE

Fei Toto Ampa Tano Kaze

KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema kuwa anaamini mbele ya kocha mpya wa timu hiyo, Cedric Kaze, kikosi...

READ MORE

JPM Atembelea Ujenzi wa Nyumba Maalumu Ya Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 18, 2020 ametembelea na kukagua maendeleo...

READ MORE

Rais Magufuli Amkabidhi Nyumba Rais Mstaafu Mwinyi – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 18, 2020 amemkabidhi Rais mstaafu wa...

READ MORE