×

Zahera: Tunaleta majembe mapya, mtatukoma

MKURUGENZI wa Ufundi wa Klabu ya Gwambina, Mkongomani, Mwinyi Zahera amefunguka kuwa yupo kwenye mipango ya kukamilisha usajili wa nyota...

READ MORE

Benki ya NMB Yaja na Huduma Tatu za Kibabe

Benki ya NMB imezindua huduma mpya tatu za kidigitali zenye lengo la kurahisisha mawasiliano kati yao na wateja na kuwapatia...

READ MORE

Fisi Aliyeua Mtoto, Kujeruhi Wawili Auawa

FISI aliyeua mtoto na kujeruhi watu wazima wawili jana, Septemba 4, 2020,  mchana katika Kijiji cha Mbogo, Wilaya ya Itilima...

READ MORE

Bangi Yamuweka Matatani Lady Jaydee

MSANIImkongwe wa Bongo Fleva nchini, Judith Wambura ‘Lady JayDee’ ameingia kwenye hatari ya kufungiwa wimbo wake mpya, unaokwenda kwa jina...

READ MORE

Breaking: Pata Habari Popote Ulipo, Pakua Global App

  TUMEKURAHISISHIA KUPATA HABARI! Kupitia App etu mpya ya GLOBAL PUBLISHERS, inayopatikana kwenye Android na iOS, tumekurahisishia kupata Habari za...

READ MORE

Akiwa Hoi Anaumwa, Mzee Kiki Aongea kwa Tabu – Video

GLOBAL TV imemtembelea msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini aliyetamba zaidi na kibao chake cha ‘Kitambaa Cheupe’, Mzee King...

READ MORE

Shigongo Asitisha Kampeni Baada ya Msiba Ghafla – Video

Mgombea Ubunge Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi, Eric Shigongo James amesitisha kampeni kwa muda wa saa kadhaa baada...

READ MORE

Wawa Aapa Kula Sahani Moja na Lamine

    BAADA ya kufanikiwa kufunga bao lake la kwanza na kwa mara ya kwanza kwenye Ligi Kuu Bara, beki...

READ MORE

Sarpong: Mabeki Wananipania Sana

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong amekiri kuwa amekuwa akipata wakati mgumu katika kila mchezo wa ligi kuu kutokana kukamiwa...

READ MORE

Nmb Yatoa Msaada Wa Vifaa Vya Shule Vyenye Thamani ya Mil 35

  Benki ya NMB, imeendelea kutatua kero katika Sekta za Elimu na Afya, kwa kutoa misaada yenye thamani ya Sh....

READ MORE

Sven Afichua Ishu ya Kununiana na Kagere

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amekiri kuwa ni kweli amekuwa akitofautiana mara kadhaa na baadhi ya nyota wengi wa...

READ MORE

TAMISEMI Yajivunia Msaada wa CAMFED Kwa Wanafunzi

  SERIKARI kupitia TAMISEMI imesema inajivunia na kutambua msaada mkubwa unaotolewa na Shirika la CAMFED kwa wanafunzi wasichana na wana jamii...

READ MORE

Man U Yapigwa Bao 6-1 na Tottenham

KOCHA wa Tottenham Hotspur, Jose Mourinho, akiwa amerudi dimbani Old Trafford kama kocha wa timu pinzani ametoa adhabu kali kwa...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Oktoba 5, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 5, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Yanga Yaibua 440m za Morrison

SHIRIKISHO la Soka la Tanzania (TFF) kwa sasa ndilo pekee ambalo linasubiriwa kutoa majibu kuhusu utata wa mkataba wa mshambuliaji...

READ MORE

Simba SC Yaibadilishia Mbinu Yanga SC

ZIKIWA zimebaki siku 14 kabla ya watani wa jadi Yanga na Simba kukutana Oktoba 18, Simba imesema kuwa itatumia mtindo...

READ MORE

Ndugu Waikataa Ndoa ya Mondi

OCTOBA 2, mwaka huu ambayo msanii Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au Mondi alidaiwa kuwa angekuwa na jambo lake, ambapo ilikuwa...

READ MORE

Simba Yaipiga 4G JKT Tanzania Jamhuri, Dodoma

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck, leo Oktoba 4 kimeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya...

READ MORE

Wafanyakazi Tanesco Wasimamisha Msafara Wa Shigongo Buchosa

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo akiwa njiani akitokea katika Kijiji...

READ MORE