×

Fahyvanny: Rayvanny Kwangu Amefika

MZAZI mwenza wa msanii wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny, mwanadada Fahima Msenga ‘Fahyvanny’ amekiri kuwa hatoweza kuachwa na mpenzi...

READ MORE

Chipolopolo Yampa Mzuka Chirwa

BAADA ya kuitwa kwa mara ya kwanza kwenye timu ya Taifa ya Zambia ‘Chipolopolo’, straika wa Azam FC, Obrey Chirwa...

READ MORE

Mastaa Wawili Yanga Wamvuruga Mserbia

IMEFAHAMIKA kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mserbia Zlatko Krmpotic bado hajachagua nahodha wa kikosi chake ambacho kesho kitajitupa kwenye Uwanja...

READ MORE

Mussa Sima: Puuzeni Wanaombeza Dk. Magufuli

Mgombea Ubunge jimbo la Singida mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mussa Sima amewataka Watanzania kupuuza wapinzani wanaombeza...

READ MORE

Shigongo: Nimeacha Kila Kitu Niteseke Sababu ya Wana-Buchosa

MBOMBEA ubunge Jimbo la Buchosa kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, amesema kuwa ameacha kila kitu...

READ MORE

Panya wa TZ Apewa Nishani ya Dhahabu Uingereza

PANYA mkubwa kutoka Afrika amepewa nishani ya dhahabu kutokana na uwezo wake wa kubaini mabomu ya kutegwa ardhini.   Panya...

READ MORE

Meneja: Kagere Ataendelea Kuwakera

MENEJA wa Meddie Kagere, Patrick Gakumba, amesema kama Kocha wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck atampa nafasi mshambuliaji wake huyo basi...

READ MORE

Samatta Asepa, Watanzania Waiporomosha Ghafla Aston Villa

BAADHI  ya mashabiki wa soka wameamua ku-unfollow mtandao wa Instagram wa Aston Villa ghafla huku wengine wakiendelea kufanya hivyo kadiri...

READ MORE

Lamine Moro: Yanga Waongo, Sijasaini Mkataba

LAMINE Moro ni mmoja kati ya mabeki wa kati wenye uwezo mzuri kwenye Ligi Kuu Bara na yeye anakipiga kwenye...

READ MORE

Kiba: Mafundo Kiunoni Unataka U-King, Komando Pruu Mpaka Chini – Video

MFALME wa muziki wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba maarufu kama Alikiba, amefunguka mambo mazito yaliyo nyuma ya wimbo wake...

READ MORE

Salim Kikeke: Wanaosema Naihujumu Tanzania, Mungu Atawalipa

MTANGAZAJI wa Shirika la Habari la Uingereza, BBC, Salim Kikeke, ambaye ni raia wa Tanzania ameonyesha kusikitishwa kwake na baadhi...

READ MORE

Zahera: Siwaogopi Sadio Mane, Mo Salah Niwaogope Kagere, Chama?

MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Gwambina ya Misungwi mkoani Mwanza, Mwinyi Zahera amesema katika mechi yao dhidi Simba chochote kinaweza...

READ MORE

Nafasi ya Kazi ya Intern Global Digital

MWANDISHI WA HABARI ZA KIMTANDAO Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises LTD, inayomiliki tovuti ya Global Publishers, Mitandao ya...

READ MORE

Shigongo: Dkt. Tizeba Umefanya Jambo la Kishujaa – Video

ERIC SHIGONGO, mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),jana Ijumaa, Septemba 25, 2020, amezindua rasmi kampeni...

READ MORE

Meneja Amponza Tanasha Donna!

Staa wa muziki kutoka nchini Kenya, Tanasha Donna Oketch, ameponzwa na meneja wake ajulikanaye kwa jina la Jamal Gadaffi.  ...

READ MORE

Hao Simba Walivyoipania Gwambina Leo Mkapa Stadium

BIG bosi wa benchi la Simba, Mbelgiji Sven Vandenbroeck ameweka wazi kwamba anaingia kwa umakini kwenye mechi yao na Gwambina...

READ MORE

Uchebe Amkataa Shilole ‘Live’

Aliyekuwa mume wa mwanamuziki na mjasiriamali maarufu Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, Ashraf Uchebe amefunguka kumkataa mwanamama huyo.   Akizungumzia ishu...

READ MORE

Tabasamu Amuombea Kura Shigongo: Kwa Timu Hii, Wamekwisha! – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, jana Ijumaa, Septemba 25, 2020, amezindua rasmi...

READ MORE

Denver Nuggets Dhidi ya LA Lakers, Nani Atacheza Fainali?

Denver Nuggets wameonesha uwezo wao wa kupambana dhidi ya LA Lakers, hakuna sababu ya kuamini kwamba hawawezi kuibuka kidedea katika...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE