×

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Septemba 26, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 26, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Mzee Yusuf Afunika Tena Dar Live Akilizindua Jahazi (Picha +Video)

Ama kweli Mzee Yusuf ‘Mfalme’ hana mpinzani. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya jamaa huyo kufunika ile mbaya kwenye shoo...

READ MORE

Melody Walivyoanza Kufagia Uwanja Kabla ya Kumpisha Mzee Yusuf Dar Live

Kundi la East African Melody usiku huu lilifanya makamuzi si mchezo kabla ya kumpisha Mzee Yusuf ‘Mfalme’ kwenye onesho ndani...

READ MORE

Dkt. Abbas Aichambua SGR

Ujenzi wa Reli ya ya Kisasa (SGR) nchini unalenga kuleta maendeleo ya watu kwa kurahisisha muda wa usafiri wa abiria...

READ MORE

Shigongo Alivyomtambulisha Mkewe kwa WanaBuchosa – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, leo Ijumaa, Septemba 25, 2020, amezindua rasmi...

READ MORE

Baada ya Mondi Kutangaza Kumzimia Mimi Mars, Zuchu Hapatoshi!

KITENDO cha mwanamuziki kinara wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kuweka wazi hisia zake za kimapenzi kwamba, anamzimia kinoma...

READ MORE

Musukuma: Shigongo Njoo Nikufundishe – Video

MGOMBEA Ubunge wa Ji8mbo la Geita Vijijini, Mhe. Joseph Kasheku kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amemtaka Mgombea Ubunge wa Jimbo...

READ MORE

Mbunge Aliyenaswa Akifanya Ufusika na Mchepuko Bungeni Ajiuzulu

Mbunge wa Argentina, Juan Emilio Ameria amejiuzulu Ubunge ikiwa ni siku chache baada ya kusimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge kutokana...

READ MORE

Wahitimu St Mark’s Waaswa Kutojiingiza Kwenye Utumiaji Dawa za Kulevya

Wazazi na walezi wametakiwa kutokimbilia shule zenye ufaulu  kwa ajili ya kuwapeleka watoto  wao na kuaswa kuwatafutia shule zitakazowajenga kimaadili...

READ MORE

Amber Rutty, Mumewe, James Delicious Jela Miaka 5

MSANII Rutyfiya Abubakary maarufu kama ‘Amber Rutty’ na mpenzi wake, Said Bakary, pamoja na mtuhumiwa mwenzao, James Charles ‘James Delicious’,...

READ MORE

Shigongo Azindua Kampeni, Aahidi Buchosa Mpya

MGOMBEA Ubunge wa jimbo la Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo leo...

READ MORE

Bongo 255 Yahamia Mtaani, Balaa la Chid Benz Ilala Hatari Tupu – Video

SHOO namba moja ya burudani nchini, Bongo 255 inayoruka kupitia +255 Global Radio, leo Ijumaa, Septemba 25, 2020 imetoka studio...

READ MORE

Shughuli ya H-Baba Uzinduzi Kampeni za Shigongo Buchosa – Video

MSANII wa Bongo Fleva, H Baba, amekiwasha kwenye uwanja wa Nyakaliro wakati wa uzinduzi wa kampeni za ubunge wa Jimbo...

READ MORE

Balaa! Mapokezi ya Shigongo Uzinduzi wa Kampeni Buchosa – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, leo Ijumaa, Septemba 25, 2020, anazindua rasmi...

READ MORE

Iva – Fire (Official Audio)

Muimbaji chipkizi wa Bongo Flavour ambaye ni Mshiriki wa Shindano la Toboa Kimuziki na Global TV, Jackson Yusuph ameachia wimbo...

READ MORE

Yanga Yasifia Mziki Wao, Mtibwa Sugar Wajipange

TIMU ya Yanga imeeleza kuwa kazi sasa imeisha baada ya kikosi chao kuonekana kuwa kimeimarika kila idara muhimu.   Yanga...

READ MORE

Afariki kwa Kula Pipi

MWANAMUME mmoja (54) ambaye ni mfanyakazi wa ujenzi nchini Marekani amefariki dunia baada ya kula pipi zilizotengenezwa kwa pombe maarufu...

READ MORE

Polepole: Wapinzani Waungane Tutawachapa Asubuhi -Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole,  leo Septemba 25, 2020, amesema chama chake kitavishinda...

READ MORE

Wadau wa Korosho Nchini Waazimia Kupandisha Thamani ya Zao Hilo

Bodi ya Korosho nchini kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali ikiwemo TMX, WHI na nyinginezo kutoka ndani na nje ya nchi...

READ MORE

Mwanafunzi Amkata Mapanga Mwalimu Wake

MWANAFUNZI wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Kiaga wilayani Butiama, mkoani Mara, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa...

READ MORE