×

Putin Asifu Juhudi za Trump Kumaliza Vita vya Ukraine

Katika mkutano na maafisa wake, Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amesema anakaribisha juhudi za “dhati” za Donald Trump kumaliza vita...

READ MORE

MC Mwingira, Msanii wa Nyimbo za Hamasa CHADEMA, Afariki kwa Ajali ya Gari

Mtunzi na mwimbaji wa nyimbo mbalimbali za hamasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akiwemo wimbo maarufu “Tundu Lissu...

READ MORE

Mgombea Urais wa CUF, Gombo Samandito, Akabidhiwa Fomu na NEC

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, Agosti 13, 2025, alikakabidhi...

READ MORE

Mchambuzi Saleh Jembe Atoa Maoni Kuhusu Mchango wa Yanga kwa CCM – Video

Mchambuzi mashuhuri wa soka Bongo, Saleh Jembe, ametoa maoni yake kuhusu kitendo cha klabu ya Yanga SC, chini ya uongozi...

READ MORE

NEC Yatoa Fomu kwa Mgombea Urais wa ADC, Wilson Mulumbe

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, Agosti 14, 2025, amemkabidhi...

READ MORE

Nchi za Kiarabu Zashambulia Kauli ya Upanuzi wa Mipaka ya Israel

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amezua taharuki na ukosoaji mkali kutoka kwa nchi kadhaa za Kiarabu baada ya kusema...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 15, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Watu Watatu Wajeruhiwa Katika Shambulio la “Drone” Urusi

Belgorod, Urusi — Watu watatu wamejeruhiwa baada ya shambulio la ndege isiyo na rubani (Drone) kulipua gari lililokuwa likisafiri katikati...

READ MORE

Yanga Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Mchango wa CCM wa Shilingi Milioni 100

Uongozi wa Yanga SC umetoa ufafanuzi kuwa mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa CCM tarehe 12 Agosti 2025, ulitolewa na...

READ MORE

Rais Samia Awapa Pole Waathirika wa Ajali ya Mgodi Shinyanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa wananchi waliokumbwa na janga...

READ MORE

Simba Yamtambulisha Naby Camara kwa Mkataba wa Miaka Miwili

Klabu ya Simba SC imethibitisha kumsajili kiungo kiraka raia wa Guinea, Naby Camara, kama mchezaji huru kwa mkataba wa miaka...

READ MORE

Rais Samia Atunukiwa Nishani ya Heshima ya Juu ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa Nishani ya Heshima...

READ MORE

Ujio wa Meridianbet Mwenge Wafurahiwa wa Mama Ntilie

Katika juhudi za kuzidisha kurudisha kwa jamii, kampuni ya ubashiri Tanzania leo hii waliamua kurejesha kidogo ambacho wanakipata kwa kuwatembelea...

READ MORE

Jela Maisha Kwa Kumlawiti Mtoto Wa Miaka 4

Mahakama ya Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha imemhukumu kwenda jela kifungo cha maisha Bw. Samwel Sosteness (20) mfanyakazi za ndani,...

READ MORE

Kikwete, Ramaphosa na Boko Wapanga Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Maji Afrika

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameungana na Rais wa...

READ MORE

Rais Samia atunukiwa Tuzo Maalam ya Maji 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya Juu ya Heshima ya Maji...

READ MORE

Bwawa la Ethiopia Latishia Usalama wa Maji Misri

Cairo, Misri – Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi amefanya mazungumzo na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, mjini Cairo Jumanne,...

READ MORE

CAF Yatoza Kenya Faini ya Milioni 127, Yaonya Kuhamishia Mechi Nje

Bodi ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) imeipiga Kenya faini ya dola 50,000 za Marekani (sawa na...

READ MORE

Bet Boost, Odds Kubwa Kuliko Zote Ndani Ya Meridianbet

Katika harakati za kuhakikisha furaha inapatikana kwa kila mbashiri, Meridianbet inaleta ubunifu wa kipekee kwa wateja wake, ni bet boost,...

READ MORE

Mke wa Rais wa Zamani Korea Kusini Akamatwa kwa Tuhuma za Rushwa na Udanganyifu

Mke wa Rais wa zamani wa Korea Kusini, Kim Keon-Hee, amekamatwa Jumanne, Agosti 12, 2025, akikabiliwa na tuhuma za rushwa,...

READ MORE