×

Breaking News: Yanga Yamtimua Kocha Wake

KLABU ya Yanga leo, Jumatatu, Julai 27, 2020, imetangaza kumfuta kazi kocha wao, Luc Eymael,  baada ya kocha huyo kusikika...

READ MORE

Msemaji wa Serikali Akutwa na Virusi vya Corona

Msemaji wa Serikali ya Kenya, Cyrus Oguna amethibitisha kuwa na virusi vya Corona baada ya kufanya vipimo na kupatikana na...

READ MORE

Wawa Kucheza Fainali Dhidi Ya Namungo FC

BEKI wa kati wa Simba, Muivory Coast, Pascal Wawa, anatarajiwa kuwepo kwenye sehemu ya kikosi kitakachoivaa Namungo FC katika mchezo...

READ MORE

Staa wa Ghana, Miaka 20 ya Ndoa, Agundua Watoto 3 Siyo Wake

JARIBU kufikiria upo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 20 au zaidi, ndoa yenu ikiwa imebarikiwa kuwa na watoto watatu,...

READ MORE

DRC: Miili 37 ya Watu Waliouawa Yagunduliwa

TAKRIBANI miili 37 ya watu waliokufa imegunduliwa hivi punde huko Pinga na viunga vyake, katika eneo la Walikale, katika mkoa...

READ MORE

China Yaripoti Maambukizi Mapya 46 ya Covid-19

SERIKALI ya China imeripoti kesi mpya za maambukizi ya virusi vya corona katika China bara Julai 25, ikiwa ni ongezeko...

READ MORE

Mondi Arudishwa kwa Tanasha!

MWONEKANO mpya wa mzazi mwenza wa na mwanamuziki mkubwa barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna umewatoa wengi udenda...

READ MORE

Wananchi Waendelea Kuaga Mwili wa Hayati Mzee Mkapa – Video

Wananchi na Viongozi wanaendelea kuuaga mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Uhuru. Kesho,...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Vodacom Tanzania – Wellbeing Senior Specialist

HSE & Wellbeing Senior Specialist Posting Country:  Tanzania, United Republic of Date Posted:  22-Jul-2020 Full Time / Part Time:  Full Time Contract Type:  Permanent...

READ MORE

Matola Asimulia Alivyopewa Laki Tano na Mkapa

KUFUATIA kifo cha Rais wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamin William Mkapa, familia ya michezo...

READ MORE

Mbelgiji Yanga Amtaja Luis wa Simba

BIG bosi wa Yanga, Luc Eymael amefunguka kuwa, ndani ya klabu hiyo kuna wachezaji hajawaona muda mrefu kutokana na kutoonekana...

READ MORE

Exclusive: Mama D Apasua Jipu Mrembo wa Mondi

Mama wa mwanamuziki maarufu  wa Afro Pop ndani na nje ya nchi, Nasibu Abdul ‘Diamond Platiumuz’ Sanura Kassim ‘Mama Dangote’...

READ MORE

Simba Wamalizana na Straika Mghana

NAELEZWA uongozi wa timu ya Simba umeshamalizana na aliyekuwa mshambuliaji wa Rayon Sport ya Rwanda, Mghana, Michael Sarpong.   Simba...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na IjumaaWikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa-Wikienda  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Gabo Zigamba ‘Mgonjwa’ Wa Vitabu

MKALI wao huko Bongo Muvi, Salim Ahmed almaarufu kama Gabo Zigamba, amefunguka kuwa, yeye ni mtu anayependa sana kusoma vitabu...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu, Julai 27, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 27, 2020 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Hatimaye Samatta Asalia Ligi Kuu Uingereza

Ligi kuu ya England imemalizika jioni ya leo baada ya michezo ya raundi ya thelathini na nane kuchezwa huku Liverpool...

READ MORE

Mke Aeleza Alivyozichapa Kavukavu na Chege

KUMEKUWA na kawaida ya mastaa wa fani mbalimbali kutodumu muda mrefu kwenye mahusiano yao kutokana na sababu mbalimbali na kitu...

READ MORE

MWILI wa MKAPA WAAGWA na Mamia ya Wananchi Dar (Picha +Video)

MAMIA ya wananchi wa Jiji la Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Uhuru ambako shughuli za kuaga...

READ MORE

WIMBO MPYA: K-LIGHT KILEMBA REMIX FT Hamadai, Moni, Amber Lulu, Liah

 K Light ametuletea Kilemba Remix akiwa amewashirikisha Amber Lulu, Moni, Linnah karibu uitazame

READ MORE