×

Breaking: Rais Magufuli Afika Nyumbani Kwa Mzee Mkapa -(Video +Picha)

 Rais Magufuli akiambatana na Mkewe Mama Janeth jioni ya leo Julai 25, 2020 amefika nyumbani kwa marehemu Benjamin William...

READ MORE

GSM Yafunga Hesabu, Hivi Hapa Vifaa Vipya Yanga

WADHAMINI wa Yanga, Kampuni ya GSM rasmi imewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa kila kitu kuhusu usajili...

READ MORE

Rich Mavoko Acha Unyonge Maisha ni Vita, Amka

UNAPOTAJA jina la Q-Chillah kwa mashabiki na wadau wote wa Bongo Fleva na hata ambao siyo wapenzi wa muziki huo...

READ MORE

Mama Samia: Taifa Limepoteza Mtu Muhimu – Video

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassam, amesema kwamba kifo cha aliyekuwa Rais wa...

READ MORE

Rais Mwinyi, Kardinali Pengo Wafika Kutoa Pole Msiba wa Mkapa – Video

KUFUATIA kifo cha cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Benjamini wa Tanzania, Benjamin William Mkapa, Rais Mstaafu wa awamu...

READ MORE

Mzee Mkapa…Asante kwa Zawadi Ya Uwanja

USIKU wa kuamkia jana Iju-maa, taifa lilipata msiba mzito, hiyo ni baada ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Simanzi! Rais Shein Ampa Pole Mama Anna Mkapa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, ameungana na waombolezaji wengine kutoa pole kwa...

READ MORE

Azam FC Kushusha Vifaa vya Kimataifa

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa utafanya usajili wa wachezaji wa kimataifa wenye viwango vizuri ili kuirudisha timu hiyo kwenye...

READ MORE

Jembe la Yanga Lasaini Azam FC

INAELEZWA kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mohammed Issa ‘Mo Banka’ tayari ameshamalizana na mabosi wa Azam FC kwa kusaini mkataba wa...

READ MORE

Yanga: Tshishimbi Chukua 60m au Sepa tu

WADHAMINI wa Klabu ya Yanga, Kampuni ya GSM imemuwekea kitita cha Sh milioni 60 kiungo wake mkabaji Mkongomani, Papy Tshishimbi...

READ MORE

Kifo cha Mkapa, Chadema Yaahirisha Mikutano Kuwapata Wagombea Urais

CHAMA Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, Chadema kimetangaza kuahirisha mikutano yake iliyokuwa ianze tarehe 27 hadi 29 Julai 2020 ili...

READ MORE

Kocha Namungo, Yanga Wanatafuta

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Namungo, Hitimana Thiery amesema yuko tayari kutua kuifundisha Yanga huku kocha mkuu wa timu hiyo,...

READ MORE

Membe: Mkapa Alikuwa Kiongozi wa Dunia

WAKATI Tanzania ikiendelea na mombolezo kufuatia kumpoteza aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya...

READ MORE

Dkt. Shein: Viongozi Vijana Jifunzeni kwa Mkapa – Video

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali mohammed Shein, amewasili kwa ajili ya kutoa salamu za pole na kusaini...

READ MORE

Majaliwa Amjulia Hali Kijana Deogratius Mianga MOI

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa jana (Ijumaa Julai 24, 2020) alimjulia hali kijana Deogratias Mianga mkazi wa Singida ambaye amelazwa katika...

READ MORE

Wanaswa na Takukuru Wakiwapelekea Fedha Wajumbe

TAASISI ya kuzuia na kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoani Mara inatarajia kuwahoji wagombea ubunge Viti Maalum sita mkoa wa Mara...

READ MORE

Wabunge 15 wakutwa na virusi vya corona

WAZIRI wa Afya wa Zambia, Chitalu Chilufy,a amesema baada ya zoezi la lazima la upimaji wa virusi vya corona katika...

READ MORE

Simba SC: Namungo Tulieni, Zamu Yenu Bado

LICHA ya Simba kukabiliwa na mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam mbele ya Namungo, lakini mabosi wa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE