×

Nunua na Soma Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Bonyeza hapa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu, Julai 28, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 28, 2020 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Kigogo Simba Aficha Hatima Ya Shiboub

MTENDAJI Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa, raia wa Afrika Kusini, amefunguka kuwa watazungumzia juu ya hatima ya kiungo wao Msudan,...

READ MORE

Lusajo, Bigirimana Wampa Hofu Sven

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Simba, Sven Vandenbroeck, amekiri kuwa ubora wa safu ya ushambuliaji ya Namungo inayoongozwa na Reliants...

READ MORE

Viongozi wa Nje Waanza Kuwasili Kuhudhuria Mazishi ya Mkapa

VIONGOZI mbalimbali kutoka nje ya Tanzania wameanza kuwasili nchini kuhudhuria maziko ya kitaifa ya Rais wa awamu ya tatu wa...

READ MORE

Dkt. Abbas: WaTZ Mfike Uhuru Stadium Saa 12 – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dkt Hassan Abbas, amewataka Watanzania kujitokeza mapema katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, kesho...

READ MORE

Majaliwa Aelekeza Kumuaga Mkapa Kesho – Video

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa melekezo ya shughuli ya kitaifa ya kuaga mwili wa...

READ MORE

Sarpong: Nasubiri Tiketi Simba SC

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Rayon Sports, Michael Sarpong, amefunguka kuwa kwa sasa anasubiria viongozi wa Simba wamtumie tiketi ili aweze kutua...

READ MORE

Ndugai Ampa Pole Mama Anna Mkapa Nyumbani

SPIKA wa Bunge,  Job Ndugai, akisaini kitabu cha maombolezo alipofika nyumbani kwa Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William...

READ MORE

Tundu Lissu Arejea Tanzania Baada ya Kupona

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Bara, Tundu Lissu, amewasili nchini baada ya kuwa ughaibuni kwa...

READ MORE

Ratiba Kupokea Mwili wa Mkapa Yabadilika

MWILI wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, utawasili moja kwa moja kijijini Lupaso, mkoani Mtwara kesho jioni kutoka jijini Dar es...

READ MORE

Tarimba Aanika Kilichoibeba SportPesa TZ

ABBAS TARIMBA, Mkurugenzi wa Uendeshaji wa SportPesa Tanzania, amesema mafanikio makubwa ya kampuni hiyo yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na ushirikiano...

READ MORE

TFF Kumchukulia Hatua za Kinidhamu Kocha wa Yanga

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema litamchukulia hatua za Kinidhamu Kocha Mkuu wa Yanga Sc, Luc Eymael. Kocha...

READ MORE

Bunge la Somalia lamtimua Waziri Mkuu

  BUNGE la Somalia limepiga kura jana Jumamosi ya kumwondoa kwenye wadhifa wake Waziri Mkuu, Hassan Ali Khayre, ambaye ameendelea...

READ MORE

Mzungu Yanga Akubali Muziki wa Kagere, Kahata

LUC Eymael, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, amesema kuwa nyota wa Simba, Meddie Kagere na Francis Kahata ni miongoni mwa...

READ MORE

Mgombea Aangusha Kibuyu Akiomba Kura

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mmoja wa wagombea wa udiwani Kata ya Sungwizi, Katambi Sospeter,  alijikuta kwenye wakati mgumu baada...

READ MORE

Niyonzima Aweka Kando Mkataba wa Yanga

LICHA ya kubakisha miezi miwili kabla ya mkataba wake kumalizika, kiungo nyota wa Yanga, Haruna Niyonzima, amefunguka kwamba ameamua kuuweka...

READ MORE

Ndanda FC, Lipuli FC, Alliance Zashuka Daraja

  PAZIA la Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2019/20 jana lilimalizwa kibabe kwa klabu za Ndanda FC ya Mtwara,...

READ MORE

Prof. Mahalu Aanika Mkapa Alivyomnusuru Kifungo

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino, Profesa Costa Mahalu, amesema kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu,...

READ MORE