×

Aliyemtusi Rais JPM Ahukumiwa Jela

KIJANA aliyemtukana Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Magufuli katika mtandao wa Facebook amehukumiwa kulipa faini ya shillingi millioni...

READ MORE

Kigogo wa Unga Anaswa na Jeshi

JESHI la Mexico limemkamata kigogo mwenye mtandao mkubwa wa madawa ya kulevya nchini humo, Jose Antonio Yepez, aliyesaidia kuchochea vurugu...

READ MORE

Yanga Yatema Nyota 14 – Tshishimbi, Banka, Ngassa, Molinga…

YANGA Agosti 3, 2020 wametangaza nyota wake 14 waliowaacha huku mchezaji wao wa kigeni, Bernard Morrison, akiachwa kikosini kwa msimu...

READ MORE

Nandy, Lulu Diva Wamuumbua Gigy Money!

BAADA ya kuwepo kwa tetesi za bifu zito kati ya wanamuziki wawili wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ na Lulu...

READ MORE

Nanenane Dodoma Yaipaisha TZ Kimataifa – Video

Mkakati wa Serikali ya Awamu ya Tano ya kuanzisha Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati Dodoma yameufanya Mkoa wa Singida...

READ MORE

Chadema Yampitisha Lissu Kuwania Urais

KAMATA Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imewapitisha Tundu Antipas Lissu, Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majinge, kusaka...

READ MORE

Wema: Jamani Anayeolewa na Mondi Siyo Mimi!

STAA kiwango wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu, ameweka wazi na kuvunja minong’ono kwamba, huwenda yeye ndiye mtarajiwa wa mwanamuziki...

READ MORE

Waziri Kairuki Atembelea Banda La TTCL Maonesho Ya Nanenane Simiyu

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri M Kuu anayeshughulikia Uwekezaji, Mhe. Angellah Kairuki amelitaka Shirika la Mawasiliani Tanzania TTCL, kuongeza nguvu...

READ MORE

Agizo la JPM Kuhusu Vyoo Soko la Kibiti Laanza Kutekelzwa – Video

Ikiwa ni siku chache Rais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania kusimama na kuzungumza na wakazi wa wilaya ya kibiti wakati...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne, Agosti 4, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 4, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nandy: Billnass Ndio Kila Kitu Kwangu

SEXY lady kunako Bongo Flevani, Faustina Charles ‘Nandy’ amemshukuru mchumba wake William Lymo ‘Billnass’ kwa sapoti anayompa.   Akizumgumza na...

READ MORE

‘NBC Shambani’ Gumzo Maonesho ya Nanenane Simiyu

SIMIYU: Wadau mbalimbali wa kilimo wanaoshiriki na kutembelea Maonyesho ya Kilimo yaNaneNane  yanayofanyika kitaifa kwenyeUwanja wa Nyakabindi, Bariadi mkoani Simiyu, wameonesha kuvutiwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Uwazi   kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Bonyeza...

READ MORE

Yanga Yasajili Mashine Nne kwa Mpigo

JEURI ya fedha! Ndivyo utakavyoweza kusema hivi sasa baada ya Kampuni ya GSM kutumia Sh milioni 210 kufanikisha usajili wa...

READ MORE

Nyota Mpya Simba Atamba Kufanya Maajabu

CHARLES Ilanfya, straika mpya ndani ya Klabu ya Simba ambaye inaelezwa kuwa amesaini dili la kuitumikia klabu hiyo kwa msimu...

READ MORE

Mauya: Nilishuhudia Mwenzangu Akichomwa Kisu Alipofunga Bao

MBIO za usajili wa wachezaji wapya kwa ajili ya msimu wa Ligi Kuu Bara 2020/21 zimeanza kwa kasi ndani ya...

READ MORE

Mzee Yusuf: Njooni Dar Live Muone Mambo!

MFALME wa Muziki wa Taarab, Mzee Yusuf anatarajia kuunguruma Agosti 7, mwaka huu pale kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala...

READ MORE

Manara Atembelea Shule Aliyosoma, Aibua Hili

MSEMAJI wa Klabu ya Simba, Haji Manara ametembelea Shule ya Sekondari Chimala iliyopo Mkoa wa Mbeya ambayo alisoma miaka kadhaa...

READ MORE