×

Majanga Yaendelea Kumwandama Mtoto Aliyeokolewa Chooni

MISUKOSUKO imeendelea kumwandama mtoto (jina linafichwa) ambaye aliopolewa kwenye shimo la choo cha Shule ya msingi Murganza iliyoko wilayani Ngara...

READ MORE

Simba Yamteka Beki Mpya Wa Yanga SC

NI umafia juu ya umafia! Baada ya Yanga kuwazidi kete Simba kwa kumsajili Bakari Mwamnyeto, Wekundu hao wa Msimbazi wamejibu...

READ MORE

Binti wa Miaka 17 Mahakamani: Sikubakwa na Nilitaka Mwenyewe

MTOTO wa miaka 17, ameiambia Mahakama ya Mkoa ‘B’ Chake Chake kuwa, mshitakiwa Bakar Mbwana Juma wa Kengeja hakumbaka, bali...

READ MORE

Shiboub Apewa Ofa Nono Yanga, Akubali Kusaini

WADHAMINI wa Yanga, Kampuni ya GSM, imempa ofa kiungo mchezeshaji fundi wa Simba raia wa Sudan, Sharraf Eldin Shiboub kwa...

READ MORE

Hati za Viwanja vya Wachezaji wa Taifa Stars Ziko Tayari

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas...

READ MORE

Atuhumiwa kwa Kuua Ndugu Zake Waliomtuhumu Kuiba Kuku na Redio

Mwanaume wa miaka 33, mkazi wa Lira, Uganda anashikiliwa na polisi baada ya kuwaua ndngu zake waliomtuhumu kuiba kuku na...

READ MORE

Tshishimbi Akubali Yaishe Yanga, Aomba Kusaini

KIUNGO mkabaji raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, amekubali yaishe na kukubali kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia Yanga.Hiyo ikiwa ni...

READ MORE

Suzan Mashibe: Rubani Mtanzania Mwanamke Wa Kwanza Kupata Leseni Marekani -Video

Binti mdogo mwenye umri wa miaka minne tu, yupo Uwanja wa Ndege wa Kigoma, Magharibi mwa Tanzania. Pembeni yake, yupo...

READ MORE

Mwakyembe Ataka Vitabu Visivyo na Ithibati Kuondolewa

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amelitaka Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), kuwasajili wafasiri, wakalimani...

READ MORE

JPM Aeleza Dhamira Kugombea Urais -(Video +Picha)

SIKU moja baada ya pazia la uchukuaji fomu za urais kufunguliwa na Tume ya Uchaguzi (NEC) leo mgombea urais was...

READ MORE

Twitter Yazuia Akaunti ya Kampeni ya Rais Trump

TWITTER imezuia akaunti ya kampeni ya Rais wa Marekani,  Donald Trump, kwa kukiuka sheria zake zinazohusu usambazaji wa taarifa za...

READ MORE

Naibu Waziri Adaiwa Kutoa Rushwa Kura za Maoni UWT

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Mary Mwanjelwa, amedaiwa kutoa rushwa kwa wajumbe wa Mkutano wa Umoja wa...

READ MORE

TB Joshua: Nasubiri Sauti Kutoka kwa Mungu

MCHUNGAJI maarufu wa Nigeria, Temitope Balogun Joshua maarufu kama TB Joshua,  anasema anasubiri kusikia ‘sauti ya Mungu’ kabla hajafungua huduma...

READ MORE

Ifahamu Kemikali Iliyoisambaratisha Beirut

  TAKRIBANI tani 3,000 za kemikali ya ammonium nitrate zilizohifadhiwa miaka sita iliyopita katika ghala zimeelezewa kusababisha mlipuko huo uliotokea...

READ MORE

Makosa ya Jinai Kuendelea Kutokuwa na Dhamana – Video

SERIKALI imeshinda kesi ya rufaa ya kufutwa kwa kifungu cha 148 (5) cha Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Jinai...

READ MORE

Botswana Yapiga Marufuku Pombe Kuuzwa

SERIKALI ya Botswana imepiga marufuku uuzwaji wa pombe na kusimamisha leseni za wauzaji wote wa vinywaji. Marufuku hiyo itaendelea mpaka...

READ MORE

Matola Afunguka Kuhusu Kusepa Azam FC

Kocha msaidizi wa Klabu Bingwa Tanzania Bara na Kombe la Shirikisho (ASFC) Simba SC, Selemani Matola, amekanusha uvumi wa kuwa...

READ MORE

Bashiru: Kazi na Bata, Sijui Wanalala na Bata! – Video

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amesema anashangwazwa na kaulimbiu ya moja ya vyama vya upinzani...

READ MORE

Malkia Kareen: Ni Mwendo wa Kusaka Pesa

Sexlady kunako anga la muziki wa Bongo Fleva Karen Habash ”Malkia Karen” amesema kuwa  hakuna muda wa kulala ni muda...

READ MORE