×

Yanga: Tshishimbi Chukua 60m au Sepa tu

WADHAMINI wa Klabu ya Yanga, Kampuni ya GSM imemuwekea kitita cha Sh milioni 60 kiungo wake mkabaji Mkongomani, Papy Tshishimbi...

READ MORE

Kifo cha Mkapa, Chadema Yaahirisha Mikutano Kuwapata Wagombea Urais

CHAMA Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, Chadema kimetangaza kuahirisha mikutano yake iliyokuwa ianze tarehe 27 hadi 29 Julai 2020 ili...

READ MORE

Kocha Namungo, Yanga Wanatafuta

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Namungo, Hitimana Thiery amesema yuko tayari kutua kuifundisha Yanga huku kocha mkuu wa timu hiyo,...

READ MORE

Membe: Mkapa Alikuwa Kiongozi wa Dunia

WAKATI Tanzania ikiendelea na mombolezo kufuatia kumpoteza aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya...

READ MORE

Dkt. Shein: Viongozi Vijana Jifunzeni kwa Mkapa – Video

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali mohammed Shein, amewasili kwa ajili ya kutoa salamu za pole na kusaini...

READ MORE

Majaliwa Amjulia Hali Kijana Deogratius Mianga MOI

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa jana (Ijumaa Julai 24, 2020) alimjulia hali kijana Deogratias Mianga mkazi wa Singida ambaye amelazwa katika...

READ MORE

Wanaswa na Takukuru Wakiwapelekea Fedha Wajumbe

TAASISI ya kuzuia na kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoani Mara inatarajia kuwahoji wagombea ubunge Viti Maalum sita mkoa wa Mara...

READ MORE

Wabunge 15 wakutwa na virusi vya corona

WAZIRI wa Afya wa Zambia, Chitalu Chilufy,a amesema baada ya zoezi la lazima la upimaji wa virusi vya corona katika...

READ MORE

Simba SC: Namungo Tulieni, Zamu Yenu Bado

LICHA ya Simba kukabiliwa na mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam mbele ya Namungo, lakini mabosi wa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Uganda Yatangaza Maombolezo Siku Tatu

RAIS Yoweri Museveni wa Uganda ametangaza maombolezo ya siku tatu na bendera kupepea nusu mlingoti nchini humo kufuatia kifo cha...

READ MORE

VIDEO: Msibani Kwa Mzee Mkapa, Viongozi Mbalimbali Wanafika Kutoa Pole

 RAIS Mstaafu wa awamu wa tatu, Hayati Benjamin Mkapa atazikwa Jumatano ijayo Julai 29, Kijijini kwao Lupaso , mkoani...

READ MORE

Namna ya Kutuma Pesa Kutoka Kenya, Uganda na Rwanda

Kampuni inayoongoza katika kuhakikisha mtanzania anaishi Maisha ya kidijitali,Tigo Tanzania, imeweza kurahisisha utumaji na upokeaji wa pesa, Huduma hii ni...

READ MORE

Kaburi la Mkapa Laanza Kuandaliwa

ASKARI wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wameanza kuchimba kaburi linalotarajiwa kutumika kuupumzisha mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya...

READ MORE

Wananchi Lupaso Wajiandaa Kupokea Mwili wa Mkapa

WANAKIJIJI wa Lupaso na vijiji jirani wanaendelea na kusafisha mazingira ya makazi yao wakijitayarisha kuupokea mwili wa aliyekuwa Rais wa...

READ MORE

P-Funk Hataki Kumsikia Mtu Zaidi ya Rapcha

NGULI kwenye muziki wa Bongo Fleva, P-Funk Majani amefunguka kuwa, kwa sasa nguvu na akili yake imeegemea katika upande wa...

READ MORE

Mudathir: Tunataka Heshima Tu Azam FC

KIUNGO wa Azam FC, Mudathir Yahya, amesema licha ya kupoteza nafasi ya kutwaa kombe lolote msimu huu, lakini kikosi chao...

READ MORE

Bosi Simba: Usajili Wetu Utakuwa wa Balaa!

LICHA ya mipango mizito ya usajili ambayo inayofanywa na mabosi wa Simba wakiongozwa na mwekezaji wao Mohammed Dewji ‘Mo’ imebainika...

READ MORE

Nani Kushuka Daraja Ligi Kuu Uingereza? Aston Villa, Bournemouth..

Mziki umeendelea kuwa mnene wa nani atasalia katika Ligi Kuu ya Uingereza na nani atacheza katika michuano ya Europa League....

READ MORE

Harmo Aja na Balaa Lingine!

DAR: Rais wa Lebo ya Konde Music Worldwide, Rajab Abdul ‘Harmonize’ ametangaza balaa jipya mwezi ujao wa Agosti. Harmonize au...

READ MORE