×

Waombolezaji 380 Wanusurika Kufa kwa Maji ya Sumu

WAOMBOLEZAJI waliokuwa kwenye msiba wanaokadiriwa kufikia 380 wamenusurika kifo baada ya kugundua kutumia maji ya kisima yenye sumu kwa kupikia...

READ MORE

Wachezaji wa Stars wakunwa na udhamini wa Serengeti Premium Lager

Wachezaji wa timu ya taifa, Taifa Stars, wameelezea kufurahishwa na udhamini wa Bia ya Serengeti Premium Lager na kusema kuwa...

READ MORE

NCBA BANK Yateua Mkurugenzi & Ofisa Mkuu Mtendaji Mpya

NIC Bank Tanzania Ltd na CBA Bank Tanzania Ltd wapo mbioni kumalizia uunganaji wa taasisi zao na kuanza kutoa huduma...

READ MORE

Mwanza: Mchina Ahukumiwa Jela kwa Kutoa Rushwa

MAHAKAMA  ya Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, imemhukumu kifungo cha miaka mitatu au kulipa faini ya Shilingi laki nane raia...

READ MORE

Walimu Watatu Wanaswa na TAKUKURU Kagera

  TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera inawashikilia waalimu watatu wa Shule ya Sekondari Kalenge...

READ MORE

Meek Mill Ashtakiwa kwa Kuiba Mashairi

RAPA  Meek Mill amefunguliwa mashtaka kwa kuiba mashairi ya nyimbo mbili za lebo ya Philadelphia.   Kampuni ya Dream Rich...

READ MORE

Serikali Kuanza Kutoa Tuzo kwa Wasanii

SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeanza mchakato wa kuandaa tuzo kwa wasanii ambazo zitajumuisha sekta zote...

READ MORE

Wimbo wa ‘Kufuru’ Wamponza nay wa Mitego

SIKU chache baada ya staa wa muziki wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, kuachia ngoma yake mpya inayokwenda...

READ MORE

Nandy ‘Ampiga’ Kiba!

UNAWEZAkusema ufalme wa Ali Kiba ‘Kiba’ kwenye mtandao wa YouTube ni kama umepinduliwa mapema, takwimu zinaongea.Ile kukaa tu kitini na...

READ MORE

Rais Magufuli Ateua DC na Ma-DED Watano

Rais Dkt. John Magufuli leo Julai 07,2020 amemteua Lauteri Kanoni kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe akichukua nafasi...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Uwazi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Bonyeza hapa...

READ MORE

Mkuchika Ateua Makatibu Tawala wa Wilaya

WAZIRI  wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika,  kwa mamlaka...

READ MORE

Dyana Nyange: Nimerudi Kundini!

“NAJUA unanipenda nami nakupenda wewe… Unajua nakupenda nangoja uanze wewe… Moyo wangu wakupenda wewe pekee… Nivute kwako, nitoe huu upweke…...

READ MORE

Tigo na Tecno wazindua Tecno Spark 5 saba saba

Kampuni ya mawasiliano ya tigo imewataka wananchi kutumia nafasi ya uwepo wa maonesho ya kibiashara ya 44 ya Dare salaamu...

READ MORE

Waziri Mkuu Aipongenza Benki ya NMB kwa Maendeleo ya Nchi

  Maendeleo makubwa yaliyopatikana nchini katika kipindi cha kwanza cha uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano, yamechangiwa kwa namna...

READ MORE

Kifo cha Mke wa Babu Tale, Harmonize ‘Ahukumiwa’

ULE msemo usihukumu, usije ukahukumiwa umetokea kwenye msiba wa mke wa Hamis Tale ‘Babu Tale’, Shamsa Kombo.   Jicho la...

READ MORE

Mwanamuziki Anayeishi Kimateso, Aanza Kusaidiwa

MWANAMUZIKI wa Shikamoo Jazz, Idd Said Nyangala ‘Baba Sauda’ ambaye gazeti hili la UWAZI toleo namba 1202 la Juni 23...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne July 7, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 7, 2020 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Dawa Ilivyomnasa Mwizi Zanzibar Akapitiwa Usingizini Fofofo!

KIPORO cha habari ya mwizi kusinzia wakati akiiba nyumbani kwa mwandishi Farouk Karim huko Visiwani Zanzibar hivi karibuni hakijachacha, Amani...

READ MORE

Huyu Ndiye Sallam Mendez Aliyekataa Mkono wa Harmo!

KWENYE ulimwengu wa soka, kuna mtu hatari aitwaye Jorge Mendez. Ni mzaliwa wa pale jijini Lisbon, Ureno. Huyu ni wakala...

READ MORE