×

Serikali Yaanza Rasmi Kuuza Mafuta

WAZIRI wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, amezindua rasmi biashara ya kuuza na kusambaza mafuta nchini kwa kufungua kituo cha kwanza...

READ MORE

Spika Pelosi Amlima Barua Nzito Trump

SPIKA wa Bunge la Marekani maarufu kama ‘Congress’, Nancy Pelosi amemlima barua nzito Rais Donald Trump kwa kutaka atoe maelezo...

READ MORE

‘Tanzania Mmevunja Rekodi ya Kunawa Mikono’ – Video

UGONJWA wa Covid 19 unaosababishwa na virusi vya Corona umeanza kupungua mashambulizi yake nchini Ukraine na watu wameanza kuruhusiwa kutovaa ...

READ MORE

Zimbwe Aanza Kutamba Simba

NAHODHA Msaidizi wa Simba, Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amet-amba kuwa kikosi chao kipo kamili kutetea ubingwa wao na sasa wamepanga...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Kala Jeremiah Ataja Sababu Za Kumuimba Magufuli

RAPA aliyeibuliwa kwenye Bongo Star Search (BSS), Kala Jeremiah, ametoa sababu ambazo zimefanya amsifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Vibonge Yanga Waandaliwa Dozi

DAKTARI wa Yanga, Shecky Mngazija, amesema wachezaji wa timu hiyo walioongezeka uzito na kuwa vibonge wameandaliwa dozi nzito ya mazoezi...

READ MORE

Benki ya NMB Kulipa Gawio la Sh. Bil 48 Mwaka 2019 

  Mkutano Mkuu wa 20 wa Wanahisa wa Benki ya NMB (AGM) umepitisha azimio la kulipa gawio la shilingi Bilioni...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu Juni 8, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Juni 8, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

CHADEMA Yajitosa Kinyang’anyiro cha Urais Zanzibar

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa upande wa Zanzibar kimetangaza kushiriki kugombea nafasi ya urais wa Zanziabar katika uchaguzi...

READ MORE

Jembe AS Vita: Mimi Na Yanga! Mbona Fresh Tu

TUISILA Kisinda winga wa AS Vita ya DR Congo, amesema wazi kuwa wala haoni shida kujiunga na Yanga kwani ni...

READ MORE

Global Habari Juni 07 – Corona, Magufuli Awashukuru Viongozi Wa Dini

 Rais Magufuli leo Juni 7, 2020 amewashukuru Viongozi wa Dini na Watanzania wote kwa kuitikia wito wa kumuomba Mwenyezi...

READ MORE

Yanga Yapigwa 3-0 na KMC, Mechi Ya Kirafiki

Mechi ya kirafiki kati ya Yanga na KMC Uwanja wa Uhuru dakika 90 zimekamilika kwa Yanga kukubali kichapo cha mabao...

READ MORE

Hashim Rungwe Atangaza Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2020 – Video

  Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, Juni 6, 2020 ametangaza chama chake kushiriki...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Bonyeza hapa...

READ MORE

Mhagama Apongeza Mafanikio Ya Ujenzi Kiwanda Cha Bidhaa za Ngozi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ametoa...

READ MORE

Siri Nje! Aunt Kumnyang’anya Gari Wema

  DAR: Mwanamama wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amezua gumzo kama lote mitandaoni baada ya kuposti picha akiwa amesimama kwenye...

READ MORE

Shikalo Amtaja Jerry Muro Ujio Wake Bongo – Video

UNAAMBIWA kuwa ujio wa mlinda mlango wa Yanga raia wa Kenya, Farouk Shikalo, Bongo umeratibiwa kwa asilimia kubwa na Serikali...

READ MORE

Mtihani Mzito Wagombea 2020

DAR: Ni mtihani mzito! Ndivyo unavyoweza kutafsiri vihunzi watakavyokumbana navyo wagombea wa nafasi za udiwani, ubunge na urais kuelekea uchaguzi...

READ MORE