×

Simba Yaipiga 3-0 Mwadui FC Uwanja wa Taifa

MABAO ya Hassan Dilunga na Augustino Samson ambaye amejifunga, yametosha kuipa Simba SC uongozi dhidi ya Mwadui FC katika dakika...

READ MORE

Jecha ‘Hasimu’ wa Maalim Seif, Ajitosa Mbio za urais Zanzibar

JECHA Salum Jecha, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), leo Juni 20, 2020 amechukua fomu ya kugombea urais...

READ MORE

Shehe Sharief: Magufuli Atavunja Rekodi Kupigiwa Kura – Video

SHEHE Sharifu Majini leo Juni 20,2020 ametabiri kuwa Rais John Magufuli atavunja rekodi kwa kupigiwa kura nyingi katika uchaguzi mkuu...

READ MORE

Video: Wabunge 21, Madiwani 9 wa CUF Wajiunga ACT-Wazalendo

VITA baina ya Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha ACT-Wazalendo imeanza baada ya wabunge 21 na madiwani tisa wa...

READ MORE

MC Pilipili na Mkewe Philomena Wamepata Mtoto

Mchekedhaji maarufu Bongo, Emmanuel Mathias ‘Mc Pilipili’ na mkewe Philomena jana Juni 19, 2020 wamepata mtoto wao wa kwanza wa...

READ MORE

Aliyeendesha Kesi Dhidi ya Washirika wa Trump Ajiuzulu

MWANASHERIA aliyesimamia mashitaka dhidi ya washirika wa karibu wa Rais Donald Trump wa Marekani, na uchunguzi dhidi ya wakili wake...

READ MORE

Rais Shein Avunja Baraza la Wawakilishi la Zanzibar – Video

 Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Ali Mohamed Shein anavunja baraza la wawakilishi wa zanzibar. Akihutubia wakati anavunja shughuli...

READ MORE

Kenyatta Akwepa Uwezekano Kenya Kuwa na Waziri Mkuu

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amekataa kufutilia mbali uwezekano kwamba wadhifa wa waziri mkuu huenda ukabuniwa katika kura ya maoni...

READ MORE

Waepuke Marafiki Hawa Ili Ufanikiwe Penzini

TUNAZIDI kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai. Ni Jumatatu nyingine tunakutana hapa kupeana elimu ya maisha ya uhusiano na...

READ MORE

Nafasi za Kazi 10 TANROADS, Dedline July 02, 2020

HIGHWAY ENGINEER Ref.No. TNR/RM/MAR/S1/3/VOL.VII/ 65 The Tanzania National Roads Agency (TANROADS) on behalf of the Government of the United Republic...

READ MORE

SOMA Hapa RATIBA Ya Mechi za Ulaya LEO na Jumapili – Si za Kukosa

Baada ya mapumziko ya miezi mitatu, mpira unazunguka miguuni tena. Kwanzia leo, tutakuwa na uwezo wa kufurahia Ligi nyingine ya...

READ MORE

LaCreamena Msanii wa Congo Kuliteka Soko la Afrika

LaCreamena (Gracia) ni mwanamuziki  wa Jamhuri ya Kidemorasia ya Congo anayefanya kazi zake nchini Australia na ambaye anatamba na kibao...

READ MORE

Exclusive: Morrison Anasepa Anasepa Yanga

OFA zaidi ya nne zilizomiminika kwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison hasa zile kutoka Uarabuni, zinaonekana kumchanganya Mghana huyo....

READ MORE

Usichokijua Kuhusu Mgoma Yake na Harmonize

AADA ya Janga la Corona kupungua makali, wasanii nao wanaanza kurudi kwenye reli tena kama zamani.Kwani wasanii wengi walikuwa wakitoa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi Juni 20, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Juni 20, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Nafasi za Kazi 2 za Walimu, Dar Independent School

2 Teachers DAR ES SALAAM INDEPENDENT SCHOOL Registration Numbers S. 2544 and DS/02/7/037 We need TWO ART TEACHERS starting August...

READ MORE

BREAKING: MAGUFULI ‘AMTUMBUA’ RC GAMBO, DC WAKE na MKURUGENZI

Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu...

READ MORE

Siku za Msomaji wa Championi Kuibuka na Ndinga sasa Zinahesabika

Ofisa Masoko wa Global, Songolo Bilal (katikati) akiwaelekeza namna ya kujaza kuponi za kushiriki bahati nasibu ya shinda gari. Zikiwa...

READ MORE

Rais Magufuli Azungumza Na Wananchi Wa Ubungo -Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Juni 19, 2020 amezungumza na Wananchi wa Ubungo...

READ MORE