×

Dar na Mwanza Kutumika kwa Ligi Nne Kuanzia Juni 1

Serikali imeruhusu ligi kuu nne kuanza kuchezwa nchini kuanzia Juni 1, 2020 kwa tahadhari zote ili kumpata bingwa wa ligi...

READ MORE

Bosi Simba: Chama, Kahata Wanatuumiza Kichwa

MTENDAJI Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa, amefunguka kuwa wanaendelea kuumiza kichwa juu ya kuwapata wachezaji wao, Francis Kahata na Clatous...

READ MORE

Breaking: Sokombi, Masele Watimka Chadema

#BREAKINGNEWS: Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Joyce Sokombi na Sussane Masele wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha...

READ MORE

Ulimwengu: Nitafunga Mabao Ya Kutosha Yanga

MSHAMBULIAJI wa Rayon Sports ya nchini Rwanda, Mrundi, Jules Ulimwengu, amefunguka kuwa kama mpango wake wa kujiunga na Yanga utakwenda...

READ MORE

HESLB Yaanza Kufanyia Kazi Maagizo ya Rais Magufuli

  Tunapenda kuwajulisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa, tumeanza kufanya malipo...

READ MORE

Diwani Mdogo Tanzania Afikishwa Mahakamani, Adaiwa Kuomba Rushwa

    DIWANI wa Kata ya Kijichi halmashauri ya Manispaa wa Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Elias Mtarawanje (29),...

READ MORE

POLEPOLE AWALIPUA MBOWE, ZITTO – Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, amesema amewashangaa viongozi wa upinzani ambao walikuwa wakikosoa...

READ MORE

Ndalichako: Mitihani Kidato cha Sita na Ualimu Itaanza Juni 29

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, amesema mitihani ya kidato cha sita nchini itaanza Juni, 29 na...

READ MORE

Haji Manara Aipa Somo Yanga SC

OFISA Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara, ameushauri uongozi wa Klabu ya Yanga kujiandaa vizuri kama ni kweli wanataka...

READ MORE

Ndayiragije Ataja Kilichompeleka Ufukweni

KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Etienne Ndayiragije, amesema kuwa sababu ya kuonekana katika fukwe za Escape One...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Graphic Designer Mwananchi Communications

GRAPHIC DESIGNER Mwananchi Communications Limited, publishers of the leading Tanzania newspapers, Mwananchi, The Citizen and Mwanaspoti is looking for motivated...

READ MORE

Matiko: Ningekuwa Waziri Tusingehangaika na Madawati – Video

  MBUNGE wa Tarime Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Esther Matiko,  amesema angekuwa Waziri wa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Mei 22, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo MEI 22, 2020. Ni yale ya Hard-news, Udaku na Michezo....

READ MORE

Msanii wa Harmonize Awashukuru Mashabiki Kwa Kumpokea

MSANII kutoka katika lebo ya Konde Music Word Wide Ibraah,  leo Mei 21, 2020 amefanya mahojiano katika kipindi cha Bongo...

READ MORE

Naibu Waziri wa Afya Awasili Ofisini Kwake Dodoma

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Godwin Oloyce Mollel amefika amewasili ofisini kwake...

READ MORE

Mwenyekiti BAVICHA Kortini kwa Tuhuma za Kusambaza Picha za Ngono

  Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Mkoa wa Kilimanjaro, Lemrus Mchome (30), amefikishwa...

READ MORE

Simba Yatoa Msaada wa Vituo vya Kunawa Mikono Muhimbili

TAASISI ya Mohammed Dewji (Mo Dewji Foundation) na Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba wamekabidhi vituo vya kuosha mikono,...

READ MORE

TPF: Tumuunge Mkono Magufuli Vita Dhidi ya Corona

TAASISI ya Amani Tanzania (TPF) imesema ni vema wanasiasa nchini wakaungana na Rais John Magufuli na serikali kwa ujumla, kupambana...

READ MORE