×

PSG, Gor Mahia Wapewa Ubingwa

WAKATI Ligi mbalimbali zikisimama kutokana na kusambaa kwa virusi vya corona duniani, Ligi ya Kenya imemalizwa kwa ubingwa kupewa Gor...

READ MORE

Waziri Wa Katiba Na Sheria Mahiga Afariki Dunia -Video

Waziri wa Katiba na Sheria , Balozi Dkt Augustine Mahiga amefariki dunia alfajiri ya leo Mai 1, 2020 baada ya...

READ MORE

Bunge Lashauri Wanaofariki Wazikwe Katika Maeneo Yao

SPIKA wa Bunge la Tanzania, John Ndugai ameshauri watu kuzikwa kwenye maeneo yao wanakotoka pindi wanapofariki, kwani kwa kutokufanya hivyo...

READ MORE

Chuo Kikuu Ruco: Wafanyakazi Watalipwa Nusu Mshahara

CHUO Kikuu Katoliki Ruaha (Ruaha Catholic University) kimetoa taarifa ya kufunga shughuli zake zote isipokuwa za dharura na kutoa likizo...

READ MORE

Kisa Corona, Chadema Yasema: ‘Hatuingii Bungeni’

  MNADHIMU wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Ester Bulaya, ametangaza kuwa wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

READ MORE

Jarida la Yanga Laja na Neema Kibao

UONGOZI wa Klabu ya Yanga chini ya Mwenyekiti Dk.Mshindo Msolla, jana Alhamisi ulizindua jarida la klabu hiyo linalohusu mambo mbalimbali...

READ MORE

Rais Ateua Marehemu Kushika Wadhifa Serikalini

RAIS wa Nigeria, Muhammadu Buhari amemteua mtu aliyefariki kushika wadhifa serikalini, jambo ambalo limeibua mjadala nchini humo huku baadhi wakidai...

READ MORE

Simba Watoa Tamko la Kibabe Kama Ligi Ikifutwa

UONGOZI wa Klabu ya Simba umeibuka na kutoa msimamo wao juu ya nini kitaendelea kwao endapo itatokea serikali na Shirikisho...

READ MORE

Ndemla Apeleka Mkataba Wake Yanga

TAARIFA zilizopo hivi sasa ni kwamba, Simba imempatia kiungo wake, Said Ndemla mkataba mpya ili aendelee kusalia klabuni hapo baada...

READ MORE

‘Nimevimba Tumbo Kimaajabu, Sili Chochote, Silali… Nisaidieni’ – Video

GLOBAL TV Online inakukutanisha na Amina Mohamed (32) ambaye amevimba tumbo baada ya kujifungua mtoto wake wa mwisho huku chanzo...

READ MORE

Corona: 92 Wawekwa Karantini Ruvuma

WATU 92 wakiwemo raia 10 wa Msumbiji walioingia nchini kupitia mpaka wa Mkenda, wilayani Songea wamewekwa karantini kwa siku 14...

READ MORE

Mei Mosi: Magufuli Apongeza Juhudi za Wafanyakazi

RAIS John Magufuli amewapongeza na kuwatakia heri wafanyakazi nchini  leo Mei 1, 2020, katika kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani.

READ MORE

CORONA: Hospitali Ya Kanisa Yaanza Kutoa Matibabu Bure, Askofu Aeleza..

Kanisa la International Evangelism Cente lenye makao makuu yake eneo la Sakila Wilayani Arumeru mkoani Arusha,kupitia zahanati ya kanisa hilo...

READ MORE

Corona: Njia Sahihi ya Kujifukiza Zilizothibitishwa na Wataalam

HII ni makala fupi inayoelezea njia nzuri ya namna ya kujifukiza ili kujikinga na ugonjwa hatari wa Covid-19 unaotokana na...

READ MORE

Serikali Haitopanga Bei za Mazao Ya Wakulima -Mhe Mgumba

  Serikali imesisitiza kuwa haitopanga wala kuingilia bei za mazao ya wakulima nchini badala yake wakulima watajipangia bei na kuuza...

READ MORE

Wakili Msando Aachiwa kwa Dhamana, Gwandu Aitwa Polisi

WAKILI maarufu Albert Msando hatimaye ameachiwa huru kwa dhamana  baada ya kushikiliwa na polisi jijjni Arusha na kuhojiwa kwa saa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Mei 1, 2020 – (Picha + Video)

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo MEI 1, 2020. Ni yale ya Hard-news, Udaku na Michezo....

READ MORE

Tanzia: Aliyewahi Kuwa Mbunge wa Vunjo Afariki Dunia

ALIYEWAHI kuwa Mbunge wa Vunjo mkoani Kilimanjaro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Aloyce Kimaro,  amefariki dunia jana katika Hospitali ya...

READ MORE

CORONA: Mwigulu Awavaa Chadema kwa ‘Kutomwona’ Rais

  BUNGE wa Iramba Magharibi (CCM) Mwigulu Nchemba, amewashambulia wabunge na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa...

READ MORE

Shehe Amuonya Sanchi Kubadili Dini

BAADA ya mwanamitindo mwenye umbo matata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ kubadili dini na kuwa Muislam ambapo kwa sasa anajulikana kwa...

READ MORE