×

Polepole: Uchaguzi wa 2015 Tulichelewa Kuwakata, Mwaka Huu Mapema – Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015, chama...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi ASSISTANT ACCOUNTS OFFICER, Tanzania Revenue Authority (TRA)

POST ASSISTANT ACCOUNTS OFFICER – 4 POST POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING EMPLOYER Tanzania Revenue Authority (TRA) APPLICATION TIMELINE: 2020-05-15...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa WikiEnda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu, Mei 25, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo MEI 25 Usipitwe na Matukio, Install App...

READ MORE

Chama: Nikipangwa Kushoto, Nakuwa..

KIUNGO Mzambia anayekipiga kunako kikosi cha Simba, Clatous Chama, amesema akiwa anacheza kwa kushambulia akitokea upande wa kushoto, anakuwa mtamu...

READ MORE

Global Habari Mei 24 -Maambukizi Ya Corona Yapungua Nchini

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Mei 24, 2020 akizungumza na waumini wa dini ya kiislam mara baada ya kumaliza...

READ MORE

Rais Magufuli Awashukuru Watanzania Kwa Kuliombea Taifa – Video

  RAIS Dkt. John Pombe Magufuli amewapongeza waislam wote nchini kwa kumaliza mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani na anawashukuru...

READ MORE

Serikali, TFF Waijadili Ligi

IKIWA imebaki takribani wiki moja kufi kia Juni Mosi, mwaka huu siku ambayo ligi za hapa nchini zitarejea, Serikali, Bodi...

READ MORE

Vanessa, Mchumba’ke Gari Limewaka

Mwanadada ambaye mashabiki wake wa Bongo Fleva wanammisi, Vanessa Mdee ‘V-Money’ na mchumba’ke, Olurotimi Akinosho ‘Rotimi’, ndiyo kwanza gari la...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Bonyeza hapa...

READ MORE

Kagere, Manula Kupimwa Corona

SIMBA wapo tayari kwa utaratibu wowote utakaotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikiwemo suala la upimaji wa afya ili...

READ MORE

Simba Waitenda Yanga Kitu Mbaya

SI unajua Yanga ndiyo ambao wapo katika mstari wa mbele kuhakikisha wanawachukua mastraika wawili wa Rayon Sports, Michael Sarpong raia...

READ MORE

Babu Njenje Afariki Dunia

Taarifa iliyotufikia asubuhi hii inaeleza kuwa, mwanamuziki mkongwe wa Bendi ya Kilimanjaro maarufu kama Wana-Njenje, Mabrouk Hamis Omar almaarufu kama...

READ MORE

RC MAKONDA AMUELEKEZA MKANDARASI WA UJENZI WA STAND MPYA YA MABASI YA MBEZI LUIS KUKABIDHI MRADI KWA MUDA ULIOPANGWA.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amemuelekeza Mkandarasi wa Ujenzi wa Stand mpya ya mabasi ya...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili, Mei 24, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo MEI 24 Usipitwe na Matukio, Install App...

READ MORE

Ummy: “Mashine Moja ya Kupima Corona Ilikuwa na Tatizo” -Video

Serikali imetoa ripoti ya uchunguzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii iliyoko ofisi za Taasisi ya Taifa ya...

READ MORE

Global Habari Mei 23 – Askari Aliyeokoa Mtoto Apandishwa Cheo

 Jeshi jeshi la zima na uokoaji Mkoani Ngara limemtunukia cheo cha Koplo Askari wa jeshi hilo Dennis Minja baada...

READ MORE

Wasomaji Wa Championi Na Spoti Xtra Wazidi Kuchangamkia Gari

Wasomaji wa magazeti ya bora ya michezo, Championi na Spoti Xtra, leo Jumamosi wamezidi kuchangamkia shindano la kubwa la Baba...

READ MORE

Ronna Max – Don’t Leave Me (Official Video)

MSANII chipukizi wa Bongo Fleva, Aloyce Ndayeze maarufu kama Ronna Max ameachia video ya wimbo wake inayoitwa DON’T LEAVE ME....

READ MORE

Makonda Amtaka Mkandarasi Kukamilisha Barabara Ya Sinza -Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amemtaka Mkandarasi anayejenga Barabara ya Sinza inayoanzia Bamaga hadi Shekilango...

READ MORE