×

GSM kuzibomoa Mamelodi, Enyimba na Etoile Du Sahel

HATIMAYE uongozi wa Yanga ukishirikiana na mdhamini wa timu hiyo, GSM, umezitaja timu za Afrika ambazo wataenda kufanya usajili wa...

READ MORE

Alikiba Apata Pigo Zito

WASANII wawili waliokuwa chini ya lebo ya Kings Music inayomilikiwa na Staa wa Bongo fleva, Alikiba, Cheed na Killy wametangaza...

READ MORE

 Muna Kufanya upasuaji kupunguza tumbo na pua

WATU wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi juu ya aina ya ulokole wa mwigizaji wa filamu za Kibongo, Rose Alphonce ‘Muna’. ...

READ MORE

Mbelgiji: Nataka Straika, Viungo Wawili Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, amefunguka kuwa kwenye ripoti yake ya usajili ambayo amewakabidhi mabosi wa timu hiyo, ni...

READ MORE

Wenye Corona Kenya Wafikia 208, Wamefariki 9

WATU wengine 11 wamegundulika kuwa na virusi vya Corona nchini Kenya na kufanya idadi ya maambukizo kufikia watu 208. Mtu...

READ MORE

Kiba akimbiza kijiji

 “KUPENDA ni vitendo si manenomaneno, leo nakupa kitengo kwa kufika malengo, umeziba mapengo, kwa upendoupendo! Bora wananzengo waanze vikao vya...

READ MORE

Corona: TFF Wasitisha Mikutano ya LIVE na Wanahabari

Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limetangaza kusitisha mikutano na mahojiano ya moja kwa moja na waandiishi wa habari ikiwa...

READ MORE

Maiti 800 za Waliofariki kwa Corona na Kutelekezwa

Ecuador imesema polisi wameondoa karibu miili 800 katika wiki za karibuni kutoka katika makazi mjini Guayaquil, sehemu iliyoathiriwa kwa kiasi...

READ MORE

Epuka sana majaribio penzini, ni hatari!

MUNGU ni mwema sana. Kwa Wakristo na wasiokuwa Wakristo wanaendelea kusherehekea Sikukuu ya Kufufuka Yesu Kristo. Ni vizuri watu wote...

READ MORE

Ndugu wa Luis Aandaliwa Mkataba Yanga!

YANGA imethibitisha kuwepo katika mazungumzo ya mwisho na mshambuliaji wa UD Songo ya nchini Msumbiji, Jimmy Ukonde, atakayetua kuichezea timu...

READ MORE

Nunua na soma Gazeti la UWAZI kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la UWAZI kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Bonyeza hapa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne, Aprili 14, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo April 14, 2020. Ni yale ya Hard-news, Udaku na Michezo....

READ MORE

Azam FC Watoa Neno Sure Boy Kutua Yanga

UONGOZI wa timu ya Azam FC, umesema kuwa hadi sasa hawajapokea ofa yoyote ya usajili wa Salum Abubakar ‘Sure Boy’...

READ MORE

Kagere Amvuruga Vibaya Straika Yanga

ALIYEWAHI kuwa mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga, raia wa Burundi, Amissi Tambwe amesema kuwa ana hofu kubwa ya rekodi yake...

READ MORE

KMC Wawafuatilia Wachezaji Kwenye Mitandao

UONGOZI wa KMC umesema kuwa unawafuatilia wachezaji wao namna wanavyofanya mazoezi kupitia makundi ya WhatsApp jambo ambalo linawafanya wazidi kufanya...

READ MORE

Trump: Marekani Ichimbe Madini Mwezini, Rasilimali Zimekwisha Duniani

Rais wa Marekani, Donald Trump anataka Marekani kuanza kutafuta raslimali kwenye mwezi. Hivi karibuni rais huyo alisaini amri inayosema Marekani...

READ MORE

Corona: Serikali ya Zanzibar Yasitisha Mikutano na Wanahabari

Katika kujikinga dhidi ya virusi vya corona, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imetangaza kusitisha mikutano na waandishi wa habari na...

READ MORE

Kakolanya ‘Auzwa’ Nje ya Nchi

GOLIKIPA wa zamani wa timu ya taifa, Taifa Stars, Ivo Mapunda, amemshauri kipa wa Simba, Beno Kakolanya kwenda kutafuta changamoto...

READ MORE

Simba Waambiwa Dau la Mwamnyeto Ni Milioni 100

HABARI ndiyo hiyo. Uongozi wa Coastal Union umeweka wazi dau la milioni 100 ambalo kama litafikiwa na timu yoyote basi...

READ MORE

Matroni Aliyepiga Picha na Waziri Mkuu Afariki kwa Corona

MATRONI wa Hospitali moja nchini Uingereza ambaye ameonekana katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Boris Johnson...

READ MORE