×

Rais Ruto Ateua Rasmi Mwenyekiti na Makamishna wa IEBC

Nairobi, Kenya – Rais William Ruto ametangaza rasmi uteuzi mpya wa Mwenyekiti na Makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na...

READ MORE

Kesi ya Kanisa la Ufufuo na Uzima Yaaahirishwa Hadi Julai 14, 2025 -Video

Dodoma, Tanzania – Kesi iliyofunguliwa na Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church (Ufufuo na Uzima) imeahirishwa hadi Julai 14,...

READ MORE

Watuhumiwa Watano Wakamatwa kwa Mauaji ya Mtumishi wa TASAF – Video

Tabora, Tanzania – Jeshi la Polisi mkoani Tabora linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Castory Madembwe,...

READ MORE

Yanga Yazindua Kampeni ya ‘Tofali la Ubingwa’ Kusaidia Kusajili wa Mastaa

Klabu ya Yanga SC leo imezindua rasmi kampeni maalum iitwayo ‘Tofali la Ubingwa’, ikiwa ni mpango wa kipekee wa kuhusisha...

READ MORE

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Bahi, Mwisho wa maombi Julai 14

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi amepokea kibali kuhusu utekelezaji wa ajira mpya katika Mwaka wa fedha 2024/2025...

READ MORE

Clatous Chama Awaniwa na Zesco United Baada ya Kumaliza Mkataba na Yanga

Dar es Salaam, Tanzania – Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Yanga SC, Clatous Chama, anatajwa kuwa kwenye rada za klabu...

READ MORE

Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Maombi ya Tundu Lissu Kuhusu Kesi ya Uchapishaji Taarifa za Uongo

Dar es Salaam, Tanzania – Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na...

READ MORE

Shiriki Super Heli Kushinda Simu za Samsung A25 na Meridianbet

Meridianbet, jukwaa linaloongoza kwa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, linawapa wachezaji fursa ya kipekee ya kuingia kwenye burudani ya mchezo...

READ MORE

Simba Yaibana Yanga Katika Mbio za Kumsajili Balla Moussa Conté

Klabu ya Simba SC ipo kwenye nafasi nzuri ya kukamilisha usajili wa kiungo chipukizi wa CS Sfaxien ya Tunisia, Balla...

READ MORE

Muuguzi wa India asubiri kunyongwa Julai 16

Na mwandishi wetu, Elvan Stambuli Nimisha Priya alihukumiwa kifo kwa mauaji ya mwanamume mmoja ambaye alikuwa mshirika wake wa zamani...

READ MORE

Ancelotti Ahukumiwa Mwaka 1 Gerezani Na Faini Ya Billioni 1

Kocha wa zamani wa Real Madrid, Carlo Ancelotti, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani na kutozwa faini ya €386,000 (zaidi...

READ MORE

Baada ya Manula, Azam FC Yamtaka Chasambi Kutoka Simba

BAADA ya Aishi Manula kurejea ndani ya Azam FC akitokea Simba SC matajiri wa Dar wamepiga hodi tena kuulizia uwezekano...

READ MORE

Mnyika Awashauri Waliofungua Kesi Mahakamani Kuifuta – Video

Kaimu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amewataka wale waliokishtaki chama hicho kuhusiana na uwepo...

READ MORE

Rais wa Liberia Atoa Hotuba Yenye Mvuto White House, Trump Ampongeza – Video

Rais wa Liberia Joseph Nyuma Boakai alitoa hotuba yenye mguso wa kipekee katika Mkutano wa Viongozi wa Afrika Magharibi uliofanyika...

READ MORE

RC Chalamila Ataka Wataalam Kuja Na Suluhu Ya Msongamano Wa Magari Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amewataka Wakuu wa wilaya za Ilala,Temeke na Kigamboni, wakurugenzi wa...

READ MORE

Kuelekea NBC Dodoma Marathon: Benki ya NBC Yakabidhi Pikipiki 10 Kwa jeshi la Polisi Kuimarisha Usalama, Yakabidhi ‘Kits’ kwa Mkuu wa Mkoa Dodoma

Waandaaji wa mbio za NBC Dodoma Marathon, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo wamekabidhi pikipiki 10 zenye thamani ya...

READ MORE

Vodacom na Stanbic Wakabidhi Msaada wa Miche na Vifaa Singida

Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania, Chiha Nchimbi (kulia) na Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa Benki ya...

READ MORE

Gari Lililobeba Maiti Lapinduka Na Kuua Watu Wawili Na Kujeruhi Wengine Morogoro, Kamanda Aeleza – Video

JESHI la Polisi mkoani Morogoro limemkamata Mohammed Said Kisukari (43), dereva, mkazi wa Kimara, Mkoani Dar es salaam kwa kosa...

READ MORE

Kadhi Mkuu wa Kenya, Sheikh Abdulhalim Hussein, Afariki Dunia

Taifa la Kenya limegubikwa na huzuni kufuatia kifo cha Kadhi Mkuu wa Kenya, Sheikh Abdulhalim Hussein, ambaye alifariki dunia Jumatano,...

READ MORE

Aunty Ezekiel Afunguka Sababu ya Kwenda Bodi ya Filamu – Video

Msanii maarufu wa filamu nchini Tanzania, Aunty Ezekiel, amejitokeza leo Alhamisi Julai 10, 2025 katika ofisi za Bodi ya Filamu...

READ MORE