×

Tanzania Kuandaa Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika – Video

Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) na Mwenyekiti, Mtandao wa Mabaraza Huru ya Habari Afrika, (NIMCA) Ernest Sungura...

READ MORE

Rais Samia Aelekea Dodoma Kuhitimisha Bunge la 12 Kesho – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameanza safari kutoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma...

READ MORE

Msukuma Awavunja Mbavu Wabunge “Mniombee Nirudi Tena Bungeni!” – Video

NBUNGE wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu kama Msukuma, awavunja mbavu wabunge baada ya kuomba wamuombee ili arudi tena bungeni....

READ MORE

Sundowns, Al Ahly, Esperance Watolewa Kombe la Dunia la Vilabu

Juni 26, 2025 – Timu za soka kutoka bara la Afrika zimehitimisha safari yao mapema katika michuano ya Kombe la...

READ MORE

Majaliwa Atangaza Kugombea Tena Ubunge Ruangwa 2025, Atoa Hotuba Ya Mwisho Bungeni – Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Ruangwa mkoani Lindi, Kassim Majaliwa Majaliwa, amewashukuru wananchi wa Jimbo la Ruangwa kwa kuendelea…

READ MORE

Bonge La Dada Adaiwa Kuvuruga Ndoa Mtandaoni!

Mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii, Queen Fraison almaarufu kama Bonge la Dada, kwa sasa ni moto wa kuotea mbali!...

READ MORE

Serikali Yawarejesha Watanzania 42 Kutoka Nchini Iran Na Israel

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita...

READ MORE

NBC Yakabidhi Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu kwa Yanga

· Yasisitiza dhamira yake kuwekeza zaidi kwenye maendeleo ya wachezaji. Mdhamini mkuu wa ligi ya NBC, Benki ya Taifa ya...

READ MORE

SBL Yakabidhi Mradi Wa Maji Kwa Wakazi 14,000 Wa Kwadelo, Wilaya Ya Kondoa

Dodoma, Tanzania – JunI 26, 2025: Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), kwa kushirikiana na shirika la Africa Community Advancement...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Sherehe Za Miaka 50 Ya Uhuru Wa Msumbiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amehutubia maelfu ya wananchi wa Msumbiji katika sherehe za...

READ MORE

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Manispaa Ya Moshi

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa...

READ MORE

Nafasi Za Kazi 6,732 LGAs, Mwisho wa Kutuma Maombi Juni 26, 2025

Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 26, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Askari wa Jeshi la Magereza Kizimbani kwa Kosa la Kumlawiti – Video

Askari wa Jeshi la Magereza amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, akikabiliwa na kesi ya kumlawiti...

READ MORE

TFF Yatangaza Orodha ya Awali ya Wagombea Urais na Kamati ya Utendaji

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa orodha ya awali ya waliochukua na kurudisha fomu kuomba uongozi katika Shirikisho...

READ MORE

Majaliwa Amwakilisha Rais Samia Kwenye Maadhimisho Siku Ya Kupiga Vita Dawa Za Kulevya

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Juni 26, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa...

READ MORE

Pacome na Mzize Waipa Yanga Ubingwa wa 2024/25

KARIAKOO Dabi dakika 90 zimekamilika kwa ubao kusoma Yanga SC 2-0 Simba SC. Ubingwa ukiwa mali ya Yanga SC. Clement...

READ MORE

Meridianbet Yaleta Faraja kwa Mama Wajawazito Hospitali ya Sinza

Jumatano ya mwisho wa mwezi Juni imekuja kivingine ndani ya Meridianbet ambapo wakali hao wa ubashiri wameenda hospitali ya Palestina...

READ MORE

Gen Z Warejea Mitaani Kenya Wapaza Sauti Upya Dhidi ya Ukatili wa Polisi

Maandamano makubwa ya vijana maarufu kama Gen Z, yanatarajiwa leo Jumatano nchini Kenya, mwaka mmoja kamili baada ya maelfu ya...

READ MORE

Majaliwa Azindua Mitambo Ya Shillingi Billioni 12.4 Kwa Ajili Ya Wachimbaji Wadogo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua mitambo kumi ya uchorongaji na vifaa vya utafiti wa madini yenye thamani wa shilingi bilioni...

READ MORE